Swali la msingi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swali la msingi kabisa
😂 😂 😂
Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden?Kwa kufuatalia tunakuja kujua kuwa binadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa Adam na lilith na baadae kuja hawa ?
Kwa anaefaham kuhuc historia hii tubadilishane mitazamo
Adam waliumbwa pamoja na lilith, ba baadae lilith akakorofishana na adam sababu ya umalaya, na tabia mbaya. Ndo akafukuzwa eden. Mungu akatoa ubavu kwa adam
Sent using Jamii Forums mobile app
Adam waliumbwa pamoja na lilith, ba baadae lilith akakorofishana na adam sababu ya umalaya, na tabia mbaya. Ndo akafukuzwa eden. Mungu akatoa ubavu kwa adam
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mada ukizisoma zinafurahisha sana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
AbunuasiAdam waliumbwa pamoja na lilith, ba baadae lilith akakorofishana na adam sababu ya umalaya, na tabia mbaya. Ndo akafukuzwa eden. Mungu akatoa ubavu kwa adam
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzushi wa ImaniUfunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?
Lilith anayesemekana ni mke wa kwanza wa Adam. Hatajwi popote kwenye Biblia takatifu zaidi ya kwenye kitabu cha Isaya 34 : 14, na ambapo hata hivyo kutajwa kwake hakuna mahusiano kabisa na Adam. Kuna simulizi nyingi nje ya Biblia zinazokinzana na nyingine kushabihiana kumhusu mwanamama huyu...www.jamiiforums.com
Jr[emoji769]
You can't be serious mkuu![]()
Adam’s First Wife Lilith: Diabolical Demoness or the First Feminist?
Lilith is first mentioned in ancient Babylonian texts as a winged female demon that attacks pregnant women and infants.www.ancient-origins.net
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mada ukizisoma zinafurahisha sana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
Mi nashindwa kuelewa, sasa kama alikuwa licheche nani alikuwa anamgweda wakati hakukuwa na watu?! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Adamu sio mtu wa kwanza,bali ni nabii wa kwanzaKwa kufuatalia tunakuja kujua kuwa binadamu wa kwanza kuumbwa alikuwa Adam na lilith na baadae kuja hawa ?
Kwa anaefaham kuhuc historia hii tubadilishane mitazamo
Alifanya na nani huo malayaAdam waliumbwa pamoja na lilith, ba baadae lilith akakorofishana na adam sababu ya umalaya, na tabia mbaya. Ndo akafukuzwa eden. Mungu akatoa ubavu kwa adam
Sent using Jamii Forums mobile app