Ufyatu 100%: Sababu zinazotolewa hazina mantiki au mantiki hazina sababu?

Ufyatu 100%: Sababu zinazotolewa hazina mantiki au mantiki hazina sababu?

Na. M. M. Mwanakijiji

Sababu zinazotolewa za mkataba wa bandari:

1. Imekuwa ikiendeswa bila ufanisi (na bado tukawa tunawalipa mishahara)
2. Tunapoteza sana hela (miaka yote hili linajulikana)
3. Hatuna vifaa vya kisasa (kwani vifaa vinashushwa toka mbinguni?)
4. Hatuna watendaji wenye utaalamu (na madigrii yote ya kozi zote za kujiendeleza kote?)
5. Kampuni ya TICTS imeshindwa kwa miaka yote hii (na bado tukawaacha na kuwaongezea tena muda?)
6. DP Wana Uwezo Mkubwa wa kuendesha Bandari (kampuni gani nyingine ya kimataifa tulizungumza nao na kusikia wana tuoffer nini).

Tatizo jingine tunapenda kuchanganya mno hoja hata zisizohusiana na hoja ya msingi. Tuzitoe hizi hoja nyingine.

1. Hakuna Tanganyika; sijui ni kina nani wanazungumzia. Hadi hivi sasa hakuna nchi au taifa la Tanganyika. Hivyo Tanganyika haimo kwenye mjadala.

2. Hakuna hoja ya Uarabu hapa; DP World inatakiwa kupimwa kwa uwezo na weledi wake; siyo kwa sababu inatoka UAE. Huku ni kujiona duni. Kama tunawakaribisha kwa sababu ni Waarabu basi viongozi wetu wana matatizo makubwa zaidi kichwani..

3. Ongeza za kwako..

Tujikite kwenye hoja... tuache vihoja!
Bravo
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijui unatumia kiungo gani kufikiri kwa sasa[emoji134][emoji134][emoji134]
Jamaa anashangaza mno 🤣🤣🤣
 
Hiyo no 6 ..lazima kushindanisha??
Rais anaweza ona kampuni ipi sahihi ..
Kama Magufuli alivyokuwa anatuchagulia kampuni ipi zijenge nini na wapi..
Bwawa la Nyerere...alichagua yeye ..
Sgr alichagua yeye ..

Since Rais Yuko more informed na washauri Tele kaona Dpworld sahihi...

Wewe kaaa kimyaa kama ulivyokuwa kimyaa wakati Magufuli anafanya yote hayo Kwa utashi wake
Kuna vitu visipotokea, hakutakuwepo kufahamiana kiundani!

Sasa nakuelewa The Boss no

Licha ya mashaka yote yalee wananchi wameyaonesha, wasomi mbalimbali, wanasheria wabobevu n.k...!?

Aisee, huyu aliyekuja kutuwekea hiki kinachotutofautisha na kukishikilia hata kama yeye anayekishikilia kinamuumiza! Ametupa mateso saana!

Ninachokupa heshima ni kitu kimoja tu, Upo tayari kukipigania chama chako pendwa kwa nguvu zote isipokuwa tu, mambo fulani fulani ya ki wa kwetu huyu

Embu kaa kwenye ukweli, mkandarasi anayejenga JKNHP hakushindanishwa kweli?
 
CCM huwa hawana muda wa kujiuliza mavitu yote hayo...
 
Watu wapo busy wanaandaa mikataba ya utekelezaji, nyie endeleeni kuporojoka.
 
Hiyo no 6 ..lazima kushindanisha??
Rais anaweza ona kampuni ipi sahihi ..
Kama Magufuli alivyokuwa anatuchagulia kampuni ipi zijenge nini na wapi..
Bwawa la Nyerere...alichagua yeye ..
Sgr alichagua yeye ..

Since Rais Yuko more informed na washauri Tele kaona Dpworld sahihi...

Wewe kaaa kimyaa kama ulivyokuwa kimyaa wakati Magufuli anafanya yote hayo Kwa utashi wake
Two wrongs don't make a right.
 
Tena ile kampuni ya ujenzi ya Mayanga sijui ndo ilikuwa nasikia yake kabisa bwana mkubwa na hakuna walichoweza watu fanya leo hii kelele mpaka wapi sijui

Double Standard inatuumiza mno mie naona mama akamate hapo hapo hawa wanataka ku m test tu maana kuna namna walizoe nchi hii iendeshwe wanavyotaka wao kumbe Tz ni ya wa Tanzania wote
 
Na. M. M. Mwanakijiji

Sababu zinazotolewa za mkataba wa bandari:

1. Imekuwa ikiendeswa bila ufanisi (na bado tukawa tunawalipa mishahara)
2. Tunapoteza sana hela (miaka yote hili linajulikana)
3. Hatuna vifaa vya kisasa (kwani vifaa vinashushwa toka mbinguni?)
4. Hatuna watendaji wenye utaalamu (na madigrii yote ya kozi zote za kujiendeleza kote?)
5. Kampuni ya TICTS imeshindwa kwa miaka yote hii (na bado tukawaacha na kuwaongezea tena muda?)
6. DP Wana Uwezo Mkubwa wa kuendesha Bandari (kampuni gani nyingine ya kimataifa tulizungumza nao na kusikia wana tuoffer nini).

Tatizo jingine tunapenda kuchanganya mno hoja hata zisizohusiana na hoja ya msingi. Tuzitoe hizi hoja nyingine.

1. Hakuna Tanganyika; sijui ni kina nani wanazungumzia. Hadi hivi sasa hakuna nchi au taifa la Tanganyika. Hivyo Tanganyika haimo kwenye mjadala.

2. Hakuna hoja ya Uarabu hapa; DP World inatakiwa kupimwa kwa uwezo na weledi wake; siyo kwa sababu inatoka UAE. Huku ni kujiona duni. Kama tunawakaribisha kwa sababu ni Waarabu basi viongozi wetu wana matatizo makubwa zaidi kichwani..

3. Ongeza za kwako..

Tujikite kwenye hoja... tuache vihoja!

Mkuu nia yako iliyofichikana ipo wazi tu, tulia kama kipindi kile mkuu wangu, unaweza kuwa na point moja au mbili lkn hauna uhalali huo kwa historia yako ya ulivyokuwa ktk utawala ule, hauna ukereketwa wala uchungu huo, umetoka ktk Pango kwa ajenda yako ambayo ipo wazi tu
 
Hii nchi ni ya kichoko sana, hili swala la bandari ni la kipumbavu sijui huyu Bibi yenu Samia hana ubongo kazeeka kila kitu. Ni uzuzu labda kama ametumwa atafute mianya ya kuvunja muungano. Hili kafanya kusudi ya kipumbavu kabisa
Acha kuandika kashfa, jenga hoja kwa staha.
 
Ina maana Rais ana mamlaka hayo ya kuchagua anachoona kinafaa hata kama utaratibu unahitaji ushindani uwepo ?...

mnaharibu hii nchi kwa kulimbikiza kila mamlaka kwa mtu mmoja.

Kwa hio ingekuja kampuni gani kwako ndio ungeona inafaa??maana navojua zilikua kampuni nyingi ila dp ikawa bora kwetu
 
4. Kuna nini nyuma ya mkataba wa IGA unaoipa DPW hadhi ya nchi (state)?
5. Kwa nini DPW isiingie ubia na TPA au kujisajiri TIC kama wawekezaji wengine?

Ulitaka ipewe hadhi gani mkuu hapo utapoteza dira na kuonekana hamnazo..suala kubwa ni la muda wa mkataba tuh.vingine vyote havina utata
 
Let's be honest. Watu fulani wanashabikia huu upuuzi kwa sababu tu ni Waarabu na walengwa wa dini fulani.

Hii ni kutokana na kauli za mbowe za kipumbav kaleta mpasuko wa kikanda na udini ila angeleta hoja za msingi leo hii tusingekua kama wehu kuandika uzi kila cku [emoji23]
 
waarabu walicho tushida kujenga misiki na kukataza haramu .ukiona unapingwa msaafu unasema wao ndio bora

Muarabu anayejenga msikiti na kutoingilia mambo ya nchi za africa anakukera....ila mzungu anayetishia kuweka vikwazo kisa nchi inapinga ushoga huyo akukeri sio
 
Mwarabu katumia natural resource ya Oil na Gesi tu kufika hapo alipo,wewe unakila aina ya natural resources halafu eti unamdhihaki mwarabu! Unaendeshwa na chuki kwa speed sana mpaka akili zako umeziacha nyuma.
Mkuu umenena vyema kuwa Mwarabu uchumi wake ni mafuta na gesi lakini tunamtetemekea ile mbaya wakati sisi tuna zaidi ya alivyo navyo, plus mambuga ya wanyamapori na wanyama wake, maji baridi kwenye maziwa yetu, ardhi bora kwa kilimo, madini ya kila aina n. k. Aidha kwa uchumi ambao ametupatia MWENYEZI MUNGU, huyo Mwarabu hatufikii asilani abafani : kwa kweli "TUME PENDELEWA". Tatizo letu kubwa ni Siasa mbovu na Uongozi Bora.
 
Parokia noma sana,na wamebrainwash kabisa na kuwafanya waamin waliowafanya mababu zetu kuwa watumwa during slave trade ni waarabu,ukiwauliza kama ni hivyo mbona blacks wengi wapo ulaya na america na siyo uarabun shida iko wapi?wanawaongopea kuwa eti Huko uarabun waliasiwa, that's why wanaona wazungu kama lulu kwao
Mkuu ni kwamba Mwarabu ndie alikuwa anatafuta bidhaa (watu) kama dalali na kuwa uza watu hao kwa wazungu maana mzungu alikuwa anasoko la ajira kwenye kilimo na viwanda. Kwa hiyo Mwarabu akawa na hiyo tenda ya kutafuta vibarua kwa ajiri ya wazungu, lakini baadhi watu(watumwa) hao aliwabakiza kwake.
Wakati wa uendeshaji wa zoezi la kuwapata hao vibarua ndipo Mzungu alipo gundua kuwa kana ukiukwaji mkubwa wa Haki za Binadamu, ndipo Mzungu kwa utashi na huruma yake akapiga marufuku zoezi hilo lililojulikana kama biashara ya Utumwa. Kwa mantiki hiyo Mwarabu bado ana chembechembe za unyanyasaji utokanao na biashara hiyo. Hata leo bado kuwa watu wanafanya biashara ya namna hiyo; wana ratibu na kupeleka wasichana uarabuni kufanya kazi za ndani.. Leo tuona ni jambo zuri; hata zamani nao waliona ni jambo zuri. NI SUALA LA WAKATI TU.
 
Watu kama huyu Mwanakijiji ambao hawako objective ni wa hovyo sana. Wapuuzwe hata wanapokuwa na "hoja."
 
Chuki zako za kidini zinaharibu hoja yako, sio wote walio wakristo wanaupinga huo 'mkataba wenu' na vice versa pia.

jifunze kuvumilia imani za wengine na jenga hoja bila chuki, Tz ni secular state.

Wewe vipi,ungeanza kwanza kumweleza hizo habari yule ambae nilkuwa namjibu kuhusu suala hilo,yeye ameanza kushutumu na kukashifu iman yangu then mimi namjibu kulingana na alichosema unaniambia nijifunze kuheshimu iman ya mtu??

kwanin usianze na yule kwanza??
 
Back
Top Bottom