Tetesi: Ufunguzi wa shule za msingi na sekoondari

Tetesi: Ufunguzi wa shule za msingi na sekoondari

Serikali bado inapata kigugumizi kuzifungua shule kutokana na shule nyingi za msingi na sekondari kuwa na mlundikano mkubwa darasani.Watoto ni wadogo na darasa hubeba wanafunzi zaidi ya mia,sasa itakuaje akiwepo mmoja mwenye maambukizi? Ndiyo linapatikana jibu la tusubiri ugonjwa umeondoka kabisa.

Shule kuna mlundikano kama Chuo kweli unazijua Thieter Room za vyuoni zinakisanya wanafunzi wangapi kwa mkupuo.
 
Tumesikia kauli mbali mbali za viongozi na Rais wetu kuhusu UFUNGUZI WA primary and secondary school

Kwa wale mlioko karib na connection, serikali ikitangaza tarehe tu, mtuwekee taarifa hapa

Pia nyie wa connection, mnadhani kwa nn hd Leo tareh haitangazwi? Tulisikia wakisema baada ya wiki mbili toka tareh moja ya UFUNGUZI WA vyuo, lkn wiki mbili zimeisha hakuna kitu

Mbona mambo ya kizembe km mpira, miziki, tayari yanafanya kazi?

Bawashauri viongozi wajue kuwa kuna watu tunateseka mbaya sanaa, japo kweli korona inaua na lzm iratibiwe vizuur ndo tufungue, lkn wajitahid kubalance kuokoa Hali za baadhi ya watanzania, tutangaziwe hata tareh tuh, at least tujipe moyo kuwa n siku flani,

Elimu n ufunguo wa maisha

Sent by using alshabaab blog
Unateseka kwa kukosa mshahara au kwa watoto wako kuwepo nyumbani? Mshahara au kusoma Kuna maana kwa watu wazima si maiti.Corona inaua usicheze
 
MKUU WEWE NDO UNA UCHUNGU KULIKO HAO VIONGOZI TULIOWAPA DHAMANA?? TULIZA MSHONO WANAJUA WANALOLIFANYA NA WAO WANAJUA ZAIDI KUHUSU HILI JAMBO
Ni ujinga na ujuha kuamini kuwa kuwa kiongozi ni kuwa na akili kuliko watu wote unaowaongoza
 
MKUU WEWE NDO UNA UCHUNGU KULIKO HAO VIONGOZI TULIOWAPA DHAMANA?? TULIZA MSHONO WANAJUA WANALOLIFANYA NA WAO WANAJUA ZAIDI KUHUSU HILI JAMBO
Atuache tupumzike Mh kasema atatulipa hata miaka 10 we shida yako nn hebu acha tupambane kwanza mkuu
 
Tumesikia kauli mbalimbali za viongozi na Rais wetu kuhusu UFUNGUZI WA primary and secondary school

Kwa wale mlioko karibu na connection, Serikali ikitangaza tarehe tu, mtuwekee taarifa hapa

Pia nyie wa connection, mnadhani kwanini tareh haitangazwi? Tulisikia wakisema baada ya wiki mbili toka tareh moja ya UFUNGUZI WA Vyuo, lakini wiki mbili zimeisha hakuna kitu.

Mbona mambo kama mpira, miziki, tayari yanafanya kazi?

Nawashauri viongozi wajue kuwa kuna watu tunateseka mbaya sana, japo kweli Korona inaua na lazima iratibiwe vizuri ndo tufungue, lakini wajitahid kubalance kuokoa Hali za baadhi ya Watanzania, tutangaziwe hata tareh tuh, at least tujipe moyo kuwa ni siku fulani,

Elimu ni ufunguo wa maisha

Sent by using alshabaab blog
Vipi boss,wewe ni ticha wa private nin? Au madogo nyumbani wamezidi ukorofi?
 
Mnaoomba shule zifunguliwe labda watoto wenu wanasoma shule za binafsi, kwa mazingira ya shule za umma hasa ya shule za msingi sio kabisa.
1. Huwezi zuia msongamano kutokana na uchache wa vyumba na samani
2. Shule zingine ziko maeneo ambayo kupata maji tiririka ni msala
3. Wazazi hawana uwezo wa kununua barakoa nk nk
NB watoto wana kinga wanaweza wasidhurike lakini wataweza waambukiza wazazi, Bibi na babu zao ambao kinga yao ni ndogo. Shule ni tofauti na vyuo na miundombinu bado iko chini saana
 
Selection za form five nazo sijui zitatangazwa lini, wanasubiri watangaze kufunguliwa kwa shule hlf watupe short notice ya watoto kureport shuleni....Jafo tangaza selection plz!
 
Kuwa na subira,Rais alisema anaangalia hawa wa vyuo wanaendelea vipi kisha atafungua,,primary ni watoto wale,umakini unatakiwa,,mtoto anauma sana asee
kwa hyo wale wa chuo wametolewa chambo?
 
Kuwa na subira,Rais alisema anaangalia hawa wa vyuo wanaendelea vipi kisha atafungua,,primary ni watoto wale,umakini unatakiwa,,mtoto anauma sana asee
Binafsi nataka hata September ndo wafungue.
 
Rais atafungua shule wiki hii, darasa la 4,7, form 2&4 pekee ndio watarudi darasani kama piloting.
 
Wanafunzi wa shule za msingi na sekondari hawaingizii mapota serikali hata buku 1
Zaidi ya kuongeza gharama na hivi elimu ni bure ndio maana hawaoni sababu ya kuharakisha
Wakifungua shule gharama ya kuhudumia shule za serikali inaongezekà kwa hiyo na korona anasaidia sadia

Kumbuka tu mpaka au hadi sasa hata vitabu vya kusomea na kufundishia shule za serikali havijafika
Mambo bado sana Mkuu
 
Serikali bado inapata kigugumizi kuzifungua shule kutokana na shule nyingi za msingi na sekondari kuwa na mlundikano mkubwa darasani.Watoto ni wadogo na darasa hubeba wanafunzi zaidi ya mia,sasa itakuaje akiwepo mmoja mwenye maambukizi? Ndiyo linapatikana jibu la tusubiri ugonjwa umeondoka kabisa.
Kweli ndugu. Msongamano ni changamoto kubwa, hasa kwenye shule za umma
 
Kwa mujib WA taarifa zilizotufikia Tena naamin kila mmoja ameshazipata ni kwamba

Tareh 29/6/2020 shule zote zimeamuriwa zifunguliwe

HIKI ndicho nilichokuwa n akitaka, sio kuniuliza eti nauza ice-cream, unaumwa korona nn?

Mungu ibariki nchi yangu,
 
Back
Top Bottom