Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante kwa kiingereza kizuri kumbe sasa tatizo sio lugha ni uelewa... Ukinisoma nimesema sehemu pekee alipotajwa Lilith kwenye Biblia ni kwenye hilo andiko na hatajwi kwa jina lake halisi bali kwa majina yake mengine
Kuhusu kupata F ya kiingereza no comment
Ilinibidi kungelika bana, ila kama bado hujaelewa basi jaribu kusoma tena asubuhi kuna valid point hapo.
 
Ilinibidi kungelika bana, ila kama bado hujaelewa basi jaribu kusoma tena asubuhi kuna valid point hapo.
Ngoja nitulie nitarejea.. Kama nimemiss point sina tatizo la kukiri udhaifu huo.. Asubuhi mbali sana itakuwa usiku huu huu
 
Hii character nimeona maeneo mengi...
Najiuliza huwa naishia kushangaa tu.... Anyways nje ya mada kiongozi Mshana ukiwa na muda kuna character ambayo nayo inautata sana kwenye Bible Jina melchizedek king of salem... I hope you'll find this interesting.
 
Hii character nimeona maeneo mengi...
Najiuliza huwa naishia kushangaa tu.... Anyways nje ya mada kiongozi Mshana ukiwa na muda kuna character ambayo nayo inautata sana kwenye Bible Jina melchizedek king of salem... I hope you'll find this interesting.
Will work on it no problem.. Just stay tuned in the next few days....
 
Hapo huyo mwana mama alie lala hapo anaoneka kama amevaa nguo ina rangi flani hivi ya watu wanao support same gender relationships. Alafu unataka kusema kuwa hata hawa wanawake wetu wa sasa ni akina lilith maana wanataka usawa kwa kila kitu.

Niliwahi sikia mara moja mwanamama huyo lilith alikutana na Elijah alikuwa amebeba mtoto mchanga akienda kumnyonya damu yake na alikuwa akimuingopa sana Elijah.
 
Kwenye imani yangu mie hayupona ajulikani kama mwanamke wa kwanza wa adam
 
Ninachojua malaika na majini hawana jinsia na ndio maana huyo samael na lilith au lilith na devil hawana uzao zaidi huwa wanaharibu vizazi vya adam alivyoviumba Mungu. Kama hayo yangewezekana hii dunia watu wa Mungu tusingepatikana kipindi hiki.

Ila habari ya lilith nimewahi kujihoji sana Kama bible inasema Aliwaumba. kwanin aje amfanyie oparetion ya kumtoa Hawa???
Tatizo jini ni kiumbe mwenye jinsia na anaziliana kama wanaadamu na ni kiumbe huru kama binaadamu anachagua nini afanye na nini asifanye sema wao wanaishi kwenye ulimwengu wa kiroho zaidi malaika ndie kiumbe ambae hanajisia.
 
Na hayawani wa nyikani watakutana na mbwa mwitu, na beberu anamwita mwenziwe;naam babewatoto anakaa huko na kujipatia raha.

(The Bible societies of Kenya Nairobi, and Tanzania Dodoma)

Babewatoto ndiyo lilith?
 
Ilinibidi kungelika bana, ila kama bado hujaelewa basi jaribu kusoma tena asubuhi kuna valid point hapo.
Utakikuta hiki kiporo
genesis-2-21-24.jpg
main-qimg-afd870fdc7efc522ac41f93734caf33f-c.jpeg
downloadfile.jpg
 
Kila kiungo cha binadamu kiko kwa sababu maalumu, viungo vya uzazi kwa ajili ya uzazi bado Sijapata mtu wa kunishawishi kama mapepo na mashetani wanaviungo vya uzazi, because wao hawakuubwa ili kuzaa na ku ongezeka idadi yao ipo vile vile walivyo umbwa maelfu elfu,
 
Habari nje ya Biblia sio habari ya kubiblia, ni simulizi za mtaani

The Bible is Fiction: A Collection Of Evidence

Similarities to Other Stories
The similarities between the stories and characters in the Bible and those from previous mythologies are both undeniable and well-documented. This would be obvious if it weren’t for early indoctrination of these beliefs into children, which usually makes them unassailable as adults.

In this short piece I’ll attempt to show extraordinary similarities with regard to two of the most important Biblical narratives: the Genesis story and the character of Jesus Christ.

The Book of Genesis’s Flood Story Mirrors The Epic Of Gilgamesh From Hundreds Of Years Earlier
Here are a number of elements that both Gilgamesh and the flood story in Genesis share:

  1. God decided to send a worldwide flood. This would drown men, women, children, babies and infants, as well as eliminate all of the land animals and birds.
  2. God knew of one righteous man, Ut-Napishtim or Noah.
  3. God ordered the hero to build a multi-story wooden ark (called a chest or box in the original Hebrew), and the hero initially complained about the assignment to build the boat.
  4. The ark would have many compartments, a single door, be sealed with pitch and would house one of every animal species.
  5. A great rain covered the land with water.
  6. The ark landed on a mountain in the Middle East.
  7. The first two birds returned to the ark. The third bird apparently found dry land because it did not return.
  8. The hero and his family left the ark, ritually killed an animal, offered it as a sacrifice.
  9. The Babylonian gods seemed genuinely sorry for the genocide that they had created. The God of Noah appears to have regretted his actions as well, because he promised never to do it again.
Keep in mind the level of detail in these similarities. It’s not a matter of just a flood, but specific details: three birds sent out, resisting the call to build the ark, and a single man being chosen by God to build the ark. Then consider that the first story (Gilgamesh) came from Babylon — hundreds of years before the Bible was even written.

Do you honestly think, based on the similarities above, that those who wrote the Genesis story had not heard the Gilgamesh story? And if they had heard it, and they were simply rehashing an old, very popular tale, what does that say about the Bible?

Jesus’s Story is an Obvious Rehashing Of Numerous Previous Characters
Perhaps even more compelling is the story of Christ himself. As it turns out it’s not even remotely original. It is instead nothing more than a collection of bits and pieces from dozens of other stories that came long before. Here are some examples.

  1. Asklepios healed the sick, raised the dead, and was known as the savior and redeemer.
  2. Hercules was born of a divine father and mortal mother and was known as the savior of the world.
  3. Dionysus was literally the “Son of God”, was born of a woman who had not had sex with a man, and was depicted riding a donkey. He was a traveling teacher who performed miracles, and was killed and resurrected, after which time he became immortal.
  4. Osiris did the same things. He was born of a virgin, was considered the first true king of the people, and when he died he rose from the grave and went to heaven.
  5. Osiris’s son, Horus, was known as the “light of the world”, “The good shepherd”, and “the lamb”. He was also referred to as, “The way, the truth, and the life.” His symbol was a cross-like symbol.
  6. Mithra‘s birthday was celebrated on the 25th of December, his birth was witnessed by local shepherds who brought him gifts, had 12 disciples, and when he was done on earth he had a final meal before going up to heaven. On judgment day he’ll return to pass judgment on the living and the dead. The good will go to heaven, and the evil will die in a giant fire. His holiday is on Sunday (he’s the Sun God). His followers called themselves “brothers”, and their leaders “fathers”. They had baptism and a meal ritual where symbolic flesh and blood were eaten. Heaven was in the sky, and hell was below with demons and sinners.
  7. Krishna had a miraculous conception that wise men were able to come to because they were guided by a star. After he was born an area ruler tried to have him found and killed. His parents were warned by a divine messenger, however, and they escaped and was met by shepherds. The boy grew up to be the mediator between God and man.
  8. Buddha‘s mother was told by an angel that she’d give birth to a holy child destined to be a savior. As a child he teaches the priests in his temple about religion while his parents look for him. He starts his religious career at roughly 30 years of age and is said to have spoken to 12 disciples on his deathbed. One of the disciples is his favorite, and another is a traitor. He and his disciples abstain from wealth and travel around speaking in parables and metaphors. He called himself “the son of man” and was referred to as, “prophet”, “master”, and “Lord”. He healed the sick, cured the blind and deaf, and he walked on water. One of his disciples tried to walk on water as well but sunk because his faith wasn’t strong enough.
  9. Apollonius of Tyana (a contemporary of Jesus) performed countless miracles (healing sick and crippled, restored sight, casted out demons, etc.) His birth was of a virgin, foretold by an angel. He knew scripture really well as a child. He was crucified, rose from the dead and appeared to his disciples to prove his power before going to heaven to sit at the right hand of the father. He was known as, “The Son of God”.
The problem, of course, is that these previous narratives existed hundreds to thousands of years before Jesus did.

Unavoidable contradictions
Not only was the Bible taken largely and blatantly from previous stories, but there are contradictions so massive that they defy belief. Here are just a few of them.

Noah’s Ark: The story of the Ark is that a pair of every animal on earth was put on the ship. Forgetting for a second the fact that the story came directly from the Epic of Gilgamesh, keep in mind we’re being asked to believe that two 500-year-old people are caring for tens of thousands of animals. And where did they keep the food? How did they keep the poisonous snakes from biting the other animals? And where did they get the polar bears, alligators, and thousands of other animals that that don’t live in the Middle East?
 
nimepitia bible kidogo kitabu cha mzwanzo. ukisoma mwanzo 1:26 kisha mungu akasema "tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; atawale samaki wa baharini, ndege wa angani, wanyama wa kufugwa dunia yote na viumbe vyote vitambaavyo."...aliwaumba mwanamume na mwanamke.

mwanzo 2:2-4 siku ya saba alimaliza kazi yake yote aliyofanya. apa tunaona kazi yote ya uumbaji iliisha na kukamilika na mwanamume na mwanamke waliumbwa siku1.
ukiendelea kusoma kitabu cha mwanzo utagundua anaongezea vitu vingine mbali ya uumbaji wa awali ambao ulishakamilika tayari mwanzo 2:5 bibilia inasema hapakuwa na mimea juu ya nchi wala miti haikua imechipua kwani mwenyezi mungu hakua ameinyeshea nchi mvua wala hapakua na mtu wa kuilima. ukiendelea kusoma utakuja kuona mungu ndio anakuja kumuumba adam baadae anakuja hawa kutoka ubavuni mwa adamu.

SWALI: wale watu wawili aliowaumba awali mwanamume na mwanamke walikua ni kinanani na habari zao mbona hazikuendelea tena katika bibilia.
 
Habari za Lilith hazijaandikwa popote kwenye Biblia takatifu... Na huko zilikoandikwa si kwa wema bali kwa ubaya ukiachilia satanism na atheism
soma kitabu cha mwanzo 1:26-27 mungu aliumba mwanamume na mwanamke. mwanzo 2:1-4 utaona mungu keshamaliza na kazi ya uumbaji kukamilika. mwanzo 2:5 mimea na miti inashindwa kuchipua kwa kukosa mtu wa kuilima na kunyweshea.

ndipo mungu anakuja kumuumba adam kwa kazi hiyo baadae anamletea eva kumuondolea upweke. swali la kujiuliza wale watu walioumbwa mwanzo na kazi ya uumbaji kukamilika ni kina nani? na ukisoma vizuri utaona hawakufinyangwa kwa udongo kama ilivyo kwa adam, wao ndio wenye mfano na sura ya mungu, wao ndio walipewa umiliki wa dunia na vilivyomo, na sisi binadamu si kizazi chao sisi ni kizazi cha adamu ambae aliletwa kama mkulima na mtunza bustani.
 
nimepitia bible kidogo kitabu cha mzwanzo. ukisoma mwanzo 1:26 kisha mungu akasema "tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; atawale samaki wa baharini, ndege wa angani, wanyama wa kufugwa dunia yote na viumbe vyote vitambaavyo."...aliwaumba mwanamume na mwanamke.

mwanzo 2:2-4 siku ya saba alimaliza kazi yake yote aliyofanya. apa tunaona kazi yote ya uumbaji iliisha na kukamilika na mwanamume na mwanamke waliumbwa siku1.
ukiendelea kusoma kitabu cha mwanzo utagundua anaongezea vitu vingine mbali ya uumbaji wa awali ambao ulishakamilika tayari mwanzo 2:5 bibilia inasema hapakuwa na mimea juu ya nchi wala miti haikua imechipua kwani mwenyezi mungu hakua ameinyeshea nchi mvua wala hapakua na mtu wa kuilima. ukiendelea kusoma utakuja kuona mungu ndio anakuja kumuumba adam baadae anakuja hawa kutoka ubavuni mwa adamu. SWALI: wale watu wawili aliowaumba awali mwanamume na mwanamke walikua ni kinanani na habari zao mbona hazikuendelea tena katika bibilia.
Hapo ndio penye argument kuwa huyo mwanamke ndio alikuwa Lilith
 
Naomba unukuu hiyo Mwanzo 1:27 na 2:22 na utuoneshe inavyo husiana na Lilith. Maana hata jina Mwanamke/Woman alipewa na Adam wala si Mungu.

Huwa na pata shida sana kuhusu shetani na nabii wake wa uongo na wafuasi wao. Kwa nini hawa wezi kusimama wenyewe wanapo watafuata wafuasi wao? Lazima wajinasibishe na mambo ya Mungu wa kweli?

Kwa mfano hata huyu mleta huu uzi hapa kanukuu kutoka Biblia hiyo Mwanzo 1:27 na 2.22 eti kwa mtazamo wake yeye inahusiania na Lilith wakati ni uongo wa wazi kabisa. Lakini hutaona wakishughulika na nukuu za mistari katika Biblia inayo wa weka wazi katika kueneza uongo wao.

Mfano ukisoma Ufunuo 19:20 na 20:10. Kume tajwa kuhusu huyu nabii wa uongo ambaye wafuasi wake ndio hawa wapotoshaji. Huyu nabii wa uongo kachukua siti ya mbele kabisa ya jehanamu na katupwa huko hata kabla ya bwana wake yaani shetani/ibilisi ila ni nadra sana kusikia akitajwa si wapinga Kristo wala Wasabato walio mshikia bango Papa. Na uliza kwa nini huyu nabii wa uongo hatajwi tajwi? Kwa nini lakini?

Kumbuka miaka ya huko nyuma hawa wafuasi wa huyu nabii wa uongo walitabiri kuhusu tarehe za kufika kwa mwisho wa dunia/kiama na zikawa ni uongo na walicho tabiri hakikutokea.
 
Back
Top Bottom