Ugaidi: Kilio kimetanda kwa jirani zetu Somalia jijini Mogadishu kwa siku ya sita sasa

Ugaidi: Kilio kimetanda kwa jirani zetu Somalia jijini Mogadishu kwa siku ya sita sasa

Alshabab ni kizazi cha shetani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ona kisingizio ambacho walitoa baada ya shambulizi lao la Dusit2. Ambapo kati ya watu 14 waliouawa 8 walikuwa waislamu, wawili kati yao ambao walikuwa wanafanya kazi ya kutafuta msaada wa madawa na vyakula vya kugawa nchini Somalia. Eti shambulizi hilo lilikuwa la kulipiza kisasi kwasababu rais Trump aliamua kuitambua Jerusalem kama jiji kuu la Israel.
 
Nyie endeleeni kupambana na hao mujahdeen muhamad al nasoor,acheni kulialia

Kama ulikuwa hujui hao ndo ndugu wa bwana ntume waache wapambane wenyewe ukiingilia ugomvi wao,umeingia kwenye mtego,watakufurahisha...

Ni vyema kushirikisha ubongo wakati mwingine. Huyu dadako toka Tz naye kosa lake lilikuwa lipi?
Unadhani vita hivi dhidi ya hawa mazombie hazigusi kila mmoja wetu?
 
Ni vyema kushirikisha ubongo wakati mwingine. Huyu dadako toka Tz naye kosa lake lilikuwa lipi?
Unadhani vita hivi dhidi ya hawa mazombie hazigusi kila mmoja wetu?

Huyo ni mjinga tu kama nyinyi nchi zooooote duniani hakuziona hadi aende Somalia..
Hivi kwa akili zako zote uende Somalia kufanya nini!
 
Huyo ni mjinga tu kama nyinyi nchi zooooote duniani hakuziona hadi aende Somalia..
Hivi kwa akili zako zote uende Somalia kufanya nini!

Lingemtokea dada au mamako sidhani ungeandika hivi ila Mungu akusamehe Mkuu.
Happy New Year.
 
Lingemtokea dada au mamako sidhani ungeandika hivi ila Mungu akusamehe Mkuu.
Happy New Year.
Mama yangu na dada yangu si wajinga kama ulivyo wewe,somalia is a dead zone mtu mwenye akili timamu hawezi enda

Halafu MUNGU hapendi watu wajinga,elewa hili
 
Tupe khabari za Lamu jamaa wamefungua mwaka kwenye kambi ya wanamgambo wa KDF
Wapo jehanam na bado wanangoja hadi sasa hivi kutimiziwa ahadi yao ya bikira 72 kutoka kwa bosi wao sheitwan. Wenzao watano nao wanakula maharage ya bure wakingoja kunyofolewa m*p#mb#.
2262617_1578239572208.png
 
Alafu cha kutamausha zaidi ni kwamba anayewaongoza na kuwafunza hawa mazombie kutengeneza vilipuzi hivi hatari ni huyu nguruwe. Mzungu kutoka marekani, ambaye amejitwika jina la Jehad Mostafa.
EM3BjlBWkAATtk_.jpg:small
Jamaa yupo Somalia na huwa anahojiwa live mara kadhaa kwenye Aljazeera Arabic, ambayo ndio media maalum ya kueneza propaganda za hawa mazombie. Yaani kwa kifupi, wanamshobokea mzungu ambaye hadi sasa hivi amewaua zaidi ya wasomalia 1,200, waislamu. Tena wanamlinda ili asije akanaswa na FBI.
Ni vipi hawa watu ambao wanasakwa hivi afu wanakuwa live na kuhojiwa na media afu hawawezi au inakuwa ishu kuwapata?
 
Kuna baadhi ya nchi zilipaswa kufutwa katika ramani ya dunia, raia wagawanywe na mali zao zigawanywe kwa watakaochukua raia hao, ardhi iuzwe kwa nchi za jirani. Hatutasikia tena nchi hizo na amani itahimarika daima.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
akamatwe na fbi wakati huu mdundo ni wao na kuimba wanaimba wenyewe

Back
Top Bottom