October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Serikali bado inapata kigugumizi kuzifungua shule kutokana na shule nyingi za msingi na sekondari kuwa na mlundikano mkubwa darasani.Watoto ni wadogo na darasa hubeba wanafunzi zaidi ya mia,sasa itakuaje akiwepo mmoja mwenye maambukizi? Ndiyo linapatikana jibu la tusubiri ugonjwa umeondoka kabisa.
Unateseka kwa kukosa mshahara au kwa watoto wako kuwepo nyumbani? Mshahara au kusoma Kuna maana kwa watu wazima si maiti.Corona inaua usichezeTumesikia kauli mbali mbali za viongozi na Rais wetu kuhusu UFUNGUZI WA primary and secondary school
Kwa wale mlioko karib na connection, serikali ikitangaza tarehe tu, mtuwekee taarifa hapa
Pia nyie wa connection, mnadhani kwa nn hd Leo tareh haitangazwi? Tulisikia wakisema baada ya wiki mbili toka tareh moja ya UFUNGUZI WA vyuo, lkn wiki mbili zimeisha hakuna kitu
Mbona mambo ya kizembe km mpira, miziki, tayari yanafanya kazi?
Bawashauri viongozi wajue kuwa kuna watu tunateseka mbaya sanaa, japo kweli korona inaua na lzm iratibiwe vizuur ndo tufungue, lkn wajitahid kubalance kuokoa Hali za baadhi ya watanzania, tutangaziwe hata tareh tuh, at least tujipe moyo kuwa n siku flani,
Elimu n ufunguo wa maisha
Sent by using alshabaab blog
Ni ujinga na ujuha kuamini kuwa kuwa kiongozi ni kuwa na akili kuliko watu wote unaowaongozaMKUU WEWE NDO UNA UCHUNGU KULIKO HAO VIONGOZI TULIOWAPA DHAMANA?? TULIZA MSHONO WANAJUA WANALOLIFANYA NA WAO WANAJUA ZAIDI KUHUSU HILI JAMBO
Atuache tupumzike Mh kasema atatulipa hata miaka 10 we shida yako nn hebu acha tupambane kwanza mkuuMKUU WEWE NDO UNA UCHUNGU KULIKO HAO VIONGOZI TULIOWAPA DHAMANA?? TULIZA MSHONO WANAJUA WANALOLIFANYA NA WAO WANAJUA ZAIDI KUHUSU HILI JAMBO
Sawa Endeleeni kupambanaAtuache tupumzike Mh kasema atatulipa hata miaka 10 we shida yako nn hebu acha tupambane kwanza mkuu
Pambana na hali yako vya bure wakati tunapiga buku ulikuepo ngosha?Sawa Endeleeni kupambana
Ila vya Bure mtavilipa tuh
Vipi boss,wewe ni ticha wa private nin? Au madogo nyumbani wamezidi ukorofi?Tumesikia kauli mbalimbali za viongozi na Rais wetu kuhusu UFUNGUZI WA primary and secondary school
Kwa wale mlioko karibu na connection, Serikali ikitangaza tarehe tu, mtuwekee taarifa hapa
Pia nyie wa connection, mnadhani kwanini tareh haitangazwi? Tulisikia wakisema baada ya wiki mbili toka tareh moja ya UFUNGUZI WA Vyuo, lakini wiki mbili zimeisha hakuna kitu.
Mbona mambo kama mpira, miziki, tayari yanafanya kazi?
Nawashauri viongozi wajue kuwa kuna watu tunateseka mbaya sana, japo kweli Korona inaua na lazima iratibiwe vizuri ndo tufungue, lakini wajitahid kubalance kuokoa Hali za baadhi ya Watanzania, tutangaziwe hata tareh tuh, at least tujipe moyo kuwa ni siku fulani,
Elimu ni ufunguo wa maisha
Sent by using alshabaab blog
Hao wa primary ni watoto kujilinda ni vigumu kama wa Chuo mbona kichwa chako ni kigumu kuelewa?Shule kuna mlundikano kama Chuo kweli unazijua Thieter Room za vyuoni zinakisanya wanafunzi wangapi kwa mkupuo.
Naona Reg number hapo hahahaaaNchi nzima tunasubiri tamko la mtu mmoja. Selection za form five nazo wanasubiri tamko.
kwa hyo wale wa chuo wametolewa chambo?Kuwa na subira,Rais alisema anaangalia hawa wa vyuo wanaendelea vipi kisha atafungua,,primary ni watoto wale,umakini unatakiwa,,mtoto anauma sana asee
Binafsi nataka hata September ndo wafungue.Kuwa na subira,Rais alisema anaangalia hawa wa vyuo wanaendelea vipi kisha atafungua,,primary ni watoto wale,umakini unatakiwa,,mtoto anauma sana asee
Wee vipi Jifunze kujua hoja basi jamaa.Hao wa primary ni watoto kujilinda ni vigumu kama wa Chuo mbona kichwa chako ni kigumu kuelewa?
Ila Mkuu sio poa, ingawa nimecheka mbayaMkuu unauza Ice cream shule nini?
Kweli ndugu. Msongamano ni changamoto kubwa, hasa kwenye shule za ummaSerikali bado inapata kigugumizi kuzifungua shule kutokana na shule nyingi za msingi na sekondari kuwa na mlundikano mkubwa darasani.Watoto ni wadogo na darasa hubeba wanafunzi zaidi ya mia,sasa itakuaje akiwepo mmoja mwenye maambukizi? Ndiyo linapatikana jibu la tusubiri ugonjwa umeondoka kabisa.