Ufupi wa Diarra unasababisha Yanga kufungwa magoli mepesi

ESCORT 1

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2015
Posts
1,412
Reaction score
3,043
Tuliwahi kusema hili, kipa akiwa mfupi ni tatizo sana. Ndio maana ulaya magolikipa wafupi waliofanikiwa ni wachache sana ukimjumlisha Iker Casillas.

Huyu kipa wetu Yanga magoli mengi anayofungwa kwa asilimia 98 ni ya juu. Huu ni udhaifu wake mkubwa sana. Yanga itafute kipa mzuri maana huko ligi ya mabingwa tutakandwa sana na kipa “kijeba”
 

Ni kweli kabisa! Kula chips dume nitakuja kulipia.
 
Mdaka Mithaleee leo anaitwa Andunjeee!
Na bado Mpaka mthemeeeee
 
Leo hii unataka kutuaminisha kuwa Diara sio mzuri pamoja na kuwasaidia kote huko? Au unaposema Yanga watafute kipa mzuri unamaanisha nini? Nani alikuambia kipa mrefu hafungwi?
 
sio ufupi ni kufungwa tu
 
Punguza malalamiko wewe, kwani Yanga ndio timu ya kwanza kufungwa Duniani. Kipa Bora kwa misimu miwili kufungwa leo anaonekana hafai? Hebu tuache ulimbukeni kwenye ushabiki.
 
Oya we fala mbona unakua naujinga kama wale vijana wa Rage pumbavu, ww unazan ule mua kuna kipa anadaka hapa duniani ondoka kwenye timu yetu hamia kwamakolo ukamshangilie Ayub yeye nimrefu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…