Kwan matokeo wamefuta?
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Wawafutie tu na kustandadize ila hio ni sawa na kuahirisha kifo kipo tu, kuna mtihani wa form6 na pia chuo kikuu na vyuo vingine watadisco vya kutosha kwani wanafunzi wenyewe ni vilaza. Nashangaa ripoti haijagusa kushuka morali ya kufundisha kwa walimu kutokana na kutolipwa malimbikizo na stahiki zao na mishahara midogo kuwa chanzo cha kufeli.

Naomba nieleweshwe kitu hapo vp kuhusu wale wanafunzi 700 waliofutiwa matokeo kabisa
Kutokana na hoja za serikali LUKUVI amesema kuwa NECTA haikufuata
vigezo vya kuwafaulisha wanafunzi kwa kufuata STANDARDTIONS na CONTINOUS ASSESMENTS.
Necta wamekuwa na utaratibu mwingine ambao haukuhusisha Wadau wa Elimu Tanzania.
Either Kufutwa kwa madaraja mapya,
yaani
100-85(A)
85-65(B)
65-45(C)
45-35(D)
35-0(F)
CHANZO NI BUNGE KUTOKANA NA 2ME YA WAZIRI
Wawafutie tu na kustandadize ila hio ni sawa na kuahirisha kifo kipo tu, kuna mtihani wa form6 na pia chuo kikuu na vyuo vingine watadisco vya kutosha kwani wanafunzi wenyewe ni vilaza. Nashangaa ripoti haijagusa kushuka morali ya kufundisha kwa walimu kutokana na kutolipwa malimbikizo na stahiki zao na mishahara midogo kuwa chanzo cha kufeli.
emh fafanua kdg ndg haya unayosema ni mapendekezo ya tume!!?au ndo kimeshatekelezwa na serikal!!?wengne bunge tuna allergy nalo kwa hyo tunasikiliza machache tu ili tusilazwe bure!!!
kutokana na hoja za serikali lukuvi amesema kuwa necta haikufuata
vigezo vya kuwafaulisha wanafunzi kwa kufuata standardtions na continous assesments.
Necta wamekuwa na utaratibu mwingine ambao haukuhusisha wadau wa elimu tanzania.
Either kufutwa kwa madaraja mapya,
yaani
100-85(a)
85-65(b)
65-45(c)
45-35(d)
35-0(f)
chanzo ni bunge kutokana na 2me ya waziri
Mbona nasikia kuna wazazi wa hao waliofutiwa wanajipanga kuffungua kesi mahakamani ili kuona uhalali wa kufutiwa watoto wao ilihali hawakuhusika na udanganyifu wowote ktk mitihani?Naomba nieleweshwe kitu hapo vp kuhusu wale wanafunzi 700 waliofutiwa matokeo kabisa