Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
UFUNGUZI WA SIKU 7 ZA KUBEBA KILA KITU
📍20 Novemba, 2024
Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) leo amekuwa mgeni rasmi katika Mkutano wa hadhara wa ufunguzi wa Kampenzi za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa/Vijiji Mkoani Morogoro uliofanyika katika viwanja vya Chamwino Wilaya ya Morogoro Mjini.
Mlezi wa Morogoro pamoja na Mambo mengine amewaeleza wananchi wa Mkoa wa Morogoro kuwa wagombea wanaotokana na Chama Cha Mapinduzi ndio wanaofaa kupewa nafasi ya uwakilishi katika ngazi zote kwani ndio watakuwa wanauwezo wa kuwasilisha kero zao sehemu husika na kwa wakati sahihi.
Ameongeza kuwa Mkoa wa Morogoro ni Mkoa unaotegemea kilimo kwa 75% Mhe. Rais amehakikisha wanapata mbolea ya ruzuku, ameajiri maafisa Ugani na kuwapa usafiri ili kurahisisha majukumu yao lakini kiunganishi kukubwa cha wakulima na maafisa Ugani ni Viongozi wa serikali za Mitaa hivyo wasifanye makosa, wachague viongozi wanaotokana na CCM.
#KijanaNaKijani
#TunazimaZoteTunawashaKijani
#Siku7ZaKubebaKilaKitu
#PigaKuraKwaMaendeleoYaKitaa
Attachments
-
WhatsApp Video 2024-11-20 at 21.23.16.mp420 MB
-
WhatsApp Image 2024-11-20 at 20.29.20.jpeg621.6 KB · Views: 2 -
WhatsApp Image 2024-11-20 at 20.29.21.jpeg476.1 KB · Views: 2 -
WhatsApp Image 2024-11-20 at 20.29.22.jpeg572 KB · Views: 2 -
WhatsApp Image 2024-11-20 at 20.29.23.jpeg695.5 KB · Views: 2 -
WhatsApp Image 2024-11-20 at 20.29.24.jpeg354.6 KB · Views: 2 -
WhatsApp Image 2024-11-20 at 20.29.25.jpeg635.5 KB · Views: 3 -
WhatsApp Image 2024-11-20 at 20.48.12.jpeg428.6 KB · Views: 2 -
WhatsApp Image 2024-11-20 at 20.48.14.jpeg334.4 KB · Views: 2 -
WhatsApp Image 2024-11-20 at 20.48.15.jpeg402.7 KB · Views: 3 -
WhatsApp Image 2024-11-20 at 20.48.18.jpeg365.6 KB · Views: 2