k2206
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 702
- 705
Mwanzo:2.7
Bwana Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.
Mwanzo:2.15
Bwana Mungu akamtwaa huyo mtu, akamweka katika bustani ya Edeni, ailime na kuitunza.
Mwanzo:2.18
Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.
Mwanzo:2.21
Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,
Mwanzo:2.22
na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
MPAKA HAPA NI NGUMU KUKUBALI KWAMBA ADAM SIO MTU WA KWANZA.
LABDA UANZE KUFAFANUA ILI NIELEWE POINT YAKO.
Maarifa yapo mengi na inawezekana kupitia wewe tukapata elimu mpya.
Sent using LEAGOO M12

Mkuu kwanza tukubaliane kwanza hili kisha twende sehemu nyiningi tusichanganye
Sent using LEAGOO M12