Ugaidi umepungua duniani, nini kimefanyika kuudhiibiti

Ugaidi umepungua duniani, nini kimefanyika kuudhiibiti

Kitu hichohicho akifanya mwarabu au muislam ni ugaidi na kitu hichohicho wakifanya wazungu inakua tatzo la akili au ukombozi wa kisiasa

Lkn tukiongelea watu kuawa bila sababu za msingi bado wanakufa sana kupita 2000-2020 lkn huu wasasa sio ugaidi ni ukombozi
 
matukio ya kigaidi yako kidogo sana tena sana. Suicide bombers, kuteka ndege na vitu kama
hivyo vimeisha kama siyo kupungua sana.


Nini kimefanyika?
Kadri maisha ya Watanzania yanavyozidi kuwa magumu huku viongozi wakiendelea kujinufaisha kwa fedha zinazotokana na kodi na jasho la wananchi, usishangae ndani ya kipindi cha miaka mitano hadi kumi ijayo, magaidi wakaibukia Tanzania.
 
Gaidi alikuwa Osama, lakini hamas, houthi, talibani, Rpf, na m23 ni freedom fighters.

Tanzania mnasali novena na mifungo, wenzenu wanajua haki haiji kwa kusali bali kuipigania.
 
USA ndo KING wa hii kazi mkigeukana Wewe ni gaidi angalia rais wa siyria wa sasa
 
Wagalitia wana hila sana
images (30).jpeg
 
Back
Top Bottom