THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,950
- 13,527
Mkuu ni kwamba Mwarabu ndie alikuwa anatafuta bidhaa (watu) kama dalali na kuwa uza watu hao kwa wazungu maana mzungu alikuwa anasoko la ajira kwenye kilimo na viwanda. Kwa hiyo Mwarabu akawa na hiyo tenda ya kutafuta vibarua kwa ajiri ya wazungu, lakini baadhi watu(watumwa) hao aliwabakiza kwake.
Wakati wa uendeshaji wa zoezi la kuwapata hao vibarua ndipo Mzungu alipo gundua kuwa kana ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu, ndipo Mzungu kwa utashi na huruma yake akapiga marufuku zoezi hilo lililojulikana kama biashara ya Utumwa. Kwa mantiki hiyo Mwarabu bado ana chembechembe za unyanyasaji utokanao na biashara hiyo. Hata leo bado kuwa watu wanafanya biashara ya namna hiyo; wana ratibu na kupeleka wasichana uarabuni kufanya kazi za ndani.. Leo tuona ni jambo zuri; hata zamani nao waliona ni jambo zuri. NI SUALA LA WAKATI TU.
Nitazid kukueleza kuwa kimbia huo uongo unaombiwa huko parokain,suala la slave trade lipo wazi na linafahamika washirika ni nani,nenda kasome scramble and partition of africa,au kasome how europe undedeveloped africa na mengine meengi sana,acha uvivu soma ujionee mwenyewe
Mwarabu alishiriki lini berlin conference??na mimi sijakuambia kuwa mwarabu hauhisik na utumwa,la hasha mwarabu kwa miaka mingi ameshiriki biashara ya utumwa hata kabla hajaja africa so usidhan nipo hapa kumtetea mwarabu,ila nakushangaa unavyomtoa mzungu na kumtetea kuwa ni mwema kwako na kusahau jins alivyorudisha nyuma maendeleo ya afrika kwa karne na karne