Rozanna Agro Africa
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 809
- 793
Matukiti maji na mapapai yamewashinda, mnaenda kwenye ufuta. Huo ufuta ni zaidi ya uchawi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo zao lisikie hivyo hivyo Kuna watu wanajinyonga huko ni hatari unaweza lima ekari nane na ukapata ufuta kg 2
Matukiti maji na mapapai yamewashinda, mnaenda kwenye ufuta. Huo ufuta ni zaidi ya uchawi
Hahahahahahahah una balaa ule....Mie pia ni mhanga na ufuta...ufu6ta hauna adab ht kdg...upepo ukija jua hasara...yaan limeni tu kwakweli...mie nilipata kilo 7..tena hapo majiran wenyej wakasema nimepata...ptu.!
Mie pia ni mhanga na ufuta...ufu6ta hauna adab ht kdg...upepo ukija jua hasara...yaan limeni tu kwakweli...mie nilipata kilo 7..tena hapo majiran wenyej wakasema nimepata...ptu.!
Unakera mno...huyo mwenye gunia 40 ukute ana miekari
Matukiti maji na mapapai yamewashinda, mnaenda kwenye ufuta. Huo ufuta ni zaidi ya uchawi
Bei ulzoandka kwa gunia kijijini znaweza kuwa hadi nusu ya hyo bei au chin ya hapo
Tchao Muuza Nyanya, Kijijini Doma
Yaani pamoja na kujiita agro africa bado kabisa unasema ni uchawi?? Sema hivi ww una mazao yako uliyoyapa kipaumbele
Nilivyosema ni zaidi ya uchawi namaanisha ulimaji wake una changamoto nyingi, naweza kusema kuliko mengine mengi.... na huo ndiyo ukweli uliopo kwa sisi tulio field.
Pamoja sana brother, nitaleta mrejesho jinsi hawa wasukuma wanavyolima, Januari tuombe uzima
4 to 7
Kwanini inatokea ivo.Hilo zao lisikie hivyo hivyo Kuna watu wanajinyonga huko ni hatari unaweza lima ekari nane na ukapata ufuta kg 2
Kwanini inatokea ivo.
Nini huwa changamoto
Maana nami najipanga mvua za mwezi wa Pili wa 3 niingie mzigoni.na ekari zangu za kutosha tu
kwenye kilimo hadi upate hilo ligunia la ufuta sasa dahKwa kifupi ardhi inayokubali mahindi basi ujue hata ufuta utakubali vizuri sana.
Labda mwaka huo mkuu!lolsWatu wanalima na wanapata kila mwaka, hakuna mkulima aliachwa na hasara kwenye ufuta
Semeni ukweli, hasara ipo. Ufuta hautaki mvua kwa mfano ukishakauka. Umepanga kwenda kuvuna kesho leo mvua imenyesha unakuwa mweusi....una faida?
Sio muongo ni kweliKwanini unakua muongo