Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Adam waliumbwa pamoja na lilith, ba baadae lilith akakorofishana na adam sababu ya umalaya, na tabia mbaya. Ndo akafukuzwa eden. Mungu akatoa ubavu kwa adam

Sent using Jamii Forums mobile app

Jr[emoji769]
 
Kuna mada ukizisoma zinafurahisha sana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Adam waliumbwa pamoja na lilith, ba baadae lilith akakorofishana na adam sababu ya umalaya, na tabia mbaya. Ndo akafukuzwa eden. Mungu akatoa ubavu kwa adam

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwahiyo binadamu wa kwanza sio Adamu ni huyo Baba yake lilith na Mama yake?? [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuna mada ukizisoma zinafurahisha sana [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD

[emoji23][emoji16]🤣[emoji16] haki vile nimecheka mpaka machozi mimi
 
Waraka wa Paulo kwa Warumi 1:18-25

Kwa maana ghadhabu ya Mungu imedhihirishwa kutoka mbinguni juu ya uasi wote na uovu wa wanadamu wapingao kweli kwa uovu. Kwa kuwa mambo ya Mungu yanayojulikana yamekuwa dhahiri ndani yao, kwa maana Mungu aliwadhihirishia. Kwa sababu mambo yake yasiyionekana toka kuumbwa ulimwengu yanaonekana, na kufahamika kwa kazi zake, yaani uweza wake wa milele na Uungu wake;

hata wasiwe na udhuru, kwa sababu walipomjua Mungu hawakumtukuza kama ndiye Mungu na kumshukuru, bali waliopotea katika uzushi wao, na mioyo yao wenye ujinga ikatiwa giza. Wakjinenea kuwa wenye hekima walipumbazika, wakaubadili utukufu wa Mungu asiye na uharibifu kwa mfano wa sura ya binadamu aliye na uharibifu, na ya ndege, na ya wanyama, na ya vitambaavyo.

Kwa ajili ya hayo Mungu aliwaacha katika tamaa za mioyo yao, waufuate uchafu, hata wakavunjiana heshima miili yao. Kwa maana walibadili kweli ya Mungu kuwa uongo, wakakisujudia kiumbe na kukiabudu badala ya Muumba anayehimidmiwa milele. Amina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwenyewe nacheka hapa balaa...eti Lilith alikuwa KICHECHE!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nashindwa kuelewa, sasa kama alikuwa licheche nani alikuwa anamgweda wakati hakukuwa na watu?! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD
 
Mkuu unayumba! Mm nakushauri tubaki hapa hapa mpk tujue mtu alikuwaje Malaya ktk dunia ya wawili!
Mi nashindwa kuelewa, sasa kama alikuwa licheche nani alikuwa anamgweda wakati hakukuwa na watu?! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]

Cᵃʳᵉᵉᵐ ₜₕₑ ᴸᵉᵍᵉⁿD

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba kuuliza kwani Mwenyezi Mungu aliumba Adam na huyo mwanamke tu? Kwa mawazo yangu na huko mbeleni ntaletaga ushahidi .Mungu aliumba watu wengi na wenye langi tofautitofauti ndo mana Kuna Waafrika,Wahindi ,Warabu,Wachina ,Wazungu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom