Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ina vitabu 66, siyo 64maana biblia ya kikatoliki ina vitabu 72 na ya kiprotestant ina vitabu 64
.Malaika ndio hawana Jinsia.hawazaani.na huwa hawali chakula...ila majini yana jinsia ndio maana tunayo jini mahaba.na pia majini hula chakula.ndio maana kafara za damu zipo kwa washirikina.Ninachojua malaika na majini hawana jinsia na ndio maana huyo samael na lilith au lilith na devil hawana uzao zaidi huwa wanaharibu vizazi vya adam alivyoviumba Mungu. Kama hayo yangewezekana hii dunia watu wa Mungu tusingepatikana kipindi hiki.
Ila habari ya lilith nimewahi kujihoji sana Kama bible inasema Aliwaumba. kwanin aje amfanyie oparetion ya kumtoa Hawa???
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23]alipigwa Adam babu mkubwa ndio utakuwa wewe bana!! Hakuna kulialia tena[emoji23] [emoji23]Eh!kumbe kuchepuka na kupigana vibuti kwenye mapenzi kumeanza zamani.Kuanzia leo naongea kwa niaba ya huu Uzi in marufuku ukipigwa kibuti kuja kulia kulia humu jamvini.Shikamoo JF member Kaka Mshana Jr!!!
Mambo mazito sana ya nahitaji kutuliza akili. Asante kwa uzi nzuri
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Nilitamani hii story iwe ndefu niisome kutwa nzima, maana nishachoka na story za Madiwani kuhama...........shukrani kwa kutupanua akili Kamanda Mshana.