Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Wwe unaongozwa na mahaba ya kidini mkuu..... Nmeshasema baadhi ya maandiko yanayoongelea simulizi hii zilipatikana kwenye dead sea scrolls ambapo hata biblia unayoiamini sana 99% ya vitabu vyake vilipatikana humo sasa ni kituko kwamba chanzo cha biblia yako ilipotokea unasema ni uongo..... Ina maana kma hauamini chanzo cha hicho kitabu basi acha kusoma biblia maana vitabu vyake pia vilipatikana hukohuko!!!

Wafia dini bwana
 
huyu jamaa bana,kwa hiyo Biblia imeletwa na wayahudi? ila nshkuru umekubali kwamba hii story haipo kwenye Biblia,hilo ndio tulilokua tunabishana, haya mengine achana nayo sio kitabu kimoja tu kimeachwa kwenye biblia vipo vingi tu..usicrame mzee
 
sasa kama kilikua kitabu sahihi mbona hakikuwekwa kwenye Biblia.
 
Nipe jina la mke wa cain.... Maana unasema bible ndio credible source pekee basi tusaidie mke wake alitoka wapi na jina lake ni nani na utueleze cain alikufa lini na wapi au ni kweli kuwa alirudi kwa babake yaani lucifer

Nipe majibu kutoka kwenye biblia pekee kama hakuna majibu basi uachane na huu uzi
 
sasa kama kilikua kitabu sahihi mbona hakikuwekwa kwenye Biblia.
Sasa ndio ungeuliza hili ili ufahamishwe sio unasema kwa conclusion kuwa ni uongo hapo ndipo tunakosea....... Tupende kujifunza sio kukejeli tu haisaidii lolote
 
Biblia inasema wazi Cain ni mtoto wa Adam,huu wendawazimu wako wa kusema ni mtoto wa shetani unaupata wapi...wewe sio bure kichwa itakua imefetuka kidogo
 
Sasa wewe Umejuaje Alikua Mtoto w Adam? imetajwa wapi? Adam kazaa mtoto wake wa Tatu Seth akiwa na miaka 600
Sababu nilitafiti nikagundua biblia ilikuwa haitambui watoto wa kike unless iwataje kwa majina so ukisikia biblia inasema ana watoto 4 jua hao ni wanaume kama ulikuwa hufahamu hili basi ndio ujue leo..... Kwa taarifa zaidi kasome first book of adam and eve (latin version).... Au apocalypse of moses (book of moses) ambacho kiliandikwa na seth na kilikuja kutafsiriwa na mfalme suleiman pekee kwa nguvu zake kubwa za kiakili na kiroho..... Tafiti mkuu usikariri tu biblia biblia sio kila kitu biblia ilikiweka
 
Biblia inasema wazi Cain ni mtoto wa Adam,huu wendawazimu wako wa kusema ni mtoto wa shetani unaupata wapi...wewe sio bure kichwa itakua imefetuka kidogo
Version ya ipi umesoma..... Tafsiri ya kwanza kabisa ya kiebrania kwenda KJV inasema IVE GOT A SON FROM THE ANGEL OF THE LORD ila version za sasa zinasema I'VE GOT A SON FROM THE LORD.... Katafiti ujue nani alibadilisha huo mstari na kufuta neno ANGEL yaani baba wa cain alikuwa malaika/lucifer..... Na kuelewa zaidi kasome agano jipya kitabu cha judah pale inapotambua mtoto pekee wa adam ni seth.... Pia kasome pale 1 yohana 3:12 inaposema cain alitoka kwa YULE MWOVU ndio uje hapa kusema nimerukwa na akili
 
huyu jamaa bana,kwa hiyo Biblia imeletwa na wayahudi? ila nshkuru umekubali kwamba hii story haipo kwenye Biblia,hilo ndio tulilokua tunabishana, haya mengine achana nayo sio kitabu kimoja tu kimeachwa kwenye biblia vipo vingi tu..usicrame mzee
90% ya vitabu vimeandikwa na wayahudi..... Kingine nmekubali sababu biblia si iliamuliwa na watu hta leo wanaweza amua kuweka vitabu 10 tu na ww utakubali.... Mfano wangeamua watoe vitabu vya injili ina maana ningesema yesu alifufuka ungekataa kisa HAKIPO KWENYE BIBLIA?? Reasoning ya wapi hii mkuu?? Kwanni akili yako inashikwa na mahaba ya kidini sio uhalisia
 
sawa twende kwenye Tafsiri yako,ya version ya kwanza ya kiebrania,ambao mstari huujui, uweke hapa tuangalie nani alikua anasema hayo maneno...na mimi nitaangalia...kupata earlier version sio ishu bro...
 
huwa na wafatilia wagiriki sana sababu ni wasomi wa mwanzoni hapa duniani,
 
Yehovah ni neno LA kiebrania lenye maana mungu kwa kiswahili
Nakubaliana na wewe 100% kuhusu maana ya neno jehova kuwa ni MUNGU.

Ila kumbuka neno MUNGU sio mtu au kiumbe Bali ni "title"
Ndo mana YESU pia kwa mujibu Wa BIBLIA ni MUNGU, lakini ni MUNGU mwana.
Roho mtakatifu ni MUNGU lakini ni MUNGU Roho
Vile vile Kuna MUNGU BABA ambae ni baba yake na YESU..

So utaona neno MUNGU ni kama office flani, title flani rather than single entity
 
Kuna kitu kinaitwa Missiology sio kila chuo kinatoa hii nminahusu vitu vilivyofichwa kwenye Bible na huwezi kuvipata kwenye Theology ndio maana inaitwa Missiology humo utakutana na kitabu cha Henoch kunamambo mengi mno
Ntawasiliana na wahadhiri wa pale Makumira Arusha Theology wanaweza wakawa nacho
 
hivi tunda lakati ndio likoje walikulaje
 
Kwa tafsiri na uzingativu wa Biblia takatifu uko sahihi mno....lakini je ulishawahi kijaribu kutoka nje ya box?
naamini kutumia biblia kama source si jambo baya lkn nakaribisha source yoyote ile ilimradi uitafsiri sawa na kwa ushahidi kutetea hoja yako kama nilivyofanya mimi kwakutumia biblia yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…