Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #41
Uko vizuri.Malaika ndio hawana Jinsia.hawazaani.na huwa hawali chakula...ila majini yana jinsia ndio maana tunayo jini mahaba.na pia majini hula chakula.ndio maana kafara za damu zipo kwa washirikina.
ila wapo majini wema hilo usisahau..