Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
Nilijua tu watakata.
Dawa ni watu leo hii hii kuandamana hadi TBC na kuwawekea barua.
Wakimaliza, Dr. Slaa amwambie LIVE Boss wa TBC 1 na maboss wengine kuwa watunze data ili Mhuni anayekata siku zote maelezo ya Slaa basi ashitakiwe kulingana na uhujumu wake. Nawasikitikia kwamba, watapanda peke yao Kizimbani wakati mwenzao Kikwete atakuwa na IMUNITE.
Mijitu mingine bana, wee sijui Mhando siji nani, anza kukusanya virago, CCM weee.......