Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

asanteni sana wale wote mliotuhabarisha hapa

yaani chadema ni bonge ya chama.

ccm wana weweseka tu
 
DINGSWAYO-Kumbuka kutokea Julai hakuna kuingiza kitu wala fedha kutoka nje ya nchi
 
PADRI SIO MKWELI HATA KIDOGO- SLAA ALISHUSHA SHULE KUHUSU USCHUMI HADI AKWAFAFANULIA WASIKILIZAJI NAMNA WATANZANIA WANAVYOLIMA PAMABA NA KUPEWA FEDHA KIDOGO KWA ILE NYUZI LAKINI KUKOSESHWA KABISA MAPATO YATOAKANAYO NA MBEGU ZA PAMABA KUTOKANA NA KUUZWA KWA PAMBA KAMA MALI GHAFI.

ALIZUNGUMZIA PIA UANZISHWAJI WA Tertiary Industries. Tatizo nafikiri level; aliyoongea Dr Slaa ilikupa tabu sana kumuelewa ndugu yetu Padri
 

haya yako ni upuuzi mtupu kwani news channels zote zilieleza yaliyojili. Shibuda alionekana akiongea na issue ya uchumi iliongelewa kimkakati kwa kuondoa uoza siku 100 za mwanzo za utawala wa chadema. Na ccm wakiresist kipindi hicho tarajia nguvu za wananchi zitachukua mkondo
 
Unauhakika Tanzania hakuna Tatizo la uchumu? Dr. Slaa ni kilaza ndio maana mpaka akumbushwe ndio afanye kitu.

I like that. Next time ...changanya na za kwako...Unamjua vizuri Kilaza wa Vilaza Mkuu ni nani katika wagombea wote. Hii mambo ya kuleta songi zisizo na mshiko haijengi
 
Mbona Makamba alimkumbusha JK kumshukuru Salma siku ya kurudisha fomu ndani ya chama kule Dodoma? JK ana wengi wa kukumbuka mpaka akumbushwe mtu tunayedhani muhimu!
 
is not a point kwani ni lazima angeongelea hapo kampeni hazijaisha may be
amepanga kuongelea uchumi akiwa mahali pengine, ingekuwa kampeni zimekwisha
ungeniambia yaani kampeni jamaa (Slaa) hajazungumzia uchumi wa nchi,
nafikili wewe ndiyo kilaza ama ugongo umeganda, hiyo ni siku ya kwanza tu
 
Sioni ajabu kwani hata CV yenyewe ya Dr slaa haitoshi kuwafanya wananchi wampe nchi.atakuwa anakumbushwa na nani?
 
Slaa amejiharibia sana sijui ni nani alimtosa kugombea Uraisi ,ni onavyo ni ccm tu wamemwonga ili atumike kuwagawa wapiga kura ambao tayari walikuwa wameshaelekeza kura zote zielekezwe CUF , na bado majuto ni mjukuu ,imebaki miezi miwili tu.
 
Chadema kwa hili wamefulia , aloo !! duu du yeah ,e bwanae . Naona bora Chadema waamue kujitoa na mapema katika mbio hizi na wakubali kuelekeza mbio zao kwa CUF naamini watakuwa hawajapoteza kitu ,vinginevyo kila siku zikizidi ndivyo wanavyozidi kupoteza imani kwa wananchi , hawa akina Slaa na Mtei (CCM wakala) ,wameamua kukiua hiki chama .
 
Ilikuwa lazima CHADEMA kufungulia kampeni sehemu hiyo hiyo kama ratiba ya C.M.M? Jamani CHADEMA, tuonyeshe creactivity

Mh! Kwani Creativity inaonyeshwa na Mahali au Namna Ufunguzi ulivyofanyika, Ulitaka Wafungulie Angani ndio uone wako Creative au! Kazi Kweli kweli
 
I agree, to the extent that the V.P. is that close to presidency. But beyond that I must add that your appreciation of election year politics in Tanzania is oft-times a bit off-key. Traditionally, the profile of prospective VP is a total non-factor.

It's a total non-factor until it becomes a factor huh?

Rashidi Mfaume, Idris Wakil, Ally Mwinyi, Othman Juma, Shehe Mwinyi Jumbe, and this Alli Shein guy, were all political goofs and goons whom nobody thought of for more than three seconds when they were elected V.P's.

These "goofs and goons" already had proven leadership abilities way before ascending to the vice presidency or presidency. Now this CHADEMA VP candidate is being plucked from obscurity and thrust into the national spotlight based on what? What has he done? Do you have his resume?


Did Kawawa become president during that brief period of time? And Mwinyi already had proven leadership ablities so you can't compare him to this CHADEMA guy. Do you really think this CHADEMA VP nominee can be president if it came down to it?


Nominating a guy with no known accomplishments portends danger especially if a need arises for him to step up to the plate and take over the presidency.

But suffice is to say, we just don't give a hoot about the second fiddle at Ikulu. I wouldn't mix up local politics with electioneering concepts from a different universe.

Alrighty then Mr. Lord Chief Justice, Lord High Admiral... Archbishop of Titipu, Lord Mayor and Lord High Everything Else.
 
just a piece of advice bana Padri... hebu tumegee kidogo basi yaliyojiri maana si wote tulipata kuona hiyo shughuli

Thanks for this mkuu...

BTW, Hivi ina maana hakuwa na points za kuongelea hadi akumbushwe?

Mheshimiwa nimebahatika kuhudhuria mikutano ya vyama vya CUF,CCM na Chadema vyama viwili vya mwanzo vinaeleza Dira na sera zao kwa wananchi kuwa mkituamini tutafanya hiki na kile karibuni kwenye kila eneo.Chadema aliingia Marando akasema watashughulikia Mafisadi,Mbowe akazungumzia Mafisadi na Elimu kuwa haina maana sana kwenye Uongozi.kuwa na darasa la saba Mgombea Mwenza haina tatizo.Alipopanda Slaa akaja na Habari za UFISADI akaanza kutaja kesi za kisutu na ufisadi wa nyimbo za kizazi kipya kuwa kazi zao zinafisadiwa na CCM, akaingilia Point ya Mr.Sugu na Ruge Ugomvi wa NO MORE MALARIA.siku muhimu kama hiyo unajadili mambo kama hayo ya ugomvi wa mtu na Mtu?

Mheshimiwa Shibuda alipoona mambo si Mambo akamuandikia kidesa-memo- Slaa kuwa Mzee sema Chochote kuhusu Uchumi. Mzee Slaa akapayuka Live kuwa Nakushukuru Shibuda kunikumbusha nizungumzie Uchumi.Kimsingi mtu makini atajiuliza mengi sana juu ya umakini unaodaiwa kuwa nao Chadema. nadhani unaweza kutafuta mkanda wa Video au jaribu kwenye You Tube uone walivyoshindwa kutumia simu muhimu wa kunadi sera zao kwa wananchi. akikazania kesi za Mahakama ya Kisutu inaoneka Slaa na Mbowe walipenda wawe waendesha Mashitaka na mwingine awe hakimu.dhamira yao haioneshi wanataka kuongoza Nchi inaoneka wanataka kuwa Prosecutors.

Kweli Shibuda kawapa mchango mkubwa sana tena siku ya kwanza kuhudhuria mikutano yao.Dj Mbowe kwenye kuongea alikuwa na nafuu kubwa kuliko Slaa aliyekuwa akijiumauma.Mbowe ametumia uzoefu wake wa UDJ jana.
 

Mbona unasema kinyume cha walichosema? Moja ya sifa za kumchagua ilikuwa uzoefu wake wa uongozi katika sehemu mbalimbali na walizitaja ingawa hana elimu kubwa sana. Lakini pia hawakusema ni darasa la saba (walau sikusikia hilo). Ina maana ana elimu ya kawaida ila hana MA, PhD etc kwa mfano.

Na kama elimu kwa maana ya kupata hizo degrees kingekuwa kigezo cha uongozi basi viongozi tulio nao wenye PhD etc wangekuwa wameshaonesha miujiza hapa nchini lakini ndio mafisadi nk. Cha muhimu kwenye uongozi ni uwezo wa kuelewa matatizo ya wananchi na kuyatafutia ufumbuzi na siyo acummulation of degrees: full stop!
 

Walisema jana kuwa Mgombea wao hana hajawahi kufanya kazi sehemu yeyote na hana elimu lakini kisiwe kigezo cha kutokumchagua then ndio wakatoa mifano ya viongozi kama Mzee Kawawa.unaweza kucheki Video zao za jana au wasiliana nao upate mkanda wa video wa jana.sasa hata kama mgombea mwenza wenu alikuwa ni mfanyabiashara wa juice mngesema ana uzoefu wa biashara.na hakukuwa na haja ya kuji DEFENCE na habari ya Elimu au kutokuwa na uzoefu wa kazi.kusema kwenu kule ndio mmetupa nafasi sisi tusema. kiukweli hamkuwa Serious Kutafuta Mgombea mwenza.nakuuliza Mgombea wenu akikutana na Juma Duni au Dr.Bilal au Shein anaongea nini?
 

Ndugu yangu wasomi ni muhimu kwenye dunia ya leo.wewe mfuasi wa Chadema unatukana kwa vile Mgombea wako hana elimu ya kutosha.Kunitukana haisaidii kwani Mgombea wako bado ni darasa la saba tu.matusi yako hayampi vyeti. ndio maana Chadema wameshindwa kuzungumzia sera ya Elimu jana kutokana na Mgombea wao kuwa na elimu ya darasa la saba na Mwenyekiti naye hana elimu.hivyo hata kuizungumzia Elimu wanaogopa.
sasa mnasema mtawafunga wezi wa EPA na Mafisadi, kama kusoma hamtaki mtawezaje kuwapeleka mahakamani? Tukana utakavyo Elimu ni jambo muhimu kwa mtu yeyote timamu.Mmeshindwa kupata hata Mtu mwenye elimu ya kidato cha nne huko Zanzibar?
 
[HTML]
Katika uzinduzi wa kampeni za chadema leo jangwani uongozi wa chadema umekiri hadharani kuwa mgombea wao kuwa na elimu ya msingi na kutokuwa na uzoefu wa kazi wowote si tatizo kwani wako viongozi kama church hill alieyekuwa waziri mkuu wa uingereza hakuwa na elimu.

[/HTML]

Kaaaaazi kwelikweli!Padri,kumbe jamaa No school???Na anataka kuwa VP???Jamani hawa watu wapunguze utani.Hii ni nchi!
 
katika kuondoa dhana ya UDINI kwenye chama cha Chadema mgombea mwenza wa Chadema alivyalishwa Kanzu ili kuonekana ni chama cha wote.cha kujiuliza ni kuwa siku ya Slaa anatangaza nia ya kugombea watu wote walitokea.isipokuwa wabunge wa Kiislam walisusa baada ya kuona kuwa ni mpango wa maaskofu.kumpa shavu Slaa.Zitto KABWE,Muhonga na Alfi hawakutokea.

kitendo cha kuvalishwa kanzu mgombea yule mgombea ni danganya toto.cha ajabu ni mgombea yule akasema kuwa Chadema hakuna udini na yeye kapata chance ya ugombea.
akasema Chadema kuna usawa wa hali ya juu.swali jee kwenye viti maalum kuna mtu kapewa toka Zanzibar? jibu hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…