Ufunguzi VPL: African sports vs Simba SC , Azam FC vs Prisons

Mshaanza kuleta siasa zenu humu tusha choka tunasubiri kupiga kura atakaepita ndo huyohuyo
 
Ripota wetu hapo Kambarage vipi, tumepata ufadhiri wa mabilioni kabisa kutoka kwa Wamarekani lazima tuwaue wakata miwa
 
Asante sana Hamis Kiiza Aguero.. We muhudumu uliyevaa t shirt ya njano na kipensi cha kijani niongeze bapa nyingine tafadhari.
 
Asante sana Hamis Kiiza Aguero.. We muhudumu uliyevaa t shirt ya njano na kipensi cha kijani niongeze bapa nyingine tafadhari.

Mmmmmh mhudumu katupi kipensi!!!!!! Na hizo rangi mbona kama za kichefuchefu
 
Mmmmmh mhudumu katupi kipensi!!!!!! Na hizo rangi mbona kama za kichefuchefu

Mkuu wahudumu wa hii Bar, ndo wamevalishwa nguo za rangi hii.. alafu nasikia mtani pia ndo rangi zake.. sasa sijui mwenye hii Bar ana maana gani.
 
African sports wanacheza mpira wa rafu sana. Sikuupenda kwa kweli.
 
..hiyo rangi hua nzuri haswaaa, yani ukimuangalia kwa nyuma.....!!!

Haha.. we muhudumu unayeangaliwa kwa nyuma na Mkuu jd41 hebu mpelekee tatu tatu.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…