Ufunuo usiosemwa: Je, Lilith ndio nyoka wa Eden? Je, ni mke wa kwanza wa Adam?

Mwanzo:2.7
Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
Mwanzo:2.15
Bwana Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza.
Mwanzo:2.18
Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
Mwanzo:2.21
Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,
Mwanzo:2.22
na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.

MPAKA HAPA NI NGUMU KUKUBALI KWAMBA ADAM SIO MTU WA KWANZA.
LABDA UANZE KUFAFANUA ILI NIELEWE POINT YAKO.
Maarifa yapo mengi na inawezekana kupitia wewe tukapata elimu mpya.
Mkuu kwanza tukubaliane kwanza hili kisha twende sehemu nyiningi tusichanganye

Sent using LEAGOO M12
 
Adam na Hawa walizaa watoto wengi wa kike pia. Ingawa wanaozungumziwa sana ni Abel na kaini. Na kwa hiyo walikuwa wakioana wao kwa wao na ni kwa jinsi hiyo dunia ikaanza kujaa.
LABDA Kama una mtazamo mwingine.
Naweza kushawishika kwmb Adam na Eva hawakuwa viumbe wa mwanzo pekee ktk uumbaji, nashawishika kwmb kulikuwa na viumbe waliotangulia, ht km ni hao waliozaliwa na ibilisi ila walikuwepo! Mwanzo 4:17 Kaini akamjua mkewe: nae akapata mimba akamzaa Henoko.....swali la kujiuliza, ikiwa Kaini na Habili walikuwa wazaliwa wa kwanza wa Adam na Eva, mke aliyeolewa na Kaini alitoka wapi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using LEAGOO M12
 
Lilith ni mwanamke aliemkaidia MUNGU kuwa yeye hataki kuwa chini ya mwanaume anataka haki sawa. MUNGU alikasirishwa na tabia yake na akampa onyo, yeye alikaidi akasema yupo radhi atoke hapo eden ila sio kuwa chini ya adam.

Story zaidi inanyetisha kuwa huyu lilith alizungumza na lucifer akimuahidi kumpa sehemu kubwa ya utajiri wa himaya yake endapo atamsaidia katika misheno yake ya kumkaidia MUNGU na kuwashawishi malaika kuanzisha himaya nyingine itakayokuwa chini yake.

Huyu mwanamke sababu ya kupewa utashi akawa kiburi na kutaka kumsikiliza shetani zaidi ya maagizo ya MUNGU. Ndipo MUNGU aliposikia mazungumzo yao, akamwambia achague kukaa pale eden na kutii mamlaka yake na kuishi kwa utii chini ya mume wake Adam ama lah, kwa unyenyekevu akamuomba MUNGU ni heri aondoke pale eden kulikoni kuwa chini ya Adam. Ndipo akaondoka na kuanzisha maisha ya pembeni ambapo huko alipokwenda lucifer hakumuitaji tena akawa anampuuza....

Huku nyuma akaumbwa mwanamke mpya kwa ubavu wa Adam ambapo huyu alikuwa ni mtii sana na alisikiliza kila alichoambiwa na mume wake na MUNGU alimpenda sana akamuongezea mvuto kila uchao... nae ni Eva au Hawa. Lilith alisikia wivu sana sababu aliona mwenzake akifaidi penzi la mwanaume aliyeumbiwa, especially wakati wakitombana na yeye huko aliko na upweke wake punyeto zilikuwa nusura zimuuwe mbwa yule....

Hivyo akaanza msumbua tena lucifer kuwa ametoka kule sababu yake so amsikiliz3 tena anataka kufanya jaribio. Safari alikuwa na nia mbili, kuharibu uhusiano wa Adam na Eva lakini pia alikuwa anataka huyu binti nae pia aonekane ni mkaidi kama yeye ili MUNGU amchukie. So akamuomba shetani ampatie sehemu ya nguvu zake ili aweze kwenda jaribu kitu. Hivyo shetani alimpa nguvu zake kidogo na ndipo aliva mwili wa nyoka na kumuendea Eva kumshaiwishi kula tunda la mti wa kati ili amkaidi mume wake Adam lakini pia amkaidi MUNGU.......... ..

Tokea hapo hadi leo huyu lilith bado yupo na misheni yake ya kuharibia wanawake wanaomtii MUNGU na wanaume zao. Na amekuwa akizungumza nao kwa njia mbali mbali katika haya maisha ya sasa kuwataka kutokukubali kuwa chini ya mwanaume lengo likiwa ni kuwaondolea tunu ya hekima waliyopewa na MUNGU na waweze kuishia kama yeye maana huko aliko analaana inayomzuia kufurahia moyoni so anataka wengine nao wawe kama yeye.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi tales za ajabu sana

Kuna page namsoma huyu lilith eti ni mother of all demons

Kwamba anaiba sperm from men na kujitungisha mimba then anazaa demons

Sasa kuna brother here at hamlet ana low sperms yawezekana lilith kafanya yake[emoji2] [emoji2] [emoji2] just jokes
Kila unapopiga punyeto unampa yeye sperm zako..... Watoto wako utawaona siku ya mwisho. Ndio maana punyeto ni haramu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adam aliishi na lilith wakiwa kwenye bustani sio eva, baada ya kuletwa dunian adam ndo akaishi na eva.
Kiunajimu lilith inafahamika kama mwezi mweusi(black moon) nandio kinachotumika au kuonyesha anguko lamtu litakua wapi au wapi ukimtrick nirahisi kumfelisha
Eva aliishi na Adam pale Eden kwanza kabla ya kubalaswa...... Lilith alikaidi maagizo ya kumtii Adam baada ya MUNGU, sababu lilith hakuumbwa kwa ubavu wa mwanaume aliumbwa kwa udongo pia so akawa analeta usenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adam na lilith waliumbwa wakati tofauti ili lilith aliumbwa kwa udongo kama Adam kiburi chake kikasababisha Adam awe mpweke na kutaka mwanamke mwingine mpya..... Ndipo akaletwa Eva
Mkuu unadai mwanzo 1:27 imejaribu kuonesha ya kwamba waliumbwa wawili kwa pamoja lakini hapa nimeamua nisome mwanza mpaka mlango 3,
Si kweli kwababu ukisoma vizuri utaelewa, Kama Ni hivyo basi ingebidi mdai hata Adam alikuwa mwanaume wa pili kuumbwa
Maana ukisoma mwanzo 1:
Na mwano 2: yote utaelewa visa vya kwenye biblia vimeandikwa kwa mtindo wa kurejea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanzo:1.26
Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
Mwanzo:1.27
Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

.......................................................................

Mwanzo:2.7
Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
Mwanzo:2.21
Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,
Mwanzo:2.22
na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
Mwanzo:2.23
Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.

HAO NI WANAWAKE WAWILI TOFAUTI.

Nimejaribu kufuatilia hii threads.naunga hoja.binafsi ni mtu ninayefuatilia sana maswala ya dini na imani.sasa kwa hii hoja naunga hoja inaweza kuwa sahihi.mosi biblia ukisoma mwanzo.3: 16 mungu analaani hicho kiumbe kuwa umelaniwa katika wanyama wote kwa tumbo utakwenda.sasa hoja iko hapa.kwa tumbo utakwenda inamaana alikuwa na miguu.mbili anasema anaweka uadui kati ya nyoka na mwanadamu,sasa chunguza vizuri uadui...na kweli nyoka na mwanadamu ni adui mkubwa.Binafsi naona hoja isiishie hapo kuna mengi yamejificha yawezekana kiumbe hiki au huyu mke wa kwanza wa adumu alikuwa na watoto.ukisoma luka kuna sehemu Yesu anasema enyi kizazi cha nyoka nitakaa nanyi mpaka lini?kuna mafundisho mengi enyi kizazi kilicho laaniwa,ukitaka vielelezo naweza kuwapa.Sasa hapa kuna jambo tena kuwa huyo mwanamke alikuwa tayari ana watoto.sasa mambo yako mengi.Lakini ukisoma mwanzo 4:15 unaona habari za kaini na aberi hapo kuna kitu tena unabani kaini analaniwa kwa kumuua nduye.sasa baada ya kulaniwa kaini anamwomba Mungu amweke alama kwenye paji la uso.wasije watu kumdhuru.sasa jiulize watu hao wa kumdhulu walitoka wapi.hapo unaona kuwa kuna watu walikuwepo kwa bi mkubwa.lakini wengine wanasema walikuwepo kwa sababu kipindi hicho wake walikuwa hawahesabiki.lakini kuna ukakasi wa jambo hili.naomba niishie hapa hebu tujaribu kuichimbua vizuri mada hii.
 
Pitia hizi point hapa.

As far as the account of Cain's finding a wife when no other people were mentioned except Adam, Eve, and Abel, we can make the following observations:

1.The problem of the identity of Cain's wife cannot be solved by arguing for some race of Pre-Adamic humans. The Scripture is clear that Adam was the first man and that Eve was the mother of all the living.

2.Some believe that the answer to the population problem is to say that there were older brothers and sisters of Cain and Abel. There is no biblical support for this view but it cannot be totally ruled out.

3.We are not told the age of Cain and Abel when the murder occurred. They could have advanced to a considerable age before Cain killed Abel. The limit the Bible puts on the age of Cain and Abel is 130 years.

4.Adam and Eve had many sons and daughters. We are not told specifically how many, but we are told that Adam lived 930 years. This raises the possibility of dozens of children from that couple alone. There were possibly as many as 32,000 people living at the time Cain killed Abel.

5.Genesis 5 tells us that some of Adam's descendants also had long life spans. Likewise, the Bible says that they gave birth to many sons and daughters.

6.There would not be an issue of incest-parents sexual relationships with their children. This would be a matter of siblings intermarrying-something that was not condemned in Scripture until the Law of Moses. Abraham is one biblical example of a person marrying his half-sister.

7.The Law of Moses condemned intermarriage between brothers and sister to protect the health of the nation as well as the family unit.

8.Because Adam and Eve were created perfect, their gene pool would not have been corrupted until after the Fall. Children of close relatives that married soon after the Fall would not be subject to the same degeneration that would occur in later generations.

9.Genesis 1 says we are to leave father and mother when we get married. That assumes you don't marry one of them!

Sent using LEAGOO M12
 
Mwanzo:1.26
Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
Mwanzo:1.27
Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

.......................................................................

Mwanzo:2.7
Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
Mwanzo:2.21
Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,
Mwanzo:2.22
na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
Mwanzo:2.23
Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.

HAO NI WANAWAKE WAWILI TOFAUTI.

Sent using LEAGOO M12
Hivi vifungu vinamaliza ubishi Kuhusu Lilith.. Bible inatakiwa kuisoma kwa utulivu sana na Roho pia

Jr[emoji769]
 
wote waislam na wakristo tunaamini Adam alikuwa Nabii kutoka kwa mwenyezimungu, Na kanuni ya mtu kuwa nabii au mtume ni kutumwa kufikisha ujumbe wa mwenyezimungu kwa binadamu.kwa maana hiyo kabla ya Adamu kutumwa kulikuwa na binaadam na ndio maana yeye akatumwa kufikisha ujumbe wa mwenyezimungu kwa wale watu.
Isingewezekana mwenyezimungu amtume Nabii wake pasipokuwapo na binadaam
Kwa hiyo Adamu hakuwa mtu/binadamu wa kwanza bali alikuwa nabii wa kwanza kutumwa hapa duniani

Kama huna elimu ya jambo husika ni vema kukaa kimya, Adamu hakuwa Mtume ila Nabii, kila mtume ni nabii lakin si kila nabii ni Mtume. Mtume wa kwanza ni Nuhu si Adamu. Adamu ni nabii wa kwanza lakin si Mtume wa kwanza.
Kila binadamu ni mtu lakin si kila mtu ni binadamu. Neno binadamu limetengenezwa na maneno mawili bin+adamu. 'BIN' ni neno la kiarabu lenye maana ya mtoto na 'ADAMU' ndo jina la baba yetu ambaye ndiye mtu wa kwanza kuumbwa. Hivyo maneno haya yanapounganishwa huzalisha neno BINADAMU lenye maana ya 'Mtoto wa Adamu' ambao ndiyo sisi tunaotokana na asili yake. Huwez kumuita Adamu et Binadamu au Hawa (Eva) binadamu. Utakuwa huna maarifa ktk hili. Adamu na Hawa (Eva) ni watu si binadamu hao. Na hao ndio watu wakwanza kabisa kuumbwa kisha watoto wao ndio binadamu wa kwanza.

Usizungumze jambo bila ya elimu tafadhali.
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji848][emoji848][emoji848][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]nimeongeza maarifa hapa.. Kati ya mtume na nabii... Kati ya mtu na binadamu

Jr[emoji769]
 
Kama huna elimu ya jambo husika ni vema kukaa kimya, Adamu hakuwa Mtume ila Nabii, kila mtume ni nabii lakin si kila nabii ni Mtume. Mtume wa kwanza ni Nuhu si Adamu. Adamu ni nabii wa kwanza lakin si Mtume wa kwanza.
Kila binadamu ni mtu lakin si kila mtu ni binadamu. Neno binadamu limetengenezwa na maneno mawili bin+adamu. 'BIN' ni neno la kiarabu lenye maana ya mtoto na 'ADAMU' ndo jina la baba yetu ambaye ndiye mtu wa kwanza kuumbwa. Hivyo maneno haya yanapounganishwa huzalisha neno BINADAMU lenye maana ya 'Mtoto wa Adamu' ambao ndiyo sisi tunaotokana na asili yake. Huwez kumuita Adamu et Binadamu au Hawa (Eva) binadamu. Utakuwa huna maarifa ktk hili. Adamu na Hawa (Eva) ni watu si binadamu hao. Na hao ndio watu wakwanza kabisa kuumbwa kisha watoto wao ndio binadamu wa kwanza.

Usizungumze jambo bila ya elimu tafadhali.
Pamoja na kuniambia kwamba sina elimu,lakini jambo moja umekubaliana nami ya kwamba Adam hakuwa mtu wa kwanza bali alikuwa nabii wa kwanza, kitu ambacho mm nimekisema tangu awali nashukuru kwa kuniuunga mkono ingawa umesema sina elimu
 
Rudia kusoma tena post yangu utaona nimeandika Adamu na Hawa (Eva) ndio watu wa kwanza kuumbwa.

Alianza Adamu kuumbwa kisha akafuatiwa Hawa (Eva), baada ya hapo hakuumbwa mtu mwingine tena isipokuwa walio fuata walitokana na mbegu za uzazi za hawa watu wawili.
 
Bila shaka wewe ni mkristo, sasa naomba unipatie ushahidi kutoka kwenye bible ya kwamba adamu ni mtu wa kwanza
Kwa kufanya hivyo utakuwa umenisadia sana mkuu
 
Bila shaka wewe ni mkristo, sasa naomba unipatie ushahidi kutoka kwenye bible ya kwamba adamu ni mtu wa kwanza
Kwa kufanya hivyo utakuwa umenisadia sana mkuu
Mwanzo:1.26
Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu; wakatawale samaki wa baharini, na ndege wa angani, na wanyama, na nchi yote pia, na kila chenye kutambaa kitambaacho juu ya nchi.
Mwanzo:1.27
Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

.......................................................................

Mwanzo:2.7
Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
Mwanzo:2.21
Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,
Mwanzo:2.22
na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
Mwanzo:2.23
Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.
.................................................................
1 Wakorintho 15:45
[45]Ndivyo ilivyoandikwa, Mtu wa kwanza, Adamu, akawa nafsi iliyo hai; Adamu wa mwisho ni roho yenye kuhuisha.

Sent using LEAGOO M12
 
Back
Top Bottom