Mwanamke wa kwanza kutoka kwenye nyama na mifupa ya mwanaume.Sasa hapa ndipo nafika natilia mashaka biblia. kama tunaambiwa kusema uongo ni dhambi, kwa nini hapa tudanganywe kuwa mwanamke wa kwanza ni Hawa?
Unaelewa nini usikiapo neno "UTII"?Najiuliza je? mungu akumuona Lilith wakati ana waza mabaya maana mungu yupo kila maala alafu anaju kila kitu mpaka mawazo yakila kiumbe : au alitaka yatokee
Sasa hapa ndipo nafika natilia mashaka biblia. kama tunaambiwa kusema uongo ni dhambi, kwa nini hapa tudanganywe kuwa mwanamke wa kwanza ni Hawa?
Link haifunguki mshana
ukisema lilith ndio ibilisi na lucifer utasema ndio nani?? na historia ya ibilisi kutokana na malaika muhasi mwenyekutaka kufanana na m/mungu inajulikana hata kwenye maandiko matakatifu ya bilblia
Hakuna mahali palipo na andiko la kwamba Mungu ali muumba kiumbe aitwaye Lilith kwa kusudi la kuwa msaidizi wa Adam badala yake mungu ali mleta hawa kutoka kwenye ubavu wa Adam.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kulingana na vifungu ulivyo weka hapo juu mwanzo 2:22 na isayah 34:14 bado haya jitoshelezi kuthibitisha hilo pengine kuna mahala tofauti ambapo andiko hilo lina patikana
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Lilith alitajwa katika kitabiu gani kati ya Biblia ama Qurani ?
Alifanya umalaya kwa nani wakati walikuwa wawili]Adam waliumbwa pamoja na lilith, ba baadae lilith akakorofishana na adam sababu ya umalaya, na tabia mbaya. Ndo akafukuzwa eden. Mungu akatoa ubavu kwa adam
Sent using Jamii Forums mobile app
hADITH HII KAKUFUNDISHA NANIAdam waliumbwa pamoja na lilith, ba baadae lilith akakorofishana na adam sababu ya umalaya, na tabia mbaya. Ndo akafukuzwa eden. Mungu akatoa ubavu kwa adam
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo duniani hapa kuna kizazi cha kina Lilith....!!Adam waliumbwa pamoja na lilith, ba baadae lilith akakorofishana na adam sababu ya umalaya, na tabia mbaya. Ndo akafukuzwa eden. Mungu akatoa ubavu kwa adam
Sent using Jamii Forums mobile app
alimbaka Adam - na kuwagawia hata wanyama!!