Kudo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 1,821
- 6,119
Ungeelewa lengo la kukuuliza hilo swali usingeniuliza kabla ya kunijibuNa wewe unijibu ni nani mke wa Abel?
Soma biblia usiipitie biblia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungeelewa lengo la kukuuliza hilo swali usingeniuliza kabla ya kunijibuNa wewe unijibu ni nani mke wa Abel?
Wewe ndio tatizo ina maana mshana akisema asiwe challenged? Tatizo wanidhibitishie wapi kwenye biblia anatajwa huyo lilith acha kulazimisha niwaze kama wewe kama umependa story waulize wakuhadithie ila kwenye biblia hamna hicho kituNa hii ndio shida ya JF watu kama nyie ndio mnaharibu credibility yetu..... Mtu kaweka hoja anayoifaham wwe unaita mafundisho ya kishetani.... Mshana keshasema wazi lilith anatajwa kwenye biblia ila story yake nzima haipo kwenye biblia na kwa kukusaidia story nzima ipo Kwenye song of sage au talmud zingine za kiyahudi na tablet za sumeria so ukasome ila kinanishangaza kilipopatikana kitabu cha zaburi,mithali na song of sage ni sehemu moja ila zaburi na mithali vimechukuliwa na song of sage kimeachwa kuwekwa kwenye biblia ukielewa kwanni walikiacha walipoamua vitabu vya biblia ndio utaacha kuchangia mada kwa kukariri na kuona wenzako mashetani maana utagundua kuna mashetani wakubwa zaidi wameamua kutuficha vitu muhimu ila leo hii tunawatukuza kama miungu watu!!!
Kumbe hata hekaya yenyewe huijui vizuri? Kuna thread kabisa imeongea kwa upana humu ndani ya siku nyingi itafute huyo mshana kaeleza kwa ufupi mno itafute usome kwanza ndo uje uargue humu..Duh mkuu hii mbona mpya tena 😀😀.... hatari sana hii
Naelewa kabisa lengo lako...mi sijai kiivyo mzeeUngeelewa lengo la kukuuliza hilo swali usingeniuliza kabla ya kunijibu
Soma biblia usiipitie biblia
Isaiah 34:14 (NAB)Wewe ndio tatizo ina maana mshana akisema asiwe challenged? Tatizo wanidhibitishie wapi kwenye biblia anatajwa huyo lilith acha kulazimisha niwaze kama wewe kama umependa story waulize wakuhadithie ila kwenye biblia hamna hicho kitu
Ni sawa sawa inavyomtaja Enock lakini hawataki kukikubali kitabu chake. Enock mtu aliyetembea na Mungu.Lilith anatajwa kwenye biblia mkuu labda kama umesoma version hizi mpya ila NAB version na king jamea version toleo la kwanza kabisa linasema hivi
Isaiah 34:14
(14) Wildcats shall meet with desert beasts, satyrs shall call to one another; There shall the Lilith repose, and find for herself a place to rest.
Kuhusu story iliobaki ukienda kwenye dead sea scrolls ambazo vitabu vingi tu vya biblia vimepatikana huko kuna vitabu kama SONG OF SAGE vinachambua sana story hii hta hadithi za kale za sumeria na wayahudi ambao biblia yao mnaitumia wanakiri kupitia maandiko yao kadhaa kuwa lilith alikuwepo na alifanya usaliti kwa Adam!! Ila kwa biblia song of sage hakikuwekwa sababu kimepatikana miaka mingi baada ya biblia imeshakuwa imekamilika hivyo kma kingepatikana miaka ya 300 AD leo hii tungeongea mengine
Ila so far kwa vitabu hivi 66/72 walivyobakisha story ya lilith haijaandikwa so uko sahihi
Mkuu mbona unajifanya unajua sana.....ambacho nlikua sijasikia ni hyo ya kukaa juu ya mwanaume sasa ndio inamaanisha sifahamu chochote kuhusu huyo lilith?? Huo uzi wa mshana nlichangia sana tu na wafia dini kama wwe mlikuja na kuniita agent wa shetani!!! Kiukweli tubadilike JF tupende kusikia habari tofauti hta kma kwenye nyumba zetu za ibada tumefundishwa tofautiKumbe hata hekaya yenyewe huijui vizuri? Kuna thread kabisa imeongea kwa upana humu ndani ya siku nyingi itafute huyo mshana kaeleza kwa ufupi mno itafute usome kwanza ndo uje uargue humu..
Usiniambie hujawahi kuisikia ???Duh mkuu hii mbona mpya tena 😀😀.... hatari sana hii
Haaahaaaa hili swali hatoweza kulijibu maana ameamua kufunga akili yake kutofkiri nje ya anayofundishwa na wachungaji wake ibadani.....Naomba nikuulize kitu
Ni nani mke wa Kaini?!
Yeah hyo ya kukaa kwa juu bado lakini ya kubadilika pepo nmeisoma kwenye kitabu kimoja kuhusu babylon iliongelea makubwa ikiwemo hilo la lilith kubadilika kuwa pepo na kuenda kuishi kuzimu.... Ikaenda mbali zaidi ikasema baada ya eva kumreplace, lucifer akaamua kumkomoa Adam kwa kumbebesha mimba Hawa ndio akazaliwa Cain duh nkachoka kabisa!!Usiniambie hujawahi kuisikia ???
Watu wana hadithi za ajabu sana.
Wengine wanasema Lilith alibadilikia na akawa pepo.
Masahihisho kidogo nilisema roho ya lilith ilimwingia lucifer ....huu ni mtazamo wangu binafsi kwa muktadha wa mada husikaIla huyu Lilith mnamsingizia, kuna ile aliambiwa na Adam alale chini Adam ampandie juu afanye mambo yeye akagoma akataka yeye ndiyo awe juu. Lakini yote tisa Lilith siyo Lucifer kwasababu Lucifer hajawahi kuwa mwanadamu.
Nakuelewa mkuu, hebu mlengo wako huo huo wa kidini kufikiri:Masahihisho kidogo nilisema roho ya lilith ilimwingia lucifer ....huu ni mtazamo wangu binafsi kwa muktadha wa mada husika
Kwenye ulimwengu wa roho kuna wavamizi pia..huwa kuna roho mkaazi na huwa kuna roho mvamizi ....roho mvamizi anaweza kuwa wa muda ama akajenga makazi ya muda mrefuNakuelewa mkuu,
Lakini hata lucifer naye ni roho, sasa ataingiwaje na roho tena ?? (Roho haitawali Roho)
Kibaya zaidi ni kwamba lucifer alianguka hata kabla Adam hajaumbwa.
Mwanzo 1:27. Mungu aliumba mwanamme na mwanamke (Adam na LIlith) kutoka mavumbini
Mwanzo 2:22. Mungu akatoa ubavu akamuumba mwanamke. (Adam na Hawa) Hawa akutoka mavumbini
Nimeongezea nyama kwenye hoja yangu naomba uipitiea halafu ndiyo tuendelee.Kwenye ulimwengu wa roho kuna wavamizi pia..huwa kuna roho mkaazi na huwa kuna roho mvamizi ....roho mvamizi anaweza kuwa wa muda ama akajenga makazi ya muda mrefu
Kwenye ulimwengu wa roho kuna wavamizi pia..huwa kuna roho mkaazi na huwa kuna roho mvamizi ....roho mvamizi anaweza kuwa wa muda ama akajenga makazi ya muda mrefu
Heri hata ya wewe mpingaji Uliyeamua kulisanua kombolela.!? 'kidogo unaeleweka'hakujawahi kuwepo adam na eva
hadithi za kufikirika hizi
kama walikuwepo wao tu nani alikuwepo wakati mungu anamuumba huyo anayeitwa adamu kutoka kwenye udongo?
mnataka kusema mungu aliishiwa creating material hadi akatumia mbavu za adam kumtengeneza eva
tokea lini nyoka akaongea!!!
ujinga huu nilishaachana nao miaka mingi sana