Ugaidi umepungua duniani, nini kimefanyika kuudhiibiti

Ugaidi umepungua duniani, nini kimefanyika kuudhiibiti

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
matukio ya kigaidi yako kidogo sana tena sana. Suicide bombers, kuteka ndege na vitu kama
hivyo vimeisha kama siyo kupungua sana.


Nini kimefanyika?
 
Israel na Us wako busy na Hamas😂😂...Hao jamaa ni hatari kwa kufadhili magaidi.
 
Tatizo siyo Ugaidi lahasha TATIZONI TAFSIRI YA NENO GAIDI.
MBOWE FREEMAN ALIITWA GAIDI NA WANA CCM WAKISHIRIKIANA NA MAJAJI WAO.
ALIPOTOKA MBOWE ALIKWENDA IKULU KUKUTANA NA BB SAMIA
Yaani raisi wa nchi anakutana na GAIDI kweli???
Hawa ndiyo WAAFRIKA
 
matukio ya kigaidi yako kidogo sana tena sana. Suicide bombers, kuteka ndege na vitu kama
hivyo vimeisha kama siyo kupungua sana.


Nini kimefanyika?
Israel yupo busy na vita akitulia tu vitu vinaanza kujipa.
 
matukio ya kigaidi yako kidogo sana tena sana. Suicide bombers, kuteka ndege na vitu kama
hivyo vimeisha kama siyo kupungua sana.


Nini kimefanyika?
Hujapungua ila wanaofanya huo ugaidi ni mataifa yenye nguvu
 
Back
Top Bottom