CCM kwa CCM hatutendeani haki . . . Kukua atazaa myai ya dhuluma au haki
CCM ndo inaleta mikataba mibovu
Tumpe likizo JK
Wana CCM wamkabidhi madaraka CHADEMA Kumuenzi baba wa Taifa
CCM imegeuza nchi yetu kwa walowezi ambao wanajifanya wawekezaji
CCM ukiwa mlokole hupwei uaskofu
Ukiwa mswalihina hupewi Uimamu wala ushehe
Ukitekeleza wajibu wako hutambuliki
Superman, you're good at typing man! Maana naona wewe uko post ya 6, wengine ndiyo wanadonyoa keyboard kuandika kile ulishaandika dakika 8 zilizopita!! lol :smile-big:
mbona hakuna wasanii wengine??
du, Mzenji naongea kweli huyu . . .
Kishamaliza tayari
Superman,
hivi tv zingine zinaonyesha?