Ufupi wa Diarra unasababisha Yanga kufungwa magoli mepesi



Hamna jema nyinyi, ndo maana ndoa huwa zinawashinda, mmefungwa siku 1 kasoro nyingi, mnaweza mbeba mke na stress kweli? Kwa hiyo ubora wa kipa upo kwenyw urefu?
 
siku ikiwa mbaya ofisini ni mbaya tu, unamuona kipa mpya wa simba ayubu na urefu wake wote lakini anafungwa magoli ya ajabu mno yani ukilenga goli ukakanda shuti la maana we hesabu goli kwahyo kimo sio hoja pili hakuna kipa au timu itakayomaliza ligi bila kufungwa ni suala la muda tu hata hao wanaowacheka na wao watapoteza
 
Nakazia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…