Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Na. M. M. Mwanakijiji
Sababu zinazotolewa za mkataba wa bandari:
1. Imekuwa ikiendeswa bila ufanisi (na bado tukawa tunawalipa mishahara)
2. Tunapoteza sana hela (miaka yote hili linajulikana)
3. Hatuna vifaa vya kisasa (kwani vifaa vinashushwa toka mbinguni?)
4. Hatuna watendaji wenye utaalamu (na madigrii yote ya kozi zote za kujiendeleza kote?)
5. Kampuni ya TICTS imeshindwa kwa miaka yote hii (na bado tukawaacha na kuwaongezea tena muda?)
6. DP Wana Uwezo Mkubwa wa kuendesha Bandari (kampuni gani nyingine ya kimataifa tulizungumza nao na kusikia wana tuoffer nini).
Tatizo jingine tunapenda kuchanganya mno hoja hata zisizohusiana na hoja ya msingi. Tuzitoe hizi hoja nyingine.
1. Hakuna Tanganyika; sijui ni kina nani wanazungumzia. Hadi hivi sasa hakuna nchi au taifa la Tanganyika. Hivyo Tanganyika haimo kwenye mjadala.
2. Hakuna hoja ya Uarabu hapa; DP World inatakiwa kupimwa kwa uwezo na weledi wake; siyo kwa sababu inatoka UAE. Huku ni kujiona duni. Kama tunawakaribisha kwa sababu ni Waarabu basi viongozi wetu wana matatizo makubwa zaidi kichwani..
3. Ongeza za kwako..
Tujikite kwenye hoja... tuache vihoja!