October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Serikali bado inapata kigugumizi kuzifungua shule kutokana na shule nyingi za msingi na sekondari kuwa na mlundikano mkubwa darasani.Watoto ni wadogo na darasa hubeba wanafunzi zaidi ya mia,sasa itakuaje akiwepo mmoja mwenye maambukizi? Ndiyo linapatikana jibu la tusubiri ugonjwa umeondoka kabisa.
Shule kuna mlundikano kama Chuo kweli unazijua Thieter Room za vyuoni zinakisanya wanafunzi wangapi kwa mkupuo.