Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Ukisoma Buddhism au Krishna au confiscious wana volumes and volumes za vitabu kila kitu kimechambuliwa kwa undani sana
Elimu ya kiroho ni pana sana wala haina ukomo, wacha tu mzee nibakie na hivi hivi vitabu vilivyowekwa wazi nisije ingia mahala pengine nikavutwa nikashindwa kutoka[emoji23] haya mambo si ya mchezo mchezo ati!
 
katika Quran.mwenyezi Mungu anakiri kuwa hakuwaumba majini na binadamu isipokua wamwabudu...
hivyo unapata kujua ni wajibu wa jini lolote kumuabudu MUNGU..kuna wanaofuata sheria za MUNGU na kuna walio waasi.wapo kama binadamu.kunao wema na wabaya
Asante kwa maelezo
 
Elimu ya kiroho ni pana sana wala haina ukomo, wacha tu mzee nibakie na hivi hivi vitabu vilivyowekwa wazi nisije ingia mahala pengine nikavutwa nikashindwa kutoka[emoji23] haya mambo si ya mchezo mchezo ati!
Imarisha imani yako kwa kujua wengine wanasemaje
 
Utasikia hadithi nyungi sana, dunia haiishi visa!
 
mkuu mshana jr kwa maelezo hayo ni kua huyu bi mkubwa "LILITH" alikua mtu kama ADAM ie. hakuwa jinni wala malaika.

Imekuaje hadi azae majini, mapepo nk. baada ya kukutana na huyu malaika muasi na sio WANEFILI (majitu) kama inavyoonyesha katika kitabu cha GENESIS kua wana wa Mungu walivyoingiliana na wanadamu walizalia WANEFILI na sio majini au mapepo?
 
the question is,ipi ilianza....
christianity imekuja late,in fact ni ya mwisho
nimefuatilia sana kuhusu ancient mythology na nimejihakikishia pasi na shaka kuwa ukristo wamecopy mythology za huko nyuma..
alichokifanya mfalme constantine ni kuziua imani za huko nyuma kwa upanga sababu zilikuwa zinaufanya ukristo uonekane kichekesho..
mkuu ukizama kwa uhuru kabisa kichwani utagundua ukristo ni practice feki iliyoanzishwa na wazungu kwa kukopy kila kitu kutoka mataifa mengine.

hakujawahi kuwa na mtu/mungu anayeitwa yesu wa nazareth aliyewahi kuwepo kwenye dunia hii..it's just a myth iliyoenezwa kwa upanga na mauaji ya halaiki kwa kila aliyepingana nao...
wake up
 
Inawezekana kabisa aliacha mwili ule wa kibinadamu pale alipoenda kufanya kolabo na kuzimu... Kumbuka hawa viumbe wa mwanzo walikuwa na super natural powers
 
Mmmh nyabhingi hapana Yesu Kristo aliwahi kuwepo hata kihistoria tumesoma hili...... Kumbuka hata mabadiliko ya tarehe yametajwa kama AD (Anno domino ) na BC (Before Christ ) na kuna evidence na footage nyingi tu zinazomhusu
 
Inawezekana kabisa aliacha mwili ule wa kibinadamu pale alipoenda kufanya kolabo na kuzimu... Kumbuka hawa viumbe wa mwanzo walikuwa na super natural powers
inawezekana?

ushahidi upi unaonyesha walikua na supernatural powers?
 
Hoja inayotumika kuibua kuumbwa Lilith si fikirishi kwa maana ukinuu Mwanzo 1:27 ni muhutasari wa uumbaji wa mwanadamu lkn Mwanzo 2 inaonyesha namna gani Mwanadamu aliuumbwa

pia Isaya inayo nukuliwa haipo na Jina lq Lilith . Jambo jingine ni hili Mwanzo 2 inaposema "sasa huyu"haimaanishi wa pili maana Mwanzo 1:27 haionyeshi muda au interval ya uumbaji hata kama waliumbwa pamoja lkn haiwezekani Mungu aliumba simultaniously au wote kwa sekunde ile ile. Hata mapacha wako sawa japo mmoja hutangulia.

Mwanzo 2 inaonyesha Adamu aliubwa mwanzo Mwanamke baadae. Kuhusu vitabu vya biblia vilivyondolewa hilo ni mjadala mwingine maana kama tuna amini biblia iliyopo ndio hiyo tuifate la sivyo vipo vitabu vingi binavyoonesha hekima ila si vya biblia na dini nyingi zina vitabu pia

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Mmmh nyabhingi hapana Yesu Kristo aliwahi kuwepo hata kihistoria tumesoma hili...... Kumbuka hata mabadiliko ya tarehe yametajwa kama AD (Anno domino ) na BC (Before Christ ) na kuna evidence na footage nyingi tu zinazomhusu
mkuu
mshana jr nakukatalia,hakuna historian yoyote wa karne ya kwanza aliyewahi kuandika uwepo wa mtu anayeitwa yesu isipokuwa josephus ambaye ilikuja kugundulika kuwa original document/kitabu cha josephus kilitiwa mikono na wakatoliki na hakuna ubishi kuhusu hilo
tukio la mtu kutembea juu ya maji,kufufua wafu ni tukio kubwa lisiloweza kuachwa kuandikwa na waandishi wa kipindi hicho!

watunzi wa injili inayoitwa ya yesu walifanya ujanja wa kuchanganya hadithi yao ya kutunga(in fact plagiarism ya mythology za misri na ugiriki) na uwepo wa watu wa kweli waliokuwepo kihistoria enzi hizo(akina herode,ponsio pilato waliokuwa wanatawala palestina)

niambie mwanahistoria gani wa karne ya kwanza aliyeandika kuhusu yesu katika karne ya kwanza...
 
Hii mpya sana kwangu, kama hivyo ndivyo basi haya mambo yamechujwa sana mengine yamefichwa sijui kwakusudi gani labda? ???
 
Hahaha kumbe mungu aliruhusu mke zaidi ya mmoja?! Alimuumba Adam, Eva na Lilith. Mbona siku hizi wanawake hawataki?!
Pengine hao wanaotakaa ndio wapo kwenye kundi la huyo mwanamama shetani kwani na yeye alikataa nakuamua kwenda kivyake kukigawa kw shetani
 
Pengine hao wanaotakaa ndio wapo kwenye kundi la huyo mwanamama shetani kwani na yeye alikataa nakuamua kwenda kivyake kukigawa kw shetani
Hahaha inawezekana, maana shetani nao nasikia huzaana. Ndio maana hawaishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…