Ufunguzi VPL: African sports vs Simba SC , Azam FC vs Prisons

Ufunguzi VPL: African sports vs Simba SC , Azam FC vs Prisons

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Leo 12/09/2015 ligi kuu Tanzania bara inaanza kwa msimu wa 2015/16, wekundu wa msimbazi wamepania kurudisha heshima yao msimu huu kwa kuchukua ubingwa na wataanza leo dhidi ya wageni wa ligi kuu African sports kule jijini Tanga, ikumbukwe Simba haipata ushindi uwanja wa Mkwakwani kwa misimu 3 mfulizo. Leo wamepania kuvunja historia. Mabingwa wa Africa mashariki Azam watakuwa Chamazi kupambana na Prisons. Mechi zingine za leo Stand utd vs Mtibwa sugar, Toto african vs Mwadui fc, Majimaji vs JKT ruvu, Mbeya city vs kagera sugar,Ndanda fc vs mgambo JKT
=======

African sports Vs Simba
Half Time: African sports 0-0 Simba

Full time: African sports 0-1 Simba

56' Khamis Kiiza :A S soccer:
=======

Azam FC 2-1 Prisons

Majimaji FC 1-0 JKT Ruvu

Stand united 0-1 Mtibwa

Toto African 1-0 Mwadui

Ndanda FC 1-1 Mgambo JKT

Mbeya city 0-1 Kagera sugar

Last edited by a moderator:
Wachezaji shomari kapombe wa azam fc na jonas mkude wa simba sc watakosa michezo ya leo kutokana na kuwa majeruhi
 
Kikosi cha mnyama watoto wa msimbazi 1. Manyika 2. Kessy 3. Shabalala 4. Musheed 5. Majabvi 6. Awadh juma 7. Said ndemla 8. Kazimoto 9. Musa mgosi 10. Kiiza 11. Mwalyanzi
 
Simba team fungwa bao 2 tu mrudi boko kuchimba viazi
 
Tujuze tujuze mkuu tuachane na siasa kidogo leo mara ukawa mara ccm, tumeshachoka.............tubadilishe mada leo!
 
Simba wakijitahidi sana watadroo
 
Kikosi cha mnyama watoto wa msimbazi 1. Manyika 2. Kessy 3. Shabalala 4. Musheed 5. Majabvi 6. Awadh juma 7. Said ndemla 8. Kazimoto 9. Musa mgosi 10. Kiiza 11. Mwalyanzi
Huu usajili wa mwaka huu naona ni kuongezeana machungu tu, lakini kwa sababu kila kitu kinawezekana ngoja tuone itakuwaje. Kila la heri Simba Sports Club.
 
Kikosi cha mnyama watoto wa msimbazi 1. Manyika 2. Kessy 3. Shabalala 4. Musheed 5. Majabvi 6. Awadh juma 7. Said ndemla 8. Kazimoto 9. Musa mgosi 10. Kiiza 11. Mwalyanzi

Kila la kheri Mnyama.. Funga hao goli nyingi sana.
 
Huu usajili wa mwaka huu naona ni kuongezeana machungu tu, lakini kwa sababu kila kitu kinawezekana ngoja tuone itakuwaje. Kila la heri Simba Sports Club.

Ngoja tuone mkuu
 
Naona hawa watoto wameanza kwa kutushambulia. tutawatuliza kiutu uzima lakini
 
Back
Top Bottom