Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Umeongea kitu cha ndani sana ili mtu akuelewe anapaswa kuwa na ufahamu/uelewa mkubwa sana wa mambo ya kiroho hasa. Ni kweli mwanadamu katika wakati wake kabla ya dhambi hakuwa wa mchezo mchezo. Baada ya dhambi mpaka mapepo wanamsumbua mtu bhana!
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Ili kuelewa kuhusu Lilith imenibidi kusoma coment zote na vifungu vya Biblia nimepata mambo mengi ambayo sikuwa nayajua na wachangiaji wengi wameeleza kwa kina.
Shukrani nyingi kwako Mshana jr kwa kuleta somo hili nawachangiaji wote naamini kuna mengi zaidi tutajifunza hapa.
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom