Ufunguzi VPL: African sports vs Simba SC , Azam FC vs Prisons

Ufunguzi VPL: African sports vs Simba SC , Azam FC vs Prisons

uyu musheed amecheza faulo ya kijinga sana
 
Refa kile kiungo cha siri cha mama yake. Anaacha kumtoa yule pimbi aliyecheza faulo ya kipumbavu hata kadi hajampa wakati kampiga jamaa teke la tumbo.
 
African Sports kila wakienda kupeleka mashambulizi refa na mashost wenzie wanatoa offside. Hii mechi live Mikia wamenunua
 
Simba wanatia aibu hapa uwanjani. Kipa wao Manyika Jr kavaa Jezi nyuma mgongoni imeandikwa Angban jina la kipa aliyekuwa benchi.
 
Omar ibrahim anatolewa nje ya uwanja kwa matibabu kafanyiwa madhambi na hawa Mambumbumbu Fc
 
Ht simba 0 african sports 0, azam 1 prisons 0 , goli kipre tchetche
 
Back
Top Bottom