Kwanza sio kweli kwamba Bible iko wazi kwa kila jambo, hivyo si sahihi ku rely kwa Bible persee ktk yote. Mfano, Cain alipokwenda nchi za mbali alioa huko, pili Jesus aliwalisha wanaume tu ktk ile sherehe.
Jambo moja, binafsi kwa akili zangu ndogo huwa naliamini, kwamba "kuna kitabu kikubwa sana cha miongozo, kiko spiritual" Bible ni ukurasa wake mmoja tu, Quran na vinginevyo eidha vilivyoandikwa au vinaishi ktk maisha ya viumbe tu, ni sehemu ya kurasa hizo chache sana. Mengi hayajafunuliwa.
Yesu mwenyewe, akiwa Ameshafikia ukingoni mwa kipindi chake cha kufundisha, alitoa kauli tata Sana,ya kwanza "Itafuteni kweli nayo itawaweka huru" na ya pili alisema, "watu wangu wanaangamia kwa kuyakosa maarifa" kama utasumbua kichwa utagundua kuna kweli nyingi tumeamrishwa kuzifumbua.
Mimi naamini, kuna lugha moja ya asili ambayo mwanadamu anaweza akaitumia kuwasiliana na nyoka, simba na ndege. Ipo ingawa haielezeki. Sura zetu ni zaidi ya uso.