Inajiyajika action na si maneno. Wampindue yeyote anayua halaiki ya watu kama walivyofanya kwa Maduro!February 6, 2026
Warning: This story contains graphic content.
Terror in Tanzania: Torture, Killings, and Political Kidnappings Fuel a Rising Panic
Consumed by war and a haunting number of dead, Africa is slipping into the kind of darkness the world has never seen. A river of innocent blood, stretching fromt.co
Tafsiri isiyo rasmi.
Ikimezwa na vita na idadi kubwa ya waliokufa, Afrika inaingia katika aina ya giza ambalo ulimwengu haujawahi kuona. Mto wa damu isiyo na hatia, unaoanzia Nigeria hadi Sudan, unameza nchi nzima katika mateso, huku wawindaji wakikimbilia usalama ambao haupo.
Nchini Tanzania, sehemu ya ukatili ambayo hata haijasajiliwa kwenye ufahamu wa kimataifa, maangamizi yamefikia kilele cha kutisha na cha kutisha. Tofauti na majirani zao wa kaskazini, makaburi ya halaiki katika vivuli vya Kilimanjaro si kazi ya magenge yenye silaha au wanamgambo wa waasi, bali ni serikali korofi na yenye uchu wa madaraka.
MY NOTE: Kuna mtu anatafutwa kwenye udini na ugaidi, endeleeni kupuuza.
CC funaku waambie wabunge wa Zungu wajadili na hii taarifa.
Ndio maana anaogopa kwenda nchi za ulaya anajua atakutana na maswali ya mauaji aliyofanya, sijui atawajibuje.wakati wnajiandaa kwenda kuwabembeleza wahisani wanakutana na hizi nyundo, wakifika mapokezi wanakutana na Washington Posy yenye kichwa cha habari kuhusu mauaji au wanakutana na secretary anampelekea bosi gazeti la Washington Post
Hata Samia akitoka lazima waliotufikisha hapa wawajibike, wanafahamika.Tanzania kwisha habari yake
Yote haya ni kwa sababu ya kikundi kidogo tu ndani ya CCM
Africa inalaana
WANA usalama hakuna hata mmoja tu wa kuturudishia heshima ya nchi yetu?
Nchi yetu kweli mnakubali iwe ya kigaidi kwa sababu ya kulinda watu wawili watatu wa com?
Tunataka Vitendo haya maneno maneno tumechoka, km wanamkamata wamkamate km hawawezi basi waache maneno mengi we're totally tired of this talking without actionsMY NOTE: Kuna mtu anatafutwa kwenye udini na ugaidi, endeleeni kupuuza.
Msome huyu...Tunataka Vitendo haya maneno maneno tumechoka, km wanamkamata wamkamate km hawawezi basi waache maneno mengi we're totally tired of this talking without actions
Ukitaka kumuua mbwa mpe jina baya kwanza.
Hapa kuna mtu anatengenezewa mazingira ya kuingizwa king
We need actions and we're tired of all these talking, jambo la kuadabisha lifanyike sio haya maneno ya kila siku ni nothing hayabadirishi chochoteUkitaka kumuua mbwa mpe jina baya kwanza.
Hapa kuna mtu anatengenezewa mazingira ya kuingizwa king