Nostradamus,
..kila ilani itakuwa na mapungufu. hakuna ambayo itakuwa na details zote unazotaka.
..tunachopaswa kuangalia kabla ya kupiga kura ni kuchukua ilani za vyama vyote na kuzilinganisha.
..ungesaidia kama ungeleta ilani ya CCM halafu tuone wanau-define ufisadi namna gani. vilevile CCM wana rekodi kwa hiyo tutawapima kama kweli wanaushughulikia ufisadi kama wanavyobainisha ktk ilani yao.
..vyama vya upinzani kama CUF,Chadema, etc, havijapata kushika madaraka, hivyo tunalazimika kuvipima kwa kusoma ilani zao, na kuchunguza viongozi wao na kuangalia kama wana uwezo wa kutekeleza wanayoahidi.
..kwa mtizamo wangu siyo kama CCM hawajafanya kitu kabisa. there are some good things they have done, but to me are not good enough. there r a lot of lost opportunities, na mambo mengi wanayoyafanya CCM siyo sustainable. this is a party of wastage and fiscal indiscipline. akwa utendaji wa CCM sioni nchi hii na wa-Tanzania wakiweza kujitegemea huko mbeleni. kwa msingi huo kura yangu siwezi kuwapa CCM.