Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

[emoji848][emoji848][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]

Jr[emoji769]
 
Niliwahi kusikia kuwa kuna vitabu vyingi vimemzungumzia huyu bi mdada ila vikakatazwa visiweke ndani ya biblia maana vinaeleza tofauti na kitabu cha mwanzo

Sent using Infinix hot 4
 
Watu wengi wamefungwa na fikra za darasani pamoja na mafundisho hawajaruhusu fikra pevu zaidi. [emoji20] [emoji20] [emoji20]

Sent using Infinix hot 4
Tuwaelimishe kwa hekima watoke kwenye vifungo vya nira za ujinga

Jr[emoji769]
 
Really Appreciate you mkuu. [emoji120] [emoji120] [emoji120] role model wangu humu ndani

Sent using Infinix hot 4
[emoji120][emoji120][emoji106][emoji123][emoji123][emoji123]

Jr[emoji769]
 
HAPANA mkuu [USER]Mshana Jr[/USER] kama tukiweka hoja kuwa Lilith ndiye Ibilisi aliyemlaghai Eva/Hawa inaleta swali la pili, Je, Adamu aliifahamu siri ya uumbwaji wake? kama hakufahamu ni vipi Lilith alifahamu?

Kama Lilith kwa vyovyote aliifahamu siri ya uumbwaji wa mwanadamu basi atakuwa ni miongoni mwa waliomuumba mwanadamu wale waliosema "Na tumfanye mtu kwa mfano wetu" hao ndio wanamjua mwanadamu je Lilith ni mmoja wao?? na kama ni mmoja wao kivipi alikuwa mke wa kwanza wa Adamu, je Adamu alioa mungu mwanamke aliyemzidi nguvu?

Binafsi kwa uelewa wangu na miulizo yangu naikataa hoja ya Lilith kuwa ndiye aliyemrubuni Eva/Hawa kwa vyovyote vile, Lilith hausiki na uovu alioufanya Eva/Hawa na Adamu wake

Labda tujiulize zaidi, je adhabu waliyopewa Adamu na Eva/Hawa ilimjumuisha na Lilith?, hasa ile ya KIFO je Lilith naye alipewa adhabu ya KIFO na kuzaa kwa UCHUNGU? kama ndiyo kwanini na je hakulijua hili kama kweli ndiye aliyemrubuni Eva/Hawa?, kivipi akubali kulipa kisasi kwa kujiadhibu na yeye?, Ibilisi alimtumoa nyoka na nyoka alipewa adhabu lakini Ibilisi yeye hakupewa adhabu yoyote hii inaonesha namna gani Ibilisi alijua namna ya kujikwepesha na adhabu ya Mungu je Lilith hilo hakulijua??

Hakuna namna naona kuwa Lilith ndiye Ibilisi

Pia kama Lilith ndiye Ibilisi kwanini alikuja kumjaribu Yesu/Nabii Issa jangwani alipokwenda kufunga? Kwani Lilith alikuwa na ajenda gani na Yesu/Nabii Issa?

Na kama ndiye je shetani ni nani?, je yule aliyemwambia Mungu amruhusu kumjaribu Ayubu ni nani!?

Sikubaliani na hoja yako ndugu yangu [USER]Mshana Jr[/USER]


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Asante kwa kunipinga kwa hoja.. Hebu pitia na hii hapa, majibu ya hoja zako yanaweza kupatikana hapa Utata na mkanganyiko kuhusu Lilith. Je alikuwa mke wa kwanza wa Adam? - JamiiForums

Jr[emoji769]
 
Mkuu hapa umepotoka, huwezi kujadili maandiko ya Biblia kwa kutumia maandiko nje ya hiyo hiyo Biblia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Inawezekana kabisa mkuu, na ndivyo ilivyo sababu Biblia ni dondoo tu yaani Biblia ni 'summary' maandiko yapo nje ya Biblia ndio maana **** kusoma falsafa ya dini na imani au 'theolojia'.

Mfano Mtume Paul ana kitabu kinamuongelea kinaitwa 'PAUL:His life and Teaching' kimeandikwa na John McRay huko utamjua Paul na habari zake nyingi zaidi ya dondoo za kwenye Biblia. Na vipo vitabu vingi sana vingine ukiitaji kuamini nitaku tag uvitafute ujionee mwenyewe


VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Usinisahau na mimi

Sent using Infinix hot 4 lite
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…