Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Na hii ndio shida ya JF watu kama nyie ndio mnaharibu credibility yetu..... Mtu kaweka hoja anayoifaham wwe unaita mafundisho ya kishetani.... Mshana keshasema wazi lilith anatajwa kwenye biblia ila story yake nzima haipo kwenye biblia na kwa kukusaidia story nzima ipo Kwenye song of sage au talmud zingine za kiyahudi na tablet za sumeria so ukasome ila kinanishangaza kilipopatikana kitabu cha zaburi,mithali na song of sage ni sehemu moja ila zaburi na mithali vimechukuliwa na song of sage kimeachwa kuwekwa kwenye biblia ukielewa kwanni walikiacha walipoamua vitabu vya biblia ndio utaacha kuchangia mada kwa kukariri na kuona wenzako mashetani maana utagundua kuna mashetani wakubwa zaidi wameamua kutuficha vitu muhimu ila leo hii tunawatukuza kama miungu watu!!!
Wewe ndio tatizo ina maana mshana akisema asiwe challenged? Tatizo wanidhibitishie wapi kwenye biblia anatajwa huyo lilith acha kulazimisha niwaze kama wewe kama umependa story waulize wakuhadithie ila kwenye biblia hamna hicho kitu
 
Duh mkuu hii mbona mpya tena 😀😀.... hatari sana hii
Kumbe hata hekaya yenyewe huijui vizuri? Kuna thread kabisa imeongea kwa upana humu ndani ya siku nyingi itafute huyo mshana kaeleza kwa ufupi mno itafute usome kwanza ndo uje uargue humu..
 
Wewe ndio tatizo ina maana mshana akisema asiwe challenged? Tatizo wanidhibitishie wapi kwenye biblia anatajwa huyo lilith acha kulazimisha niwaze kama wewe kama umependa story waulize wakuhadithie ila kwenye biblia hamna hicho kitu
Isaiah 34:14 (NAB)
Wildcats shall meet with desert beasts,
satyrs shall call to one another;There shall the lilith repose, and find for herself a place to rest
.

Na kwenye footnotes za biblia inasema Lilith ni shetani anayeranda majangwani..... Ila bado unataka kubisha biblia haimtaji. Tupende kujifunza sio kukejeli kila kitu sasa unaposema mafundisho ya kishetani tukueleweje ilihali biblia inamtambua kuwa lilith ni shetani pia kama anavyodai Mshana Jr !!!

Kazi kwelikweli
 
Lilith anatajwa kwenye biblia mkuu labda kama umesoma version hizi mpya ila NAB version na king jamea version toleo la kwanza kabisa linasema hivi

Isaiah 34:14
(14) Wildcats shall meet with desert beasts, satyrs shall call to one another; There shall the Lilith repose, and find for herself a place to rest.

Kuhusu story iliobaki ukienda kwenye dead sea scrolls ambazo vitabu vingi tu vya biblia vimepatikana huko kuna vitabu kama SONG OF SAGE vinachambua sana story hii hta hadithi za kale za sumeria na wayahudi ambao biblia yao mnaitumia wanakiri kupitia maandiko yao kadhaa kuwa lilith alikuwepo na alifanya usaliti kwa Adam!! Ila kwa biblia song of sage hakikuwekwa sababu kimepatikana miaka mingi baada ya biblia imeshakuwa imekamilika hivyo kma kingepatikana miaka ya 300 AD leo hii tungeongea mengine

Ila so far kwa vitabu hivi 66/72 walivyobakisha story ya lilith haijaandikwa so uko sahihi
Ni sawa sawa inavyomtaja Enock lakini hawataki kukikubali kitabu chake. Enock mtu aliyetembea na Mungu.
 
Kumbe hata hekaya yenyewe huijui vizuri? Kuna thread kabisa imeongea kwa upana humu ndani ya siku nyingi itafute huyo mshana kaeleza kwa ufupi mno itafute usome kwanza ndo uje uargue humu..
Mkuu mbona unajifanya unajua sana.....ambacho nlikua sijasikia ni hyo ya kukaa juu ya mwanaume sasa ndio inamaanisha sifahamu chochote kuhusu huyo lilith?? Huo uzi wa mshana nlichangia sana tu na wafia dini kama wwe mlikuja na kuniita agent wa shetani!!! Kiukweli tubadilike JF tupende kusikia habari tofauti hta kma kwenye nyumba zetu za ibada tumefundishwa tofauti
 
Usiniambie hujawahi kuisikia ???
Watu wana hadithi za ajabu sana.
Wengine wanasema Lilith alibadilikia na akawa pepo.
Yeah hyo ya kukaa kwa juu bado lakini ya kubadilika pepo nmeisoma kwenye kitabu kimoja kuhusu babylon iliongelea makubwa ikiwemo hilo la lilith kubadilika kuwa pepo na kuenda kuishi kuzimu.... Ikaenda mbali zaidi ikasema baada ya eva kumreplace, lucifer akaamua kumkomoa Adam kwa kumbebesha mimba Hawa ndio akazaliwa Cain duh nkachoka kabisa!!
 
Ila huyu Lilith mnamsingizia, kuna ile aliambiwa na Adam alale chini Adam ampandie juu afanye mambo yeye akagoma akataka yeye ndiyo awe juu. Lakini yote tisa Lilith siyo Lucifer kwasababu Lucifer hajawahi kuwa mwanadamu.
Masahihisho kidogo nilisema roho ya lilith ilimwingia lucifer ....huu ni mtazamo wangu binafsi kwa muktadha wa mada husika
 
hakujawahi kuwepo adam na eva
hadithi za kufikirika hizi
kama walikuwepo wao tu nani alikuwepo wakati mungu anamuumba huyo anayeitwa adamu kutoka kwenye udongo?
mnataka kusema mungu aliishiwa creating material hadi akatumia mbavu za adam kumtengeneza eva
tokea lini nyoka akaongea!!!
ujinga huu nilishaachana nao miaka mingi sana
 
Masahihisho kidogo nilisema roho ya lilith ilimwingia lucifer ....huu ni mtazamo wangu binafsi kwa muktadha wa mada husika
Nakuelewa mkuu, hebu mlengo wako huo huo wa kidini kufikiri:

Mosi,
Lucifer naye ni roho, sasa ataingiwaje na roho tena ?? roho haitawali roho hata siku moja. Nimesoma Biblia yote lakini sijaona sehemu ambapo roho mchafu imeingia roho nyingine mchafu, hata walipomwambia Yesu anaongozwa na Beelzebub alisema kwamba Ufalme ukijifitinisha hauwezi kusimama hata kidogo.

Pili, Lucifer alianguka hata kabla Adam hajaumbwa, alidanganya hadi malaika watakatifu wa mbinguni unahisi mwanadamu (Lilith) angeweza kumdanganya Lucifer kweli ?? Maana ukisoma kitabu cha Nabii Ezekiel anasema kwamba "Alikuwa amejawa na hekima au Full of Wisdom". Sasa kama kiumbe huyu alikaa jirani kabisa na Mungu na alitaka kabisa kumpindua, unahisi huyo Lilith angakuwa na uwezo wa kumshawishi Lucifer ???

Tatu, hoja yako ni tata kwasababu yule Nyoka (The Serpent) alikuwa ni mnyama kama wanyama wengine walioiumbwa pale bustanini na Biblia inasema "Naye nyoka alikuwa ni mwerevu kuliko wanyama wote wa mwituni". Lucifer hakuwahi kuwa mnyama wa mwituni.
 
Nakuelewa mkuu,
Lakini hata lucifer naye ni roho, sasa ataingiwaje na roho tena ?? (Roho haitawali Roho)
Kibaya zaidi ni kwamba lucifer alianguka hata kabla Adam hajaumbwa.
Kwenye ulimwengu wa roho kuna wavamizi pia..huwa kuna roho mkaazi na huwa kuna roho mvamizi ....roho mvamizi anaweza kuwa wa muda ama akajenga makazi ya muda mrefu
 
Mwanzo 1:27. Mungu aliumba mwanamme na mwanamke (Adam na LIlith) kutoka mavumbini

Mwanzo 2:22. Mungu akatoa ubavu akamuumba mwanamke. (Adam na Hawa) Hawa akutoka mavumbini

Chief hayo majina umetoa wapi.? Umesoma wapi kua mwanamke anayezungumziwa hapo ni lilith.?
 
Mshana bana; sijui anapataga wapi haya mambo? Anyway, binafsi nina mashaka sana na ukweli wa huyo mwanamke mgeni, sidhani kama ina ukweli wowote cause imenibidi nirudie kuisoma tena Biblia hasa pale kwenye uumbaji. The way Adam alivyo umbwa na the way ilivyo elezewa, sidhani kama kuna kiumbe chenye mfano wa binadamu kilikuwepo zaidi yake na Hawa baadae.
 
hakujawahi kuwepo adam na eva
hadithi za kufikirika hizi
kama walikuwepo wao tu nani alikuwepo wakati mungu anamuumba huyo anayeitwa adamu kutoka kwenye udongo?
mnataka kusema mungu aliishiwa creating material hadi akatumia mbavu za adam kumtengeneza eva
tokea lini nyoka akaongea!!!
ujinga huu nilishaachana nao miaka mingi sana
Heri hata ya wewe mpingaji Uliyeamua kulisanua kombolela.!? 'kidogo unaeleweka'

Wanakazana kudadisi fani ya uandishi bila kujali maudhui ya habari.

Mimi huwa naita udadisi usio wa lazima na kujichosha.
 
Ukijua habari za Mungu ni hekaya tu, hivi vibwagizo vya habari hiyo sijui Adam na Hawa na Lilith haviwezi kukusumbua.
 
Back
Top Bottom