Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Mshana kukusaidia tu,Lilith hadithi zake ziko kwenye vitabu ambavyo vingi si vya kidini,ni kama Medusa Gorgo,na walimlink na Adam karne ya kumi na saba,juzi tu,hayupo kwenye maandiko ya mwanzoni kabisa,ya dead sea scrolls,au vitabu vya manabii,Ni story za kutunga kama ile ya Leornado Da Vinci,ya Picha kwamba Yesu alikua na Mahusiano na Maria Magdalena,ni wendawazimu tu...ila ukitaka kupata ukweli wa uumbaji,na wenye uhakika na unaoleweka,soma Biblia tu....
Wwe unaongozwa na mahaba ya kidini mkuu..... Nmeshasema baadhi ya maandiko yanayoongelea simulizi hii zilipatikana kwenye dead sea scrolls ambapo hata biblia unayoiamini sana 99% ya vitabu vyake vilipatikana humo sasa ni kituko kwamba chanzo cha biblia yako ilipotokea unasema ni uongo..... Ina maana kma hauamini chanzo cha hicho kitabu basi acha kusoma biblia maana vitabu vyake pia vilipatikana hukohuko!!!

Wafia dini bwana
 
Na hii ndio shida ya wafia dini sasa dead sea scrolls ina vitabu vyote vya biblia kasoro esther na kwenye hizo scrolls kuna song of sage inayoongelea kwa undani suala hili with reference kwenye simulizi za kiyahudi na sumeria ila kwa kuwa mzungu aliamua kukiacha song of sage na kuchukua vinginevyo vinavyotengeneza biblia basi ww unasema ni vya UONGO?? does it make sense yaani vingine vyote vinakubalika alafu kimoja ndio cha uongo?? Hvi ni reasoning ya wapi hiii

Biblia inaongelea lilith sio kama mnyama bali Roho/pepo anayezunguka jangwani na hii ndio NAB version na hata Originao king james version inasema hivo sasa na inataja wanyama kama 8 hivi na mmoja ndio huyo pepo anaitwa lilith ila kwa tafsiri ya sasa wameiweka kama BUNDI ila story nzima ipo nje ya vitabu vya biblia ambavyo ni credible kwa dini zao sasa ww ni nani kusema ni uongo??

Yaani wayahudi wanakuletea biblia unasema ni ukweli ila vitabu vyao wenyewe ndio unasema ni uongo!!! Haya mahaba ya kidini mnatoaga wapi..... Wakati wao wanaandika nyie mlikuwa mnacheza ngoma tu leo hii ndio mnakuwa watetezi kuwa kitabu kipi cha ukweli kipi cha uongo?? Alafu trump akituita shit holes mnaona katuonea

Nsamehe kwa kutumia lugha kali nsamehe sana ila tubadilike waafrika..... Bible haikushushwa watu wachache pale constantinople ndio waliamua viwe hivi vilivyopo sasa why on earth mnaamini hao waliopanga ndio walikuwa sahihi kuliko wengine!!!
huyu jamaa bana,kwa hiyo Biblia imeletwa na wayahudi? ila nshkuru umekubali kwamba hii story haipo kwenye Biblia,hilo ndio tulilokua tunabishana, haya mengine achana nayo sio kitabu kimoja tu kimeachwa kwenye biblia vipo vingi tu..usicrame mzee
 
Wwe unaongozwa na mahaba ya kidini mkuu..... Nmeshasema baadhi ya maandiko yanayoongelea simulizi hii zilipatikana kwenye dead sea scrolls ambapo hata biblia unayoiamini sana 99% ya vitabu vyake vilipatikana humo sasa ni kituko kwamba chanzo cha biblia yako ilipotokea unasema ni uongo..... Ina maana kma hauamini chanzo cha hicho kitabu basi acha kusoma biblia maana vitabu vyake pia vilipatikana hukohuko!!!

Wafia dini bwana
sasa kama kilikua kitabu sahihi mbona hakikuwekwa kwenye Biblia.
 
we ndi akili huna kabisa,Mwanzo 4:15 unasema hv,bwana akamwambia,kwasababu hiyo ye yote atakaemua kaini atalipizwa kisasi mara saba.Bwana akamtia Kaini alama,mtu amwonaye asije akampiga

maana yake nini? maana yake tayari kulikua na watu wengine! soma hiyo sura yote uelewe,mbona hamtaki kuchukua muda mkasoma biblia? kumbuka hao wakina adam walikua wanaishi sio chini ya miaka 900, walikua wanazaa na kuzaa.
Nipe jina la mke wa cain.... Maana unasema bible ndio credible source pekee basi tusaidie mke wake alitoka wapi na jina lake ni nani na utueleze cain alikufa lini na wapi au ni kweli kuwa alirudi kwa babake yaani lucifer

Nipe majibu kutoka kwenye biblia pekee kama hakuna majibu basi uachane na huu uzi
 
Biblia inasema wazi Cain ni mtoto wa Adam,huu wendawazimu wako wa kusema ni mtoto wa shetani unaupata wapi...wewe sio bure kichwa itakua imefetuka kidogo
 
Sasa wewe Umejuaje Alikua Mtoto w Adam? imetajwa wapi? Adam kazaa mtoto wake wa Tatu Seth akiwa na miaka 600
Sababu nilitafiti nikagundua biblia ilikuwa haitambui watoto wa kike unless iwataje kwa majina so ukisikia biblia inasema ana watoto 4 jua hao ni wanaume kama ulikuwa hufahamu hili basi ndio ujue leo..... Kwa taarifa zaidi kasome first book of adam and eve (latin version).... Au apocalypse of moses (book of moses) ambacho kiliandikwa na seth na kilikuja kutafsiriwa na mfalme suleiman pekee kwa nguvu zake kubwa za kiakili na kiroho..... Tafiti mkuu usikariri tu biblia biblia sio kila kitu biblia ilikiweka
 
Biblia inasema wazi Cain ni mtoto wa Adam,huu wendawazimu wako wa kusema ni mtoto wa shetani unaupata wapi...wewe sio bure kichwa itakua imefetuka kidogo
Version ya ipi umesoma..... Tafsiri ya kwanza kabisa ya kiebrania kwenda KJV inasema IVE GOT A SON FROM THE ANGEL OF THE LORD ila version za sasa zinasema I'VE GOT A SON FROM THE LORD.... Katafiti ujue nani alibadilisha huo mstari na kufuta neno ANGEL yaani baba wa cain alikuwa malaika/lucifer..... Na kuelewa zaidi kasome agano jipya kitabu cha judah pale inapotambua mtoto pekee wa adam ni seth.... Pia kasome pale 1 yohana 3:12 inaposema cain alitoka kwa YULE MWOVU ndio uje hapa kusema nimerukwa na akili
 
huyu jamaa bana,kwa hiyo Biblia imeletwa na wayahudi? ila nshkuru umekubali kwamba hii story haipo kwenye Biblia,hilo ndio tulilokua tunabishana, haya mengine achana nayo sio kitabu kimoja tu kimeachwa kwenye biblia vipo vingi tu..usicrame mzee
90% ya vitabu vimeandikwa na wayahudi..... Kingine nmekubali sababu biblia si iliamuliwa na watu hta leo wanaweza amua kuweka vitabu 10 tu na ww utakubali.... Mfano wangeamua watoe vitabu vya injili ina maana ningesema yesu alifufuka ungekataa kisa HAKIPO KWENYE BIBLIA?? Reasoning ya wapi hii mkuu?? Kwanni akili yako inashikwa na mahaba ya kidini sio uhalisia
 
Version ya ipi umesoma..... Tafsiri ya kwanza kabisa ya kiebrania kwenda KJV inasema IVE GOT A SON FROM THE ANGEL OF THE LORD ila version za sasa zinasema I'VE GOT A SON FROM THE LORD.... Katafiti ujue nani alibadilisha huo mstari na kufuta neno ANGEL yaani baba wa cain alikuwa malaika/lucifer..... Na kuelewa zaidi kasome agano jipya kitabu cha judah pale inapotambua mtoto pekee wa adam ni seth.... Pia kasome pale 1 yohana 3:12 inaposema cain alitoka kwa YULE MWOVU ndio uje hapa kusema nimerukwa na akili
sawa twende kwenye Tafsiri yako,ya version ya kwanza ya kiebrania,ambao mstari huujui, uweke hapa tuangalie nani alikua anasema hayo maneno...na mimi nitaangalia...kupata earlier version sio ishu bro...
 
Kazi kwelikweli tuache ufia dini wakuu kama yameanzia karne ya 19 mbona viumbe wengi tu wa kale wanatambuliwa na manabii wa biblia mfano LILITH kwenye original king james version anatajwa na nabii Isaiah ina maana nabii isaya aliishi karne ya 19?? Ukisoma agano jipya mara kibao tu Yesu anamtaja HADES Mungu wa kigiriki ya kwamba watu wanaokufa huwa wanaenda kwake HADES je ina maana Yesu kazaliwa karne ya 19??? Tuache ufia dini na tutafiti mshana junior kaleta mada fikirishi tuitafakari sio kuanza kuitana shetani ilihali hata biblia unayoitetea inawatambua miamba hawa unaodai wametajwa karne ya 19!!
huwa na wafatilia wagiriki sana sababu ni wasomi wa mwanzoni hapa duniani,
 
Yehovah ni neno LA kiebrania lenye maana mungu kwa kiswahili
Nakubaliana na wewe 100% kuhusu maana ya neno jehova kuwa ni MUNGU.

Ila kumbuka neno MUNGU sio mtu au kiumbe Bali ni "title"
Ndo mana YESU pia kwa mujibu Wa BIBLIA ni MUNGU, lakini ni MUNGU mwana.
Roho mtakatifu ni MUNGU lakini ni MUNGU Roho
Vile vile Kuna MUNGU BABA ambae ni baba yake na YESU..

So utaona neno MUNGU ni kama office flani, title flani rather than single entity
 
Kuna kitu kinaitwa Missiology sio kila chuo kinatoa hii nminahusu vitu vilivyofichwa kwenye Bible na huwezi kuvipata kwenye Theology ndio maana inaitwa Missiology humo utakutana na kitabu cha Henoch kunamambo mengi mno
Ntawasiliana na wahadhiri wa pale Makumira Arusha Theology wanaweza wakawa nacho
 
Kwanza kuna points nyingi muhimu umeziruka inawezekana ni kutokana na uhalisia
Soma tena uone asili ya Lilith/ibilisi..
Pia angalia uone hakuna panaposema ibilisi alikula tunda
Zaidi ni kwamba nimeandika kuwa tayari lilith alishageuka roho ya kuzimu na roho haifi
hivi tunda lakati ndio likoje walikulaje
 
Kwa tafsiri na uzingativu wa Biblia takatifu uko sahihi mno....lakini je ulishawahi kijaribu kutoka nje ya box?
naamini kutumia biblia kama source si jambo baya lkn nakaribisha source yoyote ile ilimradi uitafsiri sawa na kwa ushahidi kutetea hoja yako kama nilivyofanya mimi kwakutumia biblia yangu.
 
Back
Top Bottom