NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Alshabab ni kizazi cha shetaniWalisema mwaka uliopita kwamba wataendelea kuwachinja chinja wasomali wenzao wasiokuwa na hatia. Eti kwasababu Marekani walihamisha ubalozi wao nchini Israel, kutoka Tel Aviv hadi Jerusalem. 😕
Sent using Jamii Forums mobile app