G.Jacob
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,618
- 3,478
Mwanamke wa kwanza kutoka kwenye nyama na mifupa ya mwanaume.Sasa hapa ndipo nafika natilia mashaka biblia. kama tunaambiwa kusema uongo ni dhambi, kwa nini hapa tudanganywe kuwa mwanamke wa kwanza ni Hawa?
Sasa unadanganywa nini hapo mkuu, maandiko ya Biblia si mepesi mepesi kuyadadavua kama hujatuliza akili.
Sent using Jamii Forums mobile app