Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Siku za mwanzoni za uchumba wangu na Mangi. Alikuwa amesafiri siku anarudi nilifanya maandalizi ya kum surprise na mtori fresh.
Ndege yaje ilikuwa inatua saa nne asubuhi. Niliamka saa kumi alfajiri nikaanza kupika mtori. Saa 3.30 nilikuwa Airport kumsubiri.
Tumefika nyumbani nilianza kuupasha moto mtori wakati Mangi anaoga. Si niliuunguza. Ninamuwekea mezani ananiambia hii harufu ya kuungua imeharibu kabisa lakini mtori ni mtamu.
Nilijuta kheri ningepasha moto kwenye microwave.