[emoji120] [emoji120] [emoji120]Umeongea kitu cha ndani sana ili mtu akuelewe anapaswa kuwa na ufahamu/uelewa mkubwa sana wa mambo ya kiroho hasa. Ni kweli mwanadamu katika wakati wake kabla ya dhambi hakuwa wa mchezo mchezo. Baada ya dhambi mpaka mapepo wanamsumbua mtu bhana!
Kila anayekataa Yesu Kristo hakuja katika mwili huyo ndiye mpinga Kristo.Mmmh nyabhingi hapana Yesu Kristo aliwahi kuwepo hata kihistoria tumesoma hili...... Kumbuka hata mabadiliko ya tarehe yametajwa kama AD (Anno domino ) na BC (Before Christ ) na kuna evidence na footage nyingi tu zinazomhusu
Natamani kama kungekuwa na uwezo wa kuweka likes zaidi ya moja kwenye hili jibu lako niweze ku like!!!Hawakuwa binadamu wa kawaida kama mimi na wewe
Kua uyaone.Duh
Hii mpya kabisa kichwan mwangu
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Ili kuelewa kuhusu Lilith imenibidi kusoma coment zote na vifungu vya Biblia nimepata mambo mengi ambayo sikuwa nayajua na wachangiaji wengi wameeleza kwa kina.
Shukrani nyingi kwako Mshana jr kwa kuleta somo hili nawachangiaji wote naamini kuna mengi zaidi tutajifunza hapa.
Duuuh so adam alikiwa na wake wawili??Ipo ifuatilie
Huyo lilith yupo kwenye bible? Maan hata hiyo bible nayo khaa inavitabu mia kasoroNdivyo inavyosemekana japo kuna ukakasi ambao ndio tunajaribu kuudadavua hapa
Yupo kwenye vitabu gani?Hapana na kutajwa kwake ni kwa mashaka
TalmudJewish Bible nadhani