Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

Elections 2010 Ufunguzi wa Kampeni ya Chadema Jangwani 2010

Wa TZ Mnataka Katiba Mpya
Yenye Mgombea binafsi
Rais aliyeingia kwa Rushwa aondolewe
Mawaziri watoke nje ya Wabunge ili wawajibike
Slaa atazungumzia juu ya Katiba

Juzi Mtikila kaenda Mahakamani, JK kafanya Janja Mahakama imekataa
Hukumu yenu ni kubwa kuliko ya Mahakama
Mtaitoa tarehe 31 Oktoba ili CCM iondoke
 
Wewe...wewe...Superman sasa unataka sifa :becky: yaani unaanza kuandika fasta zaidi ya ninavyoweza kusoma...duuh, wee mtu nuksi kichizi, una vigurudumu nini kwenye vidole vyako?? lol :smile-big:

Superman, Superman, Superman, Superman, Superman OOOyeeeeah!! Live Event Reporter Of The Year (LEROTY) !!!!! Come to think of it, an award could be in the making... lol
 
Jana Kenya Wameanza na Katiba Mpya na Viongozi wakuu wameapa Mpya.
Siyo mambo ya Viraka Viraka
Wanaotaka wanyanye Mikono . . . Woote wamenyoosha ninaowaona
 
Marando anatangaza tena kumwunga Mkono Slaa hata kama wanadai anatetea mafisadi
Anayoyasema ana uhakika nayo na hawatamfanya kitu
Orodo ya mafisadi ya timu ya watu 11 iliyoanza na JK . . . .
Kumshtaki Liyumba peke yake si ufumbuzi wa Ufisdadi

Ufumbuzi mnao ninyi
waliowaruhusi wakati huo, Mh. Mkapa (du, jamaa nataja tu)
Ana Uhakika hakuna atakayemfanya kitu
Mkapa aliombwa na JK na Lowasa wafanye hivyo (Du, wakuu ni noma sana)
 
Ni muhimu wa TZ muwe na Uchungu
Pigeni kura ya Uhakika
Tumieni Kura zenu
TAKUKURU


Du! TBC WAMEKATA MATANGAZO
 
Naomi Kaihula Ilala
JJ Mnyika Ubungo
Halima Mdee Kawe
James Binagi, Ukonga
Philip Mugendi, Kinondoni
Anna Komu, Kigamboni
Fred Mpendazoe, Segerea
Dickson Hill Temeke
Regia Mtema, Kilombero (*Mwana JF)
Kisesa, Shinyanga
Alhaji Jaji Mstaafu, wa Tabora
Tundu Lissu
John Shibuda
Nyagawa?

Mbona majina yamelalia upande mmoja wa dini tena ya kikristo, na ukichanganya na mgombea Padri sina imani na Chadema
 
DUUUUUU JAMANI TBC NI NOMA

WAMEKATA MATANGAZO

Sasa wameweka Matangazo ya BANGO

Mliopo Jangwani jamani tusaidieni Kupost sasa
 
TBC1 Fitna za nini, mbona mnakata matangazo ya live...................TBC acheni USHENZI...........K@?>":#e zenu...
 
Shenzi TBC, nilikuwa nafuatilia wamekata ghafla, damn it!
 
TBC imekata matangazo ya live mara baada ya Marando kusema kuwa Mkapa aliruhusu wizi wa fedha benki kuu baada ya kuombwa na Kikwete, Lowasa na Rostam
 
Back
Top Bottom