Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

GENESIS chapter 6
1 And it came to pass, when men began to multiply on the face of the earth, and daughters were born unto them,

2 That the sons of God saw the daughters of men that they were fair; and they took them wives of all which they chose

My question who are these son's of God?
 
"Sasa huyu" ujue hii ni demostrative pronoun kimsingi amaonyesha. Swali anamuonyesha nani?. "Bwana akafanyia usingizi, anapozinduka akamuona mwanamke . Hili ni tangazo la kuonyesha kwa Mungu. Kumbuka gwaride la wanyama lilipita mbele za Adamu akawaita majina huyo maye anampa jina mbele za Bwana
Labda mimi sijui sana kiswahili fasaha kama maprofeseri wa kiswahili but na uhakika mtu anaposema SASA anamaanisha hicho anachokiongela alishakiona kingine kama hiko kabla na ndio maana anatumia neno Sasa kutofautisha....huwezi tumia neno sasa kwa kitu ambacho hujawahi ona Wanyama ni tofauti na Mwanamke hawafanani hata chembe na adam hakiwahi hata kuwa na wazo wala ndoto akiwaza picha ya mwanamke...

Plus pia anamdadavua huyo mwanamke kuwa huyu ni nyama wa nyama yangu[emoji53][emoji53][emoji53] swali jingine hilo......Kama huyo ni nyama kutoka kwake Je kuna ambaye hakuwa wa Nyama yake[emoji53][emoji53][emoji53]?

Bado kuna viulizo hapo
 
Kumbuka Adam aliletewa wanyama wote walio umbwa na Mwenyenzi Mungu awape majina na wampe kampani. Mungu akaona Adam hakuonekana kuvutiwa na hiyo kampani ya wanyama ndio akaja na wazo la kuumba kiumbe kitakacho mpaka kampani Adam. Soma mwenyewe Biblia yako uone huu ukweli.
We ndio bure kabisa usisome bible kwa kukariri shirikisha ubongo
 
Dah hatari sana huyo kiumbe ukiona manabii watano wanamtaja kiumbe mmoja basi jua alikuwa ni moto wa kuotea mbali..... Soma ayubu 41 sura nzima inamchambua huyu kiumbe wa ajabu ambaye hajapata tokea mpaka sasa
Zitto kuna madini flani unayamwaga humu sema hujaya purifie ila ninajiongeza napata kitu pure mzee uko sawa big up
 
Kwa imani yangu mimi Yesu ni Mungu na yeye ndiye mwanzo wa yote na alikuwepo kabla ya haya yote uliyo yataja hapa. Kwangu mimi hakuna cha ajabu hapa. Zaidi ya kusema ni uongo wa yule baba wa uongo akitaka kujinasibisha na Mungu ili akupate wewe na wa aina yako.
Tanua fikra usiwe kama pakacha unameza tu bila kuchuja ukiambiwa ukweli utakuweka huru tafuta ukweli sio kuamini tu unachohubiriwa jiongezee
 
GENESIS chapter 6
1 And it came to pass, when men began to multiply on the face of the earth, and daughters were born unto them,

2 That the sons of God saw the daughters of men that they were fair; and they took them wives of all which they chose

My question who are these son's of God?

Kwa hatua uliyokuwepo kulingana na ulivyouliza swali ni ngumu kuelewa jibu

Zaidi utazidi kukanganyika

Jibu ni rahisi tu Me and You.

Sijui kwanini inakua ngumu watu kuamini kwamba hii Dunia ni shule kama zilivyo shule zengine

Unatakiwa kufanya DNA activation kwa lengo la kusoma kitabu cha kweli.

After breaking the egg na kuruhusu kulandini energy ku rise kupitia Chakra zako up to clown and open your flower na kukuwezesha
Kureceive nguvu ya ziada

Huwezi kuelewa Bible phenomena bila kujijua mwenye kwanza

Na Mtazamo wa kristo ndio utakao kuwezesha kujua yote hayo

Kukupa nguvu ya kujua Nguvu yako. Sisi ni vitoto vya Miungu

Sijui umenipata au ndio nimekukera zaidi.
 
GENESIS chapter 6
1 And it came to pass, when men began to multiply on the face of the earth, and daughters were born unto them,

2 That the sons of God saw the daughters of men that they were fair; and they took them wives of all which they chose

My question who are these son's of God?
Mkuu there are mixed opinions concerning who the SONS OF GOD are??

One side suggests than SONS OF GOD means the heavenly beings/Angels who according to this verse approached human females and had sex with them leading to the emergence of giant race half man- half angels!! called nephillims to exist on earth.

However on the other side, others suggest that these SONS OF GOD meant the sons of SETH and there reference was thata cain had sinned hence cursed and not considered as a SON OF GOD anymore.... Thus Cain's brother called seth was considered SON OF GOD due to his loyalty and faith in GOD.

So as per now there is still a debate concerning what SONS OF GOD really meant whether ANGELS or SONS OF SETH!!! But the bible concludes that SONS OF GOD are all people who honour and worship one true GOD almighty

So i personally conclude that SONS OF GOD are SETH descendants
 
I see! Nilikuwa sijawahi ckia hizo habari za shost ake na Hawa... ngoja nami niingie online library nimbukue kidogo!!

Sema dah, mara malkia wa giza, mara malkia wa jehanamu, mara Lilith hivi; mara Lilith vile... yaani makombora yote hayo anayopigwa kisa tu kv kamtema Adam!

Hivi huyu Adam nae si ni miongoni mwa wateule wa Mungu; au?! Kama ndivyo, huku Uswahilini si huwa tunaambiana eti mke mwema hutoka kwa Mungu; au?

Kama ndivyo, how come tena mteule wa Mungu akapata mke asiye na sifa za kutoka kwa Mungu?!

Kama mke mwema hutoka kwa Mungu; mke muovu si itakuwa hutoka kwa shetani; au?

Kama ndivyo, ina maana mteule wa Mungu aliletewa mzigo na shetani?!

Oh! Nasikia Mungu aliumba dunia kwa cku 6 na cku ya 7 akaamua kula good time! Nimepatia?!

Kama ndivyo, au inawezekana Shetani alimlia timing Mungu, na ilipofika cku nyingine Jamaa akawa anakula good time; shetani akaupenyeza mzigo kwa Mwana Mteule!!

Au hii good time alikula mara moja tu?!

Hebu ngoja, kabla sijaendelea!! Hivi ukifukunyua fukunyua mara oh, mbona kama hivi ipo vile, mara oh, kama ndivyo mbona iko hivi... hapa vipi; naweza kupata dhambi?!

Nakumbuka enzi hizo tuko Madras Hidayat Kurasini; Ustaadhi alikuwa anatuambia ukitaka kufahamu balaa la moto wa jahanamu; ziba masikio yote mawili kwa viganja vya mikono usikie moto wa jahanamu unavyounguruma!!

Basi ukitoka hapo, hata ukikutana na braza wa Std VII lazima umpe shikamoo ili usije ukakumbana na lijimoto la jahanamu ambalo umelisikia "Live!"

Mungu anakuona Ustaadhi wangu, yaani bila huruma unavilisha matango pori vitoto vidogo!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mkuu naomba mistari ya biblia yetu ya kawaida inayomzungumzia huyu mwanamke
IMG_20180213_173705_123.jpg
 
Ahsante kaka mshana Jr. Ila Dini zina nichanganya.
Hiyo siyo dini maana hakuna dalili ya mapokezi ya maneno aliyo wasilisha haswa kwa kufata chain ya wajuzi wahayo mambo tangu zama hizo hadi sasa zaid anachanganya uzushi na baadhi ya maandiko kufanikisha fikira na mtizamo wake uliojengeka kwa falsafa tashi yenye natharia zisizo na rejea na masimulizi ya mila za kale za kipagani ambazo hazina mafungamano yoyote na dini.

Japo baadhi ya watu kuzipenyeza katka dini zao.
 
Mkuu there are mixed opinions concerning who the SONS OF GOD are??

One side suggests than SONS OF GOD means the heavenly beings/Angels who according to this verse approached human females and had sex with them leading to the emergence of giant race half man- half angels!! called nephillims to exist on earth.

However on the other side, others suggest that these SONS OF GOD meant the sons of SETH and there reference was thata cain had sinned hence cursed and not considered as a SON OF GOD anymore.... Thus Cain's brother called seth was considered SON OF GOD due to his loyalty and faith in GOD.

So as per now there is still a debate concerning what SONS OF GOD really meant whether ANGELS or SONS OF SETH!!! But the bible concludes that SONS OF GOD are all people who honour and worship one true GOD almighty

So i personally conclude that SONS OF GOD are SETH descendants
The later explanations weighs truth of the question asked.
 
GENESIS chapter 6
1 And it came to pass, when men began to multiply on the face of the earth, and daughters were born unto them,

2 That the sons of God saw the daughters of men that they were fair; and they took them wives of all which they chose

My question who are these son's of God?
They were angels who went against God and chased away from heaven
 
Naona shetani yupo kazini akifanya yakwake katika upotoshaji

Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
 
Hiyo siyo dini maana hakuna dalili ya mapokezi ya maneno aliyo wasilisha haswa kwa kufata chain ya wajuzi wahayo mambo tangu zama hizo hadi sasa zaid anachanganya uzushi na baadhi ya maandiko kufanikisha fikira na mtizamo wake uliojengeka kwa falsafa tashi yenye natharia zisizo na rejea na masimulizi ya mila za kale za kipagani ambazo hazina mafungamano yoyote na dini.. Japo baadhi ya watu kuzipenyeza katka dini zao.
Aisee.... I can now witness a forum with great sinkers
 
Naona shetani yupo kazini akifanya yakwake katika upotoshaji

Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
Kumbukeni huku ni intelligence forum sio jukwaa la dini na imani
 
Back
Top Bottom