Ufundishaji wa Kiswahili na Taaluma za Kiafrika nchini China

Bakari China

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
254
Reaction score
588
2021年4月23日至4月26日,上海外国语大学东非研究中心主任、东方语学院斯瓦希里语专业负责人马骏老师,东非研究中心副主任、斯瓦希里语专业宁艺老师率领斯瓦希里语专业5名同学赴京参加“全国非洲语言教学研讨会暨首届中国高校非洲语言学科竞赛”,随后前往清华大学国际与地区研究院参加交流研讨活动。

4月24日上午,由中国非通用语教学研究会与北京外国语大学非洲学院联合举办的“全国非洲语言教学研讨会”于北京外国语大学行政楼504室成功举办。斯瓦希里语专业马骏、宁艺两位老师在研讨会上分别发表了以“戏剧实践对斯瓦希里语本科课堂教学的启示”及“可视化教辅软件在外语教学中的应用:以斯瓦希里语报刊阅读课程为例”为题的主旨发言,得到了参会代表的一致认可及热烈反响。

4月24日下午,首届“中国高校非洲语言学科竞赛”在北京外国语大学逸夫楼第一阶梯教室拉开帷幕。本次学科竞赛以非洲知识竞赛为主题,汇集了来自全国六所高校共69名同学以及20支代表队。东方语学院斯瓦希里语专业褚予钦、高彬皓、肖宸臻三名同学参加了本次学科知识竞赛个人赛,褚予钦、罗思颖、宋艺婷三名同学组成的Bamoja队参加了团体赛。经过一下午激烈的角逐,高彬皓同学荣获个人赛优秀奖,褚予钦同学荣获个人风采奖,Bamoja队荣获团体风采奖。

4月25日上午,应清华大学国际与地区研究院邀请,上外东非研究中心一行前往清华大学参加交流研讨活动,清华大学国际与地区研究院张静副院长、撒哈拉以南非洲研究组组长高良敏、杨崇圣、熊星瀚、肖齐家以及其他非洲组成员一同出席了交流活动。张院长介绍了清华大学国际与地区研究院的发展情况与机构目标,并探讨了未来与上外东非研究中心加强合作的可能性。马骏主任在致辞中提到,上海外国语大学东非研究中心在各级领导的关怀下逐渐步入正轨,未来将继续结合斯瓦希里语教研室的语言人才优势与上海外国语大学的国际化办学平台,推动东非本土知识在中国的研究与传播。

通过此次北京之行,上外斯瓦希里语专业与东非研究中心加强了与全国各兄弟院校非洲语言专业之间的交流学习,并与清华大学国际与地区研究院就人才培养与加强相关领域内学术交流深入交换了意见。未来,东非研究中心将继续积极参与非洲学术交流与研讨活动,深化与兄弟院校研究机构的合作沟通,引进东非本土知识,进一步拓宽学生的学术视野。

Tangu Aprili 23 hadi Aprili 26, 2021, wanafunzi watano kutoka kwa Idara ya Kiswahili, Chuo Kikuu cha Taaluma za Kimataifa cha Shanghai (SISU) walikwenda jijini Beijing kujiunga na Semina ya Kwanza ya Ufundishaji wa Lugha za Kiafrika, ambayo pia ni Mashindano ya Kwanza ya Taaluma za Lugha za Kiafrika ya China. Wanafunzi hao waliongozwa na Mkurugenzi wa Taasisi ya Taaluma za Afrika ya Mashariki (TATAMA) Mwalimu Ma Jun, na Naibu Mkurugenzi wa TATAMA Mwalimu Ning Yi. Baada ya mashindano, wakahudhuria kwenye mkutano wa mawasiliano ulioitishwa na Taasisi ya Taaluma za Kimataifa na za Kikanda ya Chuo Kikuu cha Tsinghua.

Asubuhi ya tarehe 24 Aprili, Semina ya Ufundishaji wa Lugha za Kiafrika ilifanyika kwenye Chuo Kikuu cha Lugha za Kigeni cha Beijing (BFSU), semina hiyo ilipangwa na Taasisi ya Ufundishaji wa Lugha za Kigeni ya China na Kitivo cha Lugha za Kiafrika cha BFSU kwa pamoja. Mwalimu Ma Jun na Mwalimu Ning Yi walitoa hotuba za Dhihirisho la Tamthilia katika Masomo ya Kiswahili ya Ngazi ya Msingi na Matumizi ya Programu Saidizi katika Ufundishaji wa Lugha za Kigeni: Mfano wa Masomo ya Usomaji wa Magazeti ya Kiswahili, walipewa pongezi nyingi na walimu wengine waliohudhuria kwenye semina.

Alasiri ya tarehe 24 Aprili, Mashindano ya Kwanza ya Taaluma za Lugha za Kiafrika ya China yalifanyika katika Jengo la Bwana Run Run Shaw chuoni BFSU. Washindani 69 binafsi na vikundi 20 vya washindani kutoka kwenye vyuo sita nchini walihudhuria kwenye mashindano hayo. Wanafunzi watatu wa SISU Chu Yuqin (Jamila), Gao Binhao (Bakari) na Xiao Chenzhen (Abudalla) walijiunga na shindano la binafsi, aidha kikundi cha “Bamoja” kilichoundwa na wanafunzi watatu Chu Yuqin (Jamila), Luo Siying (Bahati) na Song Yiting (Monika) kilijiandikisha kwenye shindano la vikundi. Baada ya kuwaniana kwa muda mrefu, Gao Binhao alipata Tuzo la Uhodari la Shindano la Binafsi, Chu Yuqin alipewa Tuzo la Usharifu la Shindano la Binafsi, na “Bamoja” kilitunukiwa Tuzo la Usharifu la Shindano la Vikundi.

Asubuhi ya tarehe 25 Aprili, ujumbe huo ulihudhuria kwenye mkutano wa mawasiliano ulioitishwa na Taasisi ya Taaluma za Kimataifa na za Kikanda ya Chuo Kikuu cha Tsinghua. Naibu Mkuu wa taasisi hiyo Bibi Zhang Jing,wakurugenzi wanne wa Kundi la Taaluma za Kusini ya Jangwa la Sahara Gao Liangmin, Yang Chongsheng, Xiong Xinghan na Xiao Qijia, na watafiti wengineo walihudhuria kwenye mkutano huo. Mkuu Zhang alielezea maendeleo na malengo ya Taasisi yao, tena alipeana mawazo na wajumbe wa TATAMA-SISU juu ya ushirikiano wa siku zifuatazo. Mkurugenzi Ma akatoa hotuba akisema kuwa TATAMA imepata maendeleo makubwa chini ya misaada ya viongozi mbalimbali. Kutokana na ujuzi wa Kiswahili na jukwaa la kimataifa la SISU, TATAMA itaendelea kueneza ujuzi na utafiti wa Afrika ya Mashariki nchini.

Kupitia safari hii, Idara ya Kiswahili na TATAMA-SISU zimezidisha mawasiliano na wenzao wa vyuo vingine nchini. Aidha, zimepeana mawazo na Taasisi ya Taaluma za Kimataifa na za Kikanda ya Chuo Kikuu cha Tsinghua kuhusu mashirikiano ya kitafiti. Siku za usoni, TATAMA itaendelea kujiunga na semina mbalimbali za kitafiti, kukuza mawasiliano na taasisi nyingine na kuzingatia zaidi ujuzi wa kienyeji wa Afrika ya Mashariki, kwa namna hii kuwafungulia macho wanafunzi wa Kiswahili.

文∣高彬皓

审核∣宁艺 马骏

上海外国语大学东非研究中心

Maandishi: Bakari

Masahihisho: Ning Yi, Ma Jun

TATAMA-SISU
 
Bwana Bakari vipi nafasi za kufundisha Kiswahili huko zinapatikana?
 
Hawa jamaa wanajipanga mbele ya macho yetu kuja kuchukua land and resources..EVERY MAN FOR HIM SELF, GOD FOR US ALL!!
 
Souljar:

Hayo tunasema ni macho ya kiroho. Hao watu hawana mapenzi ya dhati na sisi kabisa mkuu.
 
unachosema si ukweli kabisa. sisi sote wanafunzi wa Kiswahili kutoka nje ya Afrika tuna mapenzi ya dhati kwa watu na utamaduni wa Kiafrika. tunasoma lugha hiyo kwa kusudi la kuendeleza urafiki wa dhati baina ya taifa letu China na Tanzania.
 
urafiki wa China na Tanzania ulianzia miaka ya 1960s. TAZARA na miradi mingine ya misaada kutoka kwa China ni ishara ya urafiki huohuo. Mwenyekiti wa Jamhuri ya Watu wa China Bw. Xi Jinping (baadhi ya watu wanamwita Rais wa China, lakini si sahihi kwa sababu mataifa ya kikomunisti yana wenyekiti tu) alisisitiza kuwa "ni jambo muhimu kabisa kukuza urafiki baina ya nchi hizi mbili", akiongea na Rais Samia kwa simu.
 
Sipingi mkuu... Nini dhumuni la kujifunza lugha yao na kubadilishana tamaduni ? Nani ananufaika sana ? Faida za ndani na nje? Ili ntakapokuwa namuelewesha bibi yangu kule kijijini nisitumie nguvu nyingi namuelewesha.
 
urafiki wa China na Tanzania ulianzia miaka ya 1960s. TAZARA na miradi mingine ya misaada kutoka kwa China ni ishara ya urafiki huohuo. Mwenyekiti wa Jamhuri ya Watu wa China Bw. Xi Jinping (baadhi ya watu wanamwita Rais wa China, lakini si sahihi kwa sababu mataifa ya kikomunisti yana wenyekiti tu) alisisitiza kuwa "ni jambo muhimu kabisa kukuza urafiki baina ya nchi hizi mbili", akiongea na Rais Samia kwa simu.
Ukosawa mkuu. Mnufaikaji hasa ni nani ? Hakuna urafiki usiokuwa na faida mkuu. Mtu anapotaka urafiki kwako kuna kitu amekiona ambacho kina maslahi kwake.
 
ni kweli kabisa mkuu. lakini, kukuza urafiki huo kutaleta faida kwa nchi hizi mbili. "Kwa maslahi ya pande zote" inawezekana
 
unachosema si ukweli kabisa. sisi sote wanafunzi wa Kiswahili kutoka nje ya Afrika tuna mapenzi ya dhati kwa watu na utamaduni wa Kiafrika. tunasoma lugha hiyo kwa kusudi la kuendeleza urafiki wa dhati baina ya taifa letu China na Tanzania.

Bakari, Kiswahili chako "bomba" sana. 🤣
 
Bakari, Kiswahili chako "bomba" sana. 🤣
Anajitahidi kwakweli. Mwanzoni nilidhani mmatumbi ila nimefuatilia nimegundua kajifunza ukubwani na Anajitahidi sana. Hongera yake
 
Back
Top Bottom