Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Duuh,hao rafiki zako walikuwa na effect gani mkuu,tujifunze.View attachment 805158
Yeeeees!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh,hao rafiki zako walikuwa na effect gani mkuu,tujifunze.View attachment 805158
Yeeeees!
Kwanini mkuu usimalize kwanza kusoma nini tatizoKabla sijamaliza kusoma.. Wanawake usaliti katika mapenzi ni asili yenu..+ jeuri, kiburi na ubinafsi
Mkuu naheshimu mawazo yako lakini kwanini unaamini kila kitu lazima kiandikwe kwenye biblia ndio kiwe cha kweli?? Kumbuka biblia ni compilation tuya vitabu iliyofanywa na wazungu wachache pale constantinople na baadae alexandria yaani katika vitabu 400+ vilichukuliwa 66-72 pekee sasa inakuwaje useme biblia haijaandika?? Kwanni usiseme biblia iliandika ila watu wachache walivitoa???Mkuu hii ni hadithi ya kufikirika tu, kwanza kumbuka Adamu hakuzaliwa bali aliumbwa kutoka kwenye udongo. Kama MUNGU alimuumba huyo Lilith kabla ya Eva, basi ingeandikwa kwenye Biblia wala isingefichwa.
Biblia inasema KWELI na wala haidanganyi. Kilichoandikwa kwenye Biblia ni kweli tupu. Shetani anapenda sana uongo na ndiyo maana amekuwa akija na hadithi nyingi za kutunga za uongo kama hii ya kwako ili awapotoshe Wanadamu wauamini uongo kuliko KWELI ya NENO la MUNGU.
Lily ni ua na huyo ni Lilith!Nilikuwa nina mwananamke anaitwa LILY,nilimpenda sana lakini alichokuja kunifanyia,mungu ndio anajua,naunga mkono hoja ya Mshana Jr kuwa huyo lilith ndio ibilisi shetani aliyefitinisha ndoa ya adam na eve....
Asante kwa kushiriki mjadala na mchango pia...najua kuna baadhi yetu hatutaki kutoka nje ya kile tulichozoea kukiona kukisikia kufundishwa na kusoma...Hizi hadithi zenu za watu wanaopenda kuijazia BIBILIA na KUONA haijitoshelezi ....ukifuatilia kwa Makini mambo haya Yaliibuka karne ya 19 na nyuma yake Hapa kuwa na hizi story KABISA..... Kwahyo Ndugu hizi story Ni Uongo ...SHETANI atabaki kuwa Roho ilieasi sheria ya MUNGU na kupinga
Mwenye Enzi Mungu aliniokoa sikufa kwa kweli!Duuh,hao rafiki zako walikuwa na effect gani mkuu,tujifunze.
Kwa kweli!Asante kwa kushiriki mjadala na mchango pia...najua kuna baadhi yetu hatutaki kutoka nje ya kile tulichozoea kukiona kukisikia kufundishwa na kusoma...
Natamani tutoke nje ya box bila kuathiri imani zetu na maandiko ya misahafu yetu
mkuu labda nitoe maoni yangu kidogo ila sikupingi sababu tunaweza kuwa na vyanzo tofauti......Kitabu gani kimeandika hii kitu ya lol lilith??.. Na sisi tukipitie.....
Nachofahamu Adam alikua first man, na alikua first man sababu alikua mmoja wa Malaika MBINGUNI aliyeongoza mapambano Kati ya lucifer na Mungu kule MBINGUNI tunaiita (Pre-mortal) life... Award yake akapewa aje Duniani aanzishe mankind...... Sasa huyu lilith hata kwenye Pre-mortal life hakuwepo.
Tunajua waliokua kwenye Maisha kabla Dunia haijaumbwa ambao walikua mashuhuri kule kwa kazi zao. Baadhi Yao ni
JESUS CHRIST - JEHOVAH
MICHAEL - ADAM
GABRIEL - NOAH
LUCIFER - SATAN/DEVIL
Na wengine wengi.
Jina la kushoto ni Pre-mortal name, jina la kulia ni Mortal (earth) name.. Mfano YESU KRISTO kwenye pre earth alikua anaitwa JEHOVAH.
Sasa huyu lilith hatujui alikua Nani kule na aliletwa kwa mission gani Dunian maana Adam, eve na wengine walioanzisha Dunia kama viumbe wa kwanza walikua wana kazi ya kufanya.
Kazi kwelikweli tuache ufia dini wakuu kama yameanzia karne ya 19 mbona viumbe wengi tu wa kale wanatambuliwa na manabii wa biblia mfano LILITH kwenye original king james version anatajwa na nabii Isaiah ina maana nabii isaya aliishi karne ya 19?? Ukisoma agano jipya mara kibao tu Yesu anamtaja HADES Mungu wa kigiriki ya kwamba watu wanaokufa huwa wanaenda kwake HADES je ina maana Yesu kazaliwa karne ya 19??? Tuache ufia dini na tutafiti mshana junior kaleta mada fikirishi tuitafakari sio kuanza kuitana shetani ilihali hata biblia unayoitetea inawatambua miamba hawa unaodai wametajwa karne ya 19!!Hizi hadithi zenu za watu wanaopenda kuijazia BIBILIA na KUONA haijitoshelezi ....ukifuatilia kwa Makini mambo haya Yaliibuka karne ya 19 na nyuma yake Hapa kuwa na hizi story KABISA..... Kwahyo Ndugu hizi story Ni Uongo ...SHETANI atabaki kuwa Roho ilieasi sheria ya MUNGU na kupinga
ngoja nikuache maana hata haujui nilichokiongelea,shubaamit!Lily ni ua na huyo ni Lilith!
[emoji23][emoji23][emoji23] yani vitu mnavyoongea ni vya miaka 500 nyuma hukoKitabu gani kimeandika hii kitu ya lol lilith??.. Na sisi tukipitie.....
Nachofahamu Adam alikua first man, na alikua first man sababu alikua mmoja wa Malaika MBINGUNI aliyeongoza mapambano Kati ya lucifer na Mungu kule MBINGUNI tunaiita (Pre-mortal) life... Award yake akapewa aje Duniani aanzishe mankind...... Sasa huyu lilith hata kwenye Pre-mortal life hakuwepo.
Tunajua waliokua kwenye Maisha kabla Dunia haijaumbwa ambao walikua mashuhuri kule kwa kazi zao. Baadhi Yao ni
JESUS CHRIST - JEHOVAH
MICHAEL - ADAM
GABRIEL - NOAH
LUCIFER - SATAN/DEVIL
Na wengine wengi.
Jina la kushoto ni Pre-mortal name, jina la kulia ni Mortal (earth) name.. Mfano YESU KRISTO kwenye pre earth alikua anaitwa JEHOVAH.
Sasa huyu lilith hatujui alikua Nani kule na aliletwa kwa mission gani Dunian maana Adam, eve na wengine walioanzisha Dunia kama viumbe wa kwanza walikua wana kazi ya kufanya.
Huu niuongomkuu labda nitoe maoni yangu kidogo ila sikupingi sababu tunaweza kuwa na vyanzo tofauti......
1.Adam hakuwepo kwenye pre mortal life mkuu labda kama una reference nzuri zaidi ila nachojua wote lilith na adam waliumbwa kwa udongo ila micha-el aliumbwa kwa mwanga na alipewa jukumu la kuhakikisha Adam harudi kwenye bustani ya Eden hivyo micha-el na Adam ni tofauti kabisa.
2.Lilith alikuwepo wakati dunia ya pili imeumbwa ukiachana na ile ya kwanza ambayo iliharibiwa na vita kati ya leviathans na malaika..... Hivyo lilith baada ya kuvurugana na adam akaamua kuolewa na malaika shamael aliekuwa anaishi mbingu ya saba ambaye inasemekana alimpeleka lilith kuzimu and the rest is history
Mkuu labda nimsaidie Mshana Jr kujibu hili..... Ni kweli Adam na Lilith walikuwa na nguvu sawa actually zaidi hata ya malaika ila Adam aliondolewa nguvu hizi za kiungu pale alipokula tunda ila unachosahau ni kwamba lilith aliondoka bila kula hilo tunda actually mambo ya tunda yalikuja baada ya Hawa kuletwa kuziba pengo la lilith.... Hivyo Lilith aliondoka na nguvu zake kama ambavyo shetani aliondoka na nguvu zake alipotolewa mbinguni... Ila Adam nguvu zake ziliisha siku anakula tunda hicho muhim tutambueKama lilith waliumbwa siku moja na adamu basi lazima walilingana nguvu na uwezo na pengine adamu akazidi kidogo za lilith maana adamu aliambiwa kuwatawala. Kinachoua hii hoja ni Lilith anatoa wapi uwezo wa kujigeuza nyoka ili hali adamu hana? .
Lilith hakula tunda mkuu hivyo ile hukumu ya Adamu ya kwamba atakufa ni ya Adam na hawa pekee ndio maana shetani yeye mpka leo yupo hai na lilith pia sababu wao bado walibaki na nguvu zao za siku zote ila kama Mungu angetamka kuwa wote waliomfanya adam afanye dhambi wafe basi lilith na shetani wangeshakufa kitambo sana kma adam na hawa.Lilith ndie ibilisi adamu alikufa lini na lilith bado yupo? sasa hii ina maana gani alieasi wa kwanza anaishi hadi leo aliedanganywa kafa kitambo sana kwanini Mungu amuache huyu muasi aliegoma kuishi na mmewe na badala yake muue mapema aliekosea mara moja tu tena kwa kudanganywa na huyohuyo ibilisi? ok turudi nyuma wote walioumbwa na Mungu wanaambia wakila matunda hakika watakufa kwanini lilith yeye hafi je alimzidi maarifa muumba wake? hii story inakosa uhalisia.
Mkuu uongo na ukweli unategemeana na source..... Wwe unaposema ni uongo unatumia msingi upi?? Hapa tupo kueleweshana so unaweza ukasema uongo hapo ukwapi ili utusaidie ila kusema ni uongo bila kuweka facts unakuwa hutusaidii.Huu niuongo
Nmesoma Missiology pia nmesoma Theology hamna vitu kama hivyo hayo nimachapisho yaliyo andikwa na wale waliokuwa wanajitahidi kumkosoa MunguMkuu uongo na ukweli unategemeana na source..... Wwe unaposema ni uongo unatumia msingi upi?? Hapa tupo kueleweshana so unaweza ukasema uongo hapo ukwapi ili utusaidie ila kusema ni uongo bila kuweka facts unakuwa hutusaidii.
Tatizo ni HAWA na mwenzake LILITH, ni chanzo cha matatizo mengi sana kiongoziKwanini mkuu usimalize kwanza kusoma nini tatizo