Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Ingawa sura ya Lilith hupatikana kwa kawaida katika ngano za Kiyahudi na midrash, asili ya Lilith ni kama sucubus wa Sumeri. Hadithi ya kwanza ya Kiyahudi ya Lilith ilisimuliwa katika Alfabeti ya ben sirah. Kabla ya kuanzishwa kwa Alfabeti ya ben sirah, Lilith alionekana zaidi kama pepo badala ya "Hawa wa kwanza". Kwa sababu ya utata wa Lilith, amewakilishwa kwa njia nyingi katika fasihi na sanaa. Baadhi ya wasomi wa theolojia wanamkubali Lilith kama "Hawa wa kwanza" ilhali wengine bado wanamwona kama pepo. Kihistoria katika sanaa, Lilith ameonyeshwa kwa njia mbalimbali kuanzia matoleo ya risqué hadi Lilith kwenye bustani[emoji1545][emoji1534]
 
Kwa hakika Lilith hakupenda kabisa kuona Adam akiwa na mwanamke mwingine na hilo liko wazi hata kwa kizazi cha leo.

..... hilo wengine ndo tumerithi.


Story nzuri sana, yapo mengi ambayo hatuyajui, vile Bible imeficha mambo mengi.

Kwa hili jina linakaribiana na jina la pacha wa mmoja wa wale vijana wa Adam aliitwa ... luluwa, all ni kutoka kitabu cha lost books from Bible

Ashukuriwe Mungu kwa kutuongezea kitu kipya.
 
Na huu ndio ufunuo kutoka pale freemason hall posta ni moja ya mafundisho yao hata kabla hujasema ww aliyasema yule jamaa kwenye filam moja hv wameigiza na kanumba
 
ety ashukuriwe MUNGU khaaa
 
Hiki ndio ulipaswa kukifanya.. Na hiyo ndio njia ya kuwa GT
Kama GT ninahaki ya kukuchallenge mleta maada Kama unakijua ulichokiandika. Nilipokuuliza ulipaswa kujibu Kama nilijibu ili kuonesha unakijua unachotueleza. Siyo kila akuulizae anataka kujua jibu Bali wengine wanataka kujua Kama unauelewa wa Mambo hayo unayoyazungumuzia
 
Uliniuliza nikakujibu SIJUI KWA HAKIKA..
 
This is Lilith she know to many thing as a Goddess which can control Demons & Vampire and black cats most of all she a DIVINE ENTITY GHOST of the spiritual zone. BLESSED BE..
 
Ila wee Mzee unaandi aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…