Ufutwaji wa matokeo ya kidato cha nne 2012

Nokia3D

Member
Joined
Feb 2, 2013
Posts
74
Reaction score
1
Kutokana na hoja za serikali LUKUVI amesema kuwa NECTA haikufuata
vigezo vya kuwafaulisha wanafunzi kwa kufuata STANDARDTIONS na CONTINOUS ASSESMENTS.
Necta wamekuwa na utaratibu mwingine ambao haukuhusisha Wadau wa Elimu Tanzania.
Either Kufutwa kwa madaraja mapya,
yaani
100-85(A)
85-65(B)
65-45(C)
45-35(D)
35-0(F)
CHANZO NI BUNGE KUTOKANA NA 2ME YA WAZIRI
 
Serikali wanatumia masaburi watakuwa na mpango wa kuwaongezea maksi hamna lolote hapo.
 
Wawafutie tu na kustandadize ila hio ni sawa na kuahirisha kifo kipo tu, kuna mtihani wa form6 na pia chuo kikuu na vyuo vingine watadisco vya kutosha kwani wanafunzi wenyewe ni vilaza. Nashangaa ripoti haijagusa kushuka morali ya kufundisha kwa walimu kutokana na kutolipwa malimbikizo na stahiki zao na mishahara midogo kuwa chanzo cha kufeli.
 
elimu ya tanzania itabakia kuwa ya kuungaunga hakuna lolote.tunatengeneza bomu
 
Wawafutie tu na kustandadize ila hio ni sawa na kuahirisha kifo kipo tu, kuna mtihani wa form6 na pia chuo kikuu na vyuo vingine watadisco vya kutosha kwani wanafunzi wenyewe ni vilaza. Nashangaa ripoti haijagusa kushuka morali ya kufundisha kwa walimu kutokana na kutolipwa malimbikizo na stahiki zao na mishahara midogo kuwa chanzo cha kufeli.

hata hvyo NECTA pia vilaza iweje wapandishe grad za form four kwa nin hawakupandisha mpaka huko unakokusema?
 
Naomba nieleweshwe kitu hapo vp kuhusu wale wanafunzi 700 waliofutiwa matokeo kabisa
 
Jamani haya mambo!Kama wamefuta matokeo inakuwaje kwa watu ambao awali matokeo yalikuwa mabaya na wamelipia ada ya ku-reseat?Uzembe huo ni wa nani hasa ikikumbukwa kuna watu wameathiriwa sana na matokeo hayo?
 
Hapo sasa patamu.ila tungoje jion bunge litahafiki
 
Wawafutie tu na kustandadize ila hio ni sawa na kuahirisha kifo kipo tu, kuna mtihani wa form6 na pia chuo kikuu na vyuo vingine watadisco vya kutosha kwani wanafunzi wenyewe ni vilaza. Nashangaa ripoti haijagusa kushuka morali ya kufundisha kwa walimu kutokana na kutolipwa malimbikizo na stahiki zao na mishahara midogo kuwa chanzo cha kufeli.

Naomba nieleweshwe kitu hapo vp kuhusu wale wanafunzi 700 waliofutiwa matokeo kabisa

huenda wakafikiwaliwa sana japo maamuz ya bunge kuafiki
 
Kutokana na hoja za serikali LUKUVI amesema kuwa NECTA haikufuata
vigezo vya kuwafaulisha wanafunzi kwa kufuata STANDARDTIONS na CONTINOUS ASSESMENTS.
Necta wamekuwa na utaratibu mwingine ambao haukuhusisha Wadau wa Elimu Tanzania.
Either Kufutwa kwa madaraja mapya,
yaani
100-85(A)
85-65(B)
65-45(C)
45-35(D)
35-0(F)
CHANZO NI BUNGE KUTOKANA NA 2ME YA WAZIRI

emh fafanua kdg ndg haya unayosema ni mapendekezo ya tume!!?au ndo kimeshatekelezwa na serikal!!?wengne bunge tuna allergy nalo kwa hyo tunasikiliza machache tu ili tusilazwe bure!!!
 
Wawafutie tu na kustandadize ila hio ni sawa na kuahirisha kifo kipo tu, kuna mtihani wa form6 na pia chuo kikuu na vyuo vingine watadisco vya kutosha kwani wanafunzi wenyewe ni vilaza. Nashangaa ripoti haijagusa kushuka morali ya kufundisha kwa walimu kutokana na kutolipwa malimbikizo na stahiki zao na mishahara midogo kuwa chanzo cha kufeli.

emh fafanua kdg ndg haya unayosema ni mapendekezo ya tume!!?au ndo kimeshatekelezwa na serikal!!?wengne bunge tuna allergy nalo kwa hyo tunasikiliza machache tu ili tusilazwe bure!!!

kama vip we tazama sana bunge 2tapata mwafaka
 
kutokana na hoja za serikali lukuvi amesema kuwa necta haikufuata
vigezo vya kuwafaulisha wanafunzi kwa kufuata standardtions na continous assesments.
Necta wamekuwa na utaratibu mwingine ambao haukuhusisha wadau wa elimu tanzania.
Either kufutwa kwa madaraja mapya,
yaani
100-85(a)
85-65(b)
65-45(c)
45-35(d)
35-0(f)
chanzo ni bunge kutokana na 2me ya waziri

watasema chadema imesababisha.kwani tume ilisema nini?mbona tunaona action tu?ccm mmkubali tu kuwa mmeshindwa kuongoza.i hate you gamba`s
 
Sitarajii makubwa sana. Pia sipati kuelewa wanaposema "Mtihani usahihishwe kwa kutumia mfumo wa mwaka 2011", huku mtihani haukutungwa kwa mfumo huo. Hata wasahihishaji walipata changamoto kwa kuwa mwanafunzi anapimwa ufahamu sio kukariri.
Nampa pole Dr Ndalichako na hao wasahihishaji.
 
Naomba nieleweshwe kitu hapo vp kuhusu wale wanafunzi 700 waliofutiwa matokeo kabisa
Mbona nasikia kuna wazazi wa hao waliofutiwa wanajipanga kuffungua kesi mahakamani ili kuona uhalali wa kufutiwa watoto wao ilihali hawakuhusika na udanganyifu wowote ktk mitihani?
 
hapo kutamu inamaana wanataka kuwashtaki NECTA?hayo mengne mie ni kusikia tu wamefuta
 
Ufutaji wa matokeo ni udhalilishaji wa hali ya juu amabo unafanyiwa wasahihishaji na baraza kwa ujumla.inaonekana kuna utaratibu uliotumika mabao umemthulumu mwanafunzi na familia zao.Sasa hapo waliopotosha isahihishaji waadhibiwe kwa mkanganyiko waliofanya.
Isjie kuwa aliyechora zombie tukasikia kapata div 4 au 3 kitu kitakacho ifedhehesha Baraza.
 
Kufuta matokeo sio solution ya tatizo lililopo katika sekta ya elimu,hiyo watafanya matokeo yaonekane mazuri lakini vichwa vya hao vijana walio fanya huo mtihani hawatoongezewa kitu coz ishajionyesha kua hakuna lolote walilojifunza darasani............the only way to help hao vijana nikuwajenga tena upya ili kuokoa taifa lao la kesho.......
 
mimi ni mmja kati ya wanafunziwalofutiwa hayo matokeo ila na mimi nilienda baraza la mitihani na kuwapa barua yang na kukanusha madai hayo ya kufanya udanganyifu ktk exams room
 
Back
Top Bottom