Sielewi maana ya Gakuro, kama Ni tusi, Gakuro ni bibi yako na mama yakoShukran kwa kujiingiza mwenyewe kwenye hiyo bracket ya BAADHI ya watz. Mbona huwa sioni ukiwakashifu wanapokenua kenua na kueneza propaganda za kijihadi dhidi ya Kenya kila mara tunapokua kwenye maombolezi baada ya shambulizi? Gakuro!
Faiza anahusikaje?Nimtoe? Kivipi yaani? Jombaa, tupo kwenye vita dhidi ya hawa washenzi. Huu uozo wao hatari huwa wanaueneza sanasana kwenye mitandao wakiwatafuta vijana malofa ambao wanataka kuungana nao. Wewe unadhani ni mzaha? Watu kama huyo shangazi yenu wana uhuru wa kufanya watakavyo kwasababu hawapo Kenya. Ila wakiingia tu kwenye nane za ATPU, hamna lingine, ni shaba kichwani.
Nimtoe? Kivipi yaani? Jombaa, tupo kwenye vita dhidi ya hawa washenzi. Huu uozo wao hatari huwa wanaueneza sanasana kwenye mitandao wakiwatafuta vijana malofa ambao wanataka kuungana nao. Wewe unadhani ni mzaha? Watu kama huyo shangazi yenu wana uhuru wa kufanya watakavyo kwasababu hawapo Kenya. Ila wakiingia tu kwenye nane za ATPU, hamna lingine, ni shaba kichwani.
[emoji15][emoji15][emoji15] Sijakuelewa, unamaanisha kwamba mabwana zako wataendelea kuwachinja wasomali wenzao, waislamu wenzao na kuharibu nchi yao? Kama walivokuwa wanafanya kwa miaka mingi, kabla KDF iingie Somaaliya hadi KDF itakapotoka kwao? Alafu kwa taarifa yako vikosi vya Kenya haviko Ugandishu, kama ilivokuwa inaitwa hapo awali UPDF walipokuwa wanadumisha amani.
Nyie mmeingia kwenye mchezo wa mataifa makubwa na mnatumika kutimiza Eti mnapambana na Al shabaab, Wewe na Viongozi wenu wote ni Molofa tu,
Sina muda wa kujibizana na mtu ambaye hana facts na ambaye haelewi kwa undani kinachojadiliwa. Mada ni kuhusu alshabaab wanavowaua wasomali na waislamu wenzao. Yaani hawana legitimacy yeyote ya kusema kwamba uzombie wao wanaufanya kwasababu ya Kenya au Ethiopia au AMISOM. Walikuwa wanawachinja wasomali wenzao hata kabla vikosi vya Kenya na AMISOM kuingia nchini Somalia. Alafu acha kujiabisha, fanya risechi kidogo ujue ni kwanini KDF waliingia Somalia. Alshabaab ndio walianza kuingia Kenya na kuteka watalii na kuvuruga amani maeneo ya pwani ya Kenya. Kabla ya hapo Kenya haikuwa na bifu wala shughuli yeyote na vita vyao.Wewe nawe kilaza tu, Al shabaab sio root cause ya problem, natamani wewe na Rais wako muelewe ila ndio scope yenu imeishia hapo.
Anajua mwenyewe. Mfate kwenye PM yake umuulize. Ama kama wewe ni wakili wake muulize kwanini ameingia kwenye uzi huu. Kisha akazamia kusikojulikana, baada ya kuona kwamba hakukaliki.Faiza anahusikaje?
Walisema mwaka uliopita kwamba wataendelea kuwachinja chinja wasomali wenzao wasiokuwa na hatia. Eti kwasababu Marekani walihamisha ubalozi wao nchini Israel, kutoka Tel Aviv hadi Jerusalem. 😕Somalia ni mauaji tu,,mauaji mpaka lini,kw nn lkn alshabab wanapenda kuua watu wasio na atia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina muda wa kujibizana na mtu ambaye hana facts na ambaye haelewi kwa undani kinachojadiliwa. Mada ni kuhusu alshabaab wanavowaua wasomali na waislamu wenzao. Yaani hawana legitimacy yeyote ya kusema kwamba uzombie wao wanaufanya kwasababu ya Kenya au Ethiopia au AMISOM. Walikuwa wanawachinja wasomali wenzao hata kabla vikosi vya Kenya na AMISOM kuingia nchini Somalia. Alafu acha kujiabisha, fanya risechi kidogo ujue ni kwanini KDF waliingia Somalia. Alshabaab ndio walianza kuingia Kenya na kuteka watalii na kuvuruga amani maeneo ya pwani ya Kenya. Kabla ya hapo Kenya haikuwa na bifu wala shughuli yeyote na vita vyao.
Wanaoua hawaijui Quran?Hawez toa muongozo. Muongozo ni Quran na Sunnah
KWA MUJIBU WA UISLAM UKIUA MTU MMOJA AMBAE HANA HATIA NI SAWA NA KUUA DUNIA NZIMA NA KILA KILICHOMO.
Endelea kusoma blog za kipuuzi na conspiracy za machizi. Mimi nakupa facts. KDF ipo Somalia chini ya mandate ya AMISOM. Unajua AMISOM ni nini? Alafu naona unajaribu kugeuza mada ya uzi huu baada ya kuona kwamba mazombie ambao huwa unawaunga mkono ni malofa ambao hawajielewi. Nieleze kwanini wanawaua wasomalia ambao ni ndugu zao na waislamu wenzao. Vifo na uharibifu wote huo ni wa nini ndani ya nchi yao?Ok I don’t blame you or KDF, Someone (KDF soldier) told me how it pays off big time being in Somalia , ile pesa wanajeshi wenu hulipwa huko ndio inawafanya waendelee kubaki huko, besides umaskini pia huchangia, ingekuwa ni watu matajiri wasingeingia kwenye mtego wa kijinga kutumika kwenye maslahi mapana ya mataifa dhalimu ya dunia hii. God sees everything. There are reasons beyond your scope that Somalia should be destabilized forever, go read usiwe kilaza.
Endelea kusoma blog za kipuuzi na conspiracy za machizi. Mimi nakupa facts. KDF ipo Somalia chini ya mandate ya AMISOM. Unajua AMISOM ni nini? Alafu naona unajaribu kugeuza mada ya uzi huu baada ya kuona kwamba mazombie ambao huwa unawaunga mkono ni malofa ambao hawajielewi. Nieleze kwanini wanawaua wasomalia ambao ni ndugu zao na waislamu wenzao. Vifo na uharibifu wote huo ni wa nini ndani ya nchi yao?
Nchi za kiarabu na waimirati, waislamu wenzao! Ndio maana miaka kadhaa iliyopita Kenya na Ethiopia walikuwa na bifu na Qatar. Kuna hadi ushahidi kuhusu Qatar na bandari ya Bosaaso kule Puntland ambayo wanaigombania na UAE. Report: Secretly recorded phone call suggests Qatar link in Somalia attackLabda nikuulize swali rahisi uelewe,
Who funds the Al shabaab? Who gives them weapons?
Jombaa, kwenye masuala kama haya, sanasana ya Somalia, huwa sikurupuki kama unavodhania. Najua ulitaka kuwalaumu wamarekani, ila hizi enzi za wikileaks sio za kisirisiri kama zamani. Alshabaab wamebanwa na wanachokifanya ni kuwatesa wasomalia kupitia ada ambazo wanawatoza kwenye bidhaa zote. Hadi kwenye usafiri kupitia roadblocks zao. Hizo ndio hela ambazo wanatumia kufadhili uhuni wao. Alafu juu yake wanapata ufadhili kutoka kwa Qatar na UAE. Nchi ya Uturuki pekee yake ndio ina nia 'nzuri' na Somalia. Kwasababu angalau wao wakivuna wanajenga Mogadishu, hospitali vyuo vikuu n.k. Hata kwenye shambulizi hili waturuki wamewapeleka majeruhi wa kisomali zaidi ya mia kwa matibabu, hadi kule kwao Uturuki.Good that you went into details, go deep you’ll see more from the underworld. Just knowing that the Poor ordinary alshabaab cant afford shoes, leave alone the AK47 and the explosives they use to fight KDF and the innocent people in somalia and Kenya.
Kama kweli wanataka tuondoke, wangetulia tu hadi mwaka ujao, Ambapo AMISOM wanatarajiwa kuondoka Somalia... Lakini sidhani kwamba wanataka tutoke manake kila wanapo fanya shambulizi, wanakumbusha dunianzima kwamba bado wapo na wana nia na uwezo kwahivyo hio inafanya AMISOM iombe muda zaidi kuwamaliza kabisa.Mpaka mwondoke kwao.