Ufuta unawafanya watu wawe na viburi mjini hapa

Ufuta unawafanya watu wawe na viburi mjini hapa

Hilo zao lisikie hivyo hivyo Kuna watu wanajinyonga huko ni hatari unaweza lima ekari nane na ukapata ufuta kg 2

Mie pia ni mhanga na ufuta...ufu6ta hauna adab ht kdg...upepo ukija jua hasara...yaan limeni tu kwakweli...mie nilipata kilo 7..tena hapo majiran wenyej wakasema nimepata...ptu.!
 
Mie pia ni mhanga na ufuta...ufu6ta hauna adab ht kdg...upepo ukija jua hasara...yaan limeni tu kwakweli...mie nilipata kilo 7..tena hapo majiran wenyej wakasema nimepata...ptu.!
Hahahahahahahah una balaa ule....

Ukilima ule na mambo ya ajabu uyaweze nilimuhurumia shangazi yangu ekari nane hata nusu kiroba cha kg 25 hakupata
 
Mie pia ni mhanga na ufuta...ufu6ta hauna adab ht kdg...upepo ukija jua hasara...yaan limeni tu kwakweli...mie nilipata kilo 7..tena hapo majiran wenyej wakasema nimepata...ptu.!

Ukilima wapi binti sayuni??
 
Bei ulzoandka kwa gunia kijijini znaweza kuwa hadi nusu ya hyo bei au chin ya hapo

Tchao Muuza Nyanya, Kijijini Doma

Nimeamua nikujibu hapo

Nakupa hii, hapa sasa hivi gunia ni 260,000

Sumbawanga ni 350,000
 
Nilivyosema ni zaidi ya uchawi namaanisha ulimaji wake una changamoto nyingi, naweza kusema kuliko mengine mengi.... na huo ndiyo ukweli uliopo kwa sisi tulio field.

Pamoja sana brother, nitaleta mrejesho jinsi hawa wasukuma wanavyolima, Januari tuombe uzima
 
Back
Top Bottom